Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeahirisha kwa muda kesi ya kusambaza taarifa za uongo katika mtandao wa Youtube inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu.
Kesi hiyo imeahirishwa kwa muda wa dakika 10 kutokana na mtandao kusumbua na kutokusikika vizuri.
Hatua hiyo inatokana na mshtakiwa huyo kutokufikishwa katika mahakama hiyo hivyo, kesi zake mbili zitasikilizwa kwa njia ya video.
Uamuzi huo umetolewa leo, April 24, 2025 na Hakimu Mkazi Mwandamizi, Geoffrey Mhini wakati kesi hiyo ilipoitwa kwa njia ya video, ili mshtakiwa asomewa hoja za awali.
Hakimu Mhini amesema kutokana na mtandao kusumbua, anaahirisha kwa muda na kama utakuwa bado kuna changamoto atatoa uamuzi.
Hata hivyo, ukumbi huo wa video conference uliopo katika Mahakama hiyo, umejaa hali iliyopeleka baadhi ya watu kuzuiwa kuingia.
serikali ya ccm poor technology, mleteni Lisu mahakamaniMahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeahirisha kwa muda kesi ya kusambaza taarifa za uongo katika mtandao wa Youtube inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu.
Kesi hiyo imeahirishwa kwa muda wa dakika 10 kutokana na mtandao kusumbua na kutokusikika vizuri.
Hatua hiyo inatokana na mshtakiwa huyo kutokufikishwa katika mahakama hiyo hivyo, kesi zake mbili zitasikilizwa kwa njia ya video.
Uamuzi huo umetolewa leo, April 24, 2025 na Hakimu Mkazi Mwandamizi, Geoffrey Mhini wakati kesi hiyo ilipoitwa kwa njia ya video, ili mshtakiwa asomewa hoja za awali.
Hakimu Mhini amesema kutokana na mtandao kusumbua, anaahirisha kwa muda na kama utakuwa bado kuna changamoto atatoa uamuzi.
Hata hivyo, ukumbi huo wa video conference uliopo katika Mahakama hiyo, umejaa hali iliyopeleka baadhi ya watu kuzuiwa kuingia.
Kwa sasa Kila kitu kimetekwa na serikali....mahakama uhuru wake uko wapi?Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeahirisha kwa muda kesi ya kusambaza taarifa za uongo katika mtandao wa Youtube inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu.
Kesi hiyo imeahirishwa kwa muda wa dakika 10 kutokana na mtandao kusumbua na kutokusikika vizuri.
Hatua hiyo inatokana na mshtakiwa huyo kutokufikishwa katika mahakama hiyo hivyo, kesi zake mbili zitasikilizwa kwa njia ya video.
Uamuzi huo umetolewa leo, April 24, 2025 na Hakimu Mkazi Mwandamizi, Geoffrey Mhini wakati kesi hiyo ilipoitwa kwa njia ya video, ili mshtakiwa asomewa hoja za awali.
Hakimu Mhini amesema kutokana na mtandao kusumbua, anaahirisha kwa muda na kama utakuwa bado kuna changamoto atatoa uamuzi.
Hata hivyo, ukumbi huo wa video conference uliopo katika Mahakama hiyo, umejaa hali iliyopeleka baadhi ya watu kuzuiwa kuingia.
Watumie YouTubeMahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeahirisha kwa muda kesi ya kusambaza taarifa za uongo katika mtandao wa Youtube inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu.
Kesi hiyo imeahirishwa kwa muda wa dakika 10 kutokana na mtandao kusumbua na kutokusikika vizuri.
Hatua hiyo inatokana na mshtakiwa huyo kutokufikishwa katika mahakama hiyo hivyo, kesi zake mbili zitasikilizwa kwa njia ya video.
Uamuzi huo umetolewa leo, April 24, 2025 na Hakimu Mkazi Mwandamizi, Geoffrey Mhini wakati kesi hiyo ilipoitwa kwa njia ya video, ili mshtakiwa asomewa hoja za awali.
Hakimu Mhini amesema kutokana na mtandao kusumbua, anaahirisha kwa muda na kama utakuwa bado kuna changamoto atatoa uamuzi.
Hata hivyo, ukumbi huo wa video conference uliopo katika Mahakama hiyo, umejaa hali iliyopeleka baadhi ya watu kuzuiwa kuingia.
muacheni jk jamaniHivi hii hujuma anayofanyiwa Samia na vyombo vya dola nani yuko nyuma yake, maana wengine wanasema ni JK aliyeisuka kiustadi kabisa
na watahangaika sana ila hawatoshindaChama Cha Mashetani (CCM) kinaangaika.
God bless Tundu Lissu
maigizo ya HakiUwazi na elimu = haki
View: https://m.youtube.com/watch?v=yH70BHXpoxoTanzLII ni tovuti yenye mamlaka ya serikali inayowawezesha wananchi, majaji, wataalamu wa sheria, wasomi na mashirika ya kiraia kufanya utafiti na kupata sheria za Tanzania bila malipo
Source : tanzlli
Mnapanga kesi ya Mtandao na mnajua fika mitandao yenyewe bado ni changamoto. Kesi ifanyike ya ana kwa ana