Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wakuu
Inadaiwa mawakili wa Jamhuri hawajaonekana na hawajarudi Mahakamani mpaka muda huu.
Karani amesimama na kuseeleza kuwa kuna jambo limejitokeza anaenda kutafuta ufafanuzi kwa msajili wa mahakama na atarudi kuleta mrejesho.
Mwenendo wa Kesi > Kesi ya Lissu: Mahakama yatupilia mbali ombi la Jamhuri la kuongeza ushahidi
Wananchi waliofika Mahakamani majira ya Saa saba na nusu mchana wameanza kuimba
Tunaitakaaaaa Jamhuri!β¦
Tunataitaka Jamhuriiiiiiii!β¦.
Tunaitaaka Jamhuriiii!β¦
Sio poa... DUDA linapiga miguu yoteππKatuga kakimbia
Wanaojiona wana mamlaka ndiyo shida yao moja hiyo. Ukifanya wewe ni kosa na wanahamaki. Wao wanaweza kufanya kitu hicho hicho na wakaona ni sawa na hawataki hata uwahoji.Wameamua kukimbia uwanja ingekua Lissu ndio kachelewa taarifa ingetangazwa hadi kwenye radio za mbao na kuongezewa kesi ingine..
Hilo DUDA kifuani lina maana ganiSio poa... DUDA linapiga miguu yoteππ
Niliona sehemu lina maana ya mziwanda, au mtoto anayependwa sana kwa tafsiri huko kwa wanyaturuHilo DUDA kifuani lina maana gani
Hivi DUDA ni kifupi cha maneno gani?Sio poa... DUDA linapiga miguu yoteππ