Kesi ya kubaka kwa watoto wadogo

hao walio tumia Jiti hawajafanya ubakaji ni kitu ambacho kwa kiswahili ni ngumu kukieleza lakini kwa kitaalamu ni GRAVE SEXUAL OFFENCE Kosa baya linalo kuwa ni Kama ubakaji kwa vigezo (mpenyo) lakini tofauti ni kuwa uume unakuwa haujatumika.... ama vimetumika viungo vingine vya mwili ama vifaa mbaali na mwili Kama JITI. Kwakuwa ni watoto basi hawata hukumiwa isipokuwa tuu walielewa wanachokifanya...
 
Mtoto wa miaka saba kisheria hawezi kubaka hata kama alibaka .... 🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…