PostGE2025 Kesi ya Lissu imeahirishwa hadi kesho Februari 19 baada ya Serikali kuwa na shahidi mmoja tu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, imeahirishwa na Mahakama hadi kesho Februari 19 saa tatu asubuhi.

Upande wa Serikali uliieleza Mahakama kuwa una shahidi mmoja tu kwa siku hiyo, hali iliyosababisha kuomba kuahirishwa kwa shauri hilo ili kuendelea siku inayofuata.

Wakili wa Serikali, Renatus Mkude, alisimama na kueleza kuwa kama walivyowasilisha asubuhi, wanaomba kesi hiyo iahirishwe hadi kesho asubuhi.

lissuk.png
 
View attachment 3545548
Haki ya kumsaidia mwenzao kafiwa Vs Haki ya aliyekaa mahabusu Kwa Kesi ya mchongo
 
Siku lissu au mawakili wake wasipokuwepo, mahakama itamhukumu kwa kishindo kwamba wanakimbia kesi yao, ila wao kukimbia kesi n fresh tuu wanahamisha tarehe tuu
 
Back
Top Bottom