Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,712
- 1,910
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Phil Makini Kleruu ni supporter mkubwa wa CHADEMA Arusha. Anawafadhili Nadhani kwa kigezo cha Uchaga zaidi.
Alikula hela za ujenzi wa makao makuu ya EAC mpaka leo jengo hilo linavuja.
Alifukuzwa kazi EAC kwa kujimilikisha samani za ofisi ya bunge la Jumuiya.
Kifupi ni kwamba yuko tayari kufanya lolote apate pesa
Ni kwamba marehemu hakuacha mme wala mtoto,huyo hilda kleruu ni binamu wa marehemu na mmewe kabila lake ni mchaga wa marangu,lakini siamini katika dhana ya ukabila kwani kuna wachaga wenye roho safi tu baadhi yao lkn.asanteni mwenye dukuduku au swali aulize nitamjibu kama swali lake linajibika.asanteni
alikuwa mcha mungu ,anapenda kusaidia watu ,mkarimu,mcheshi,mtu anayejituma,sio mlevi na mpenda anasa,kwa wakazi wa arusha wanamkumbuka pale aicc jinsi alivyokuwa mcheshi.[/color]
Mbona umeeleza maisha yake kwa upande mmoja tu?
kleruu ni watu wa iringa jamani sio shimbonii.
Hapa sijaelewa vizuri, huyu marehemu yaelekea hakuwa na mahusiano mazuri na hawa nduguze ndo maana aka base kwa huyu binam mzungu. Na kuna uwezekano mkubwa hakuacha wosia wowote juu ya mali zake na hii ndo sababu kuu ya huu ugomvi.
Kleruu ni mchaga kwa jina hilo la ukoo .kumbuka pia Dr kleruu aliekuwa mkuu wa mkoa wa Iringa aliyeuwawa na mkulima wa iringa mzee mwamwindi enzi ya Nyerere .ila sio kweli kuwa anafadhili chadema .ni ccm damuMkuu sahisha hapo kleruu sio mchaga ni mtu wa iringa itakua humjui vizuri wewe.....kabla hujaongea ki2 chunguza kwanza au uliza mimi namjua huyu kleruu b4 hata hajafungua club yke kisongo.....anapenda sana showoff bt sio mchaga
kleruu ni watu wa iringa jamani sio shimbonii.
Hapa sijaelewa vizuri, huyu marehemu yaelekea hakuwa na mahusiano mazuri na hawa nduguze ndo maana aka base kwa huyu binam mzungu. Na kuna uwezekano mkubwa hakuacha wosia wowote juu ya mali zake na hii ndo sababu kuu ya huu ugomvi.
Ze heby sina uhusiano wowote zaidi maslahi yangu kuangukia kwa marehemu kwani aliwahi kuwa mwandishi wa habari fani ambayo ninaisomea kwa sasa,pia ni kisa kilichonivutia sana hadi nimeona nifuatilie hadi mwisho.