Haki ya kumsaidia mwenzao kafiwa Vs Haki ya aliyekaa mahabusu Kwa Kesi ya mchongoWakuu,
Kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, imeahirishwa na Mahakama hadi kesho Februari 19 saa tatu asubuhi.
Upande wa Serikali uliieleza Mahakama kuwa una shahidi mmoja tu kwa siku hiyo, hali iliyosababisha kuomba kuahirishwa kwa shauri hilo ili kuendelea siku inayofuata.
Wakili wa Serikali, Renatus Mkude, alisimama na kueleza kuwa kama walivyowasilisha asubuhi, wanaomba kesi hiyo iahirishwe hadi kesho asubuhi.
View attachment 3545548
Hawana mashahidiNini sababu ya msingi katika hii hoja yakutokuwepo