Kesi ya kugombea mirathi ya mwandishi wa habari mkongwe nchini, Betty Luzuka yaibua mapya Arusha


Mkuu jamaa sio mchaga ni mtu wa iringa.....mkewe ni halfcast flani hivi huwa jioni unawakuta club yao kisongo bt jamaa sio mchaga
 
Mkewe ndie mmliki wa club 63 pale kisongo?
 

Mkuu sahisha hapo kleruu sio mchaga ni mtu wa iringa itakua humjui vizuri wewe.....kabla hujaongea ki2 chunguza kwanza au uliza mimi namjua huyu kleruu b4 hata hajafungua club yke kisongo.....anapenda sana showoff bt sio mchaga
 
hawa jamaa wamekomalia mirathi isiyo ya kwao!!
 
Nashangaa watu wanapambana na hela za watu kwa Nini wasitafute zao.
 
alikuwa mcha mungu ,anapenda kusaidia watu ,mkarimu,mcheshi,mtu anayejituma,sio mlevi na mpenda anasa,kwa wakazi wa arusha wanamkumbuka pale aicc jinsi alivyokuwa mcheshi.[/color]

Mbona umeeleza maisha yake kwa upande mmoja tu?
 
Phil makin kleruu!
Hilda kleruu! Huyu ni mkewe au mwanawe?
 
kleruu ni watu wa iringa jamani sio shimbonii.
Hapa sijaelewa vizuri, huyu marehemu yaelekea hakuwa na mahusiano mazuri na hawa nduguze ndo maana aka base kwa huyu binam mzungu. Na kuna uwezekano mkubwa hakuacha wosia wowote juu ya mali zake na hii ndo sababu kuu ya huu ugomvi.
 
Kleruu ni mchaga pure wa Kilema, Moshi.

 
Mkuu sahisha hapo kleruu sio mchaga ni mtu wa iringa itakua humjui vizuri wewe.....kabla hujaongea ki2 chunguza kwanza au uliza mimi namjua huyu kleruu b4 hata hajafungua club yke kisongo.....anapenda sana showoff bt sio mchaga
Kleruu ni mchaga kwa jina hilo la ukoo .kumbuka pia Dr kleruu aliekuwa mkuu wa mkoa wa Iringa aliyeuwawa na mkulima wa iringa mzee mwamwindi enzi ya Nyerere .ila sio kweli kuwa anafadhili chadema .ni ccm damu
 

wacha kukariri kupitia kusoma case Mkuu,kasome chimbuko la ukoo wa kleruu au dokta kleruu alipozikwa kisha uje kufuta kauli yako
 
Ze heby sina uhusiano wowote zaidi maslahi yangu kuangukia kwa marehemu kwani aliwahi kuwa mwandishi wa habari fani ambayo ninaisomea kwa sasa,pia ni kisa kilichonivutia sana hadi nimeona nifuatilie hadi mwisho.


kesi imefikia wapi?
 
Mirathi huwa ni kesi za hovyo sana, inaweza chukua hata miaka 20 mnazunguka Mahakamani.

Mfano hii kesi kama maamuzi ya Mahakama ya Mwanzo haikupigwa chini na Mahakama Kuu mtu anaweza kurudi kusumbua (kama akipenda)

Sababu moja kubwa ni, nimeona hapo Mahakama ya mwanzo ilichukua ushahidi wa kielekroniki kitu ambacho haina huo uwezo sababu haina kanuni za namna ya kuchukua huo ushahidi

Haya mtu mmoja kwenye interest akasumbue Mahakamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…