PreGE2025 Kesi ya Lissu imesababisha mtandao kuminywa leo? Dawa yenu ipo jikoni, hamuwezi kushindana na teknolojia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Cute Wife

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
3,054
Reaction score
8,449
Wakuu,

Hali ya mtandao ikoje mliko? Yaani toka asubuhi mtandao imekuwa hovyooo kila kitu kinaenda taratibu kwa spidi ya kobe! Ni hii tu kesi ya Lissu ndio mnafanya mambo yote yasiende na kutuingizia hasara?

Yaani Lissu anawatetemesha mpaka mnatumia resource zote kuhakikisha mambo hayaendi sawa tu! Hii ni ishara ya kutotenda haki, yaani hamjiani kila kitu mnataka kuzima! Sawa mnatukomesha lakini mkumbuke kuwa haya madhila hatupati sisi tu, yanawagusa wote hadi vibaraka mnawatumia kuendesha mambo yenu.

Ila dawa itapatikana soon, hawezi kushindana na teknolojia mkashinda, soon hamtakuwa na control, mambo yatakuwa hadharani mshindwe pa kusitiri matako (Ashakum**).
 
Uongo shida yako simu yako
Global Tv walikuwa online live kisutu mtandao mbona ulikuwa fresh tu

Jamiiforums haikukata hata sekunde moja pia kutoa update
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Uongo shida yako simu yako
Global Tv walikuwa online live kisutu mtandao mbona ulikuwa fresh tu

Jamiiforums haikukata hata sekunde moja pia kutoa update
Mkuu bana unafikiri ni wewe tu ndio ulikuwa unafatilia kupitia global wengine wote tumejifungia? :KEKLaugh: :KEKLaugh: Weka ushahidi hapa wa hiyo so clear video ndani ya mahakama kama uko na ubavu
 
Unaweka bando la mia tano halafu unalalamikia mitandao.! Wacha njaa na utamaduni wa kulalamika tu.Mtandao hauna matatizo yeyote.
Kama unaweka bando la 500 basi unafikiri kila mtu anaunga unga kama wewe Mkuu? Jipunguzie hizi aibu ndogo ndogo bana🌚🌚
 
Vipi umeongeza salio au mtandao umekubali sasa.?Unaandika ukiwa chooni umeangalia kama mnara unasoma?
 
Back
Top Bottom