Kweli ufafanuzi unahitajika kutoka kwa wajuzi! Maana kuna date rape ambapo mbakaji huwa amejiandaa kwa spike kinywaji/food ya victim ili atimize lengo, anaweza kutumia condom, ambapo kwa vyovyote manii hayatopatikana when ushahidi is required! Inakuaje hapo? Wajuzi tujuzeni! Na pia kama sikosei kuna kesi ya kuharibiwa mtoto 2yr wa kigoma na watoto wenzie waliomtia jiti hata inabidi afanyiwe surgery kumueka sawa, mama wa mtoto tulikua tukimwona ktk news lkn siku hizi media zimechoka kumuandama naona