Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe hukuona Leo Polisi waliwaondoa wafuasi wa NASA waliokuwa wanataka kuja kufanya matambiko mahakamani?Wangekua chadema hapo wanghamasishana wakajae kwenye chumba cha mahakama mpaka wanasheria wakose pumzi
******nje ya kortiWewe hukuona Leo Polisi waliwaondoa wafuasi wa NASA waliokuwa wanataka kuja kufanya matambiko mahakamani?
Eti wanataka kuja kufanya ibada mahakamani.
[HASHTAG]#kombafu[/HASHTAG] NASA #
Sent using Jamii Forums mobile app
Wangekua chadema hapo wanghamasishana wakajae kwenye chumba cha mahakama mpaka wanasheria wakose pumzi
Your Right japo watakupinga especially wale Wanufaika I. E Central /Mount Kenya and Rift Valley kidogohongereni wakenya. mngeondoa ukabila mgekuwa mbali sana....
CHADEMA Muwatukane tu NASA but come 2020 mtawakumbuka.Wewe hukuona Leo Polisi waliwaondoa wafuasi wa NASA waliokuwa wanataka kuja kufanya matambiko mahakamani?
Eti wanataka kuja kufanya ibada mahakamani.
[HASHTAG]#kombafu[/HASHTAG] NASA #
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia live sasa hivi kesi hiyo mahakamani
ROmanus FAdhali COsmass Lengu(ROFACOL)
Your Right japo watakupinga especially wale Wanufaika I. E Central /Mount Kenya and Rift Valley kidogo[/QUOTE
Ati wanufaika ndio nini? Ukweli ni kwamba wafugaji ngo'mbe na mila za zamani vs watu wa teknologia ,elimu na vinginevyo hawawezi kushindana wakatokea sawa. Sasa wewe pale wakulaumiwa ni yule mshindi kweli?
Ukweli halisi ni kwamba Mchagga na Mmaasai hawawezi kufanana- mmoja anapenda mali na pesa na yule Maasai anapenda mifugo na kuishi kitamaduni.Sasa ukabila umeingilia wapi pale?hongereni wakenya. mngeondoa ukabila mgekuwa mbali sana....