SHETANI MWENYE JICHO MOJA TUNDU LISSU ANATAPATAPAChama Cha Mashetani (CCM) kinaangaika.
God bless Tundu Lissu
Kesi za live hazihitaji excuse hiyo live ya kwanini wasiipeleke YouTube?
Yani wameweka server traffic ikifika watu 1000 inajam.
Hii kesi ya Gachagua mimi nimefuatilia live YouTube hakukua na huo upuuzi unaingia mara umeombwa password.
View: https://youtu.be/Hb5TB7Uyamk?si=Pv91jKBuehox60oJ
Waiweke hata kwenye ukurasa wa YouTube wa TBCCM au wanaogopa nini kule mtu anajoin direct sio hizo longolongo wanazoleta hapa na kufikiri bado kila mtu yuko gizani.
Umeongea kila kitu.BarikiwaHadi muda huu naamini Lissu hakupona kwa bahati mbaya kwenye lile shambulio la risasi.
Mungu ana jambo na huyu mtu na kama CCM wataendelea kushindana nae mwisho wao utaanzia kwa Lissu. Sababu hawapambani na Lissu bali yule aliyemponya kwenye lile shambulio.
Kesi za live hazihitaji excuse hiyo live ya kwanini wasiipeleke YouTube?
Yani wameweka server traffic ikifika watu 1000 inajam.
Hii kesi ya Gachagua mimi nimefuatilia live YouTube hakukua na huo upuuzi unaingia mara umeombwa password.
View: https://youtu.be/Hb5TB7Uyamk?si=Pv91jKBuehox60oJ
Waiweke hata kwenye ukurasa wa YouTube wa TBCCM au wanaogopa nini kule mtu anajoin direct sio hizo longolongo wanazoleta hapa na kufikiri bado kila mtu yuko gizani.
Uwezo huo mnao uvccm chawa? Sema tu wajanja wamekula mzigo aliotoa mama wa bundleMtandao tutaupiga cyber attacks mpaka kesi iahirishwe.
Kwanza hakimu ana njaa, akanywe chai arudi hata mchana
usiwaamshe, waache waendelee kujikaanga kwa mafuta yaoWao sio wajinga wakiiweka youtube watazidi kumpaisha Lissu na itakuwa trending East africa nzima . Ila wamekosea kumkamata maana wanazidi kumuongezea CV. Hata kupigwa risasi 64 na kuishi ni CV kubwa maana hakuna kiongozi wa siasa tanzania nzima nafikia hiyo CV. CCM na usalama hawaelewi lakini wakikaa chini na kuchanganua mambo watajua kuwa badala ya kujijenga wanazidi kujiiharibia.
Kesi za live hazihitaji excuse hiyo live ya kwanini wasiipeleke YouTube?
Yani wameweka server traffic ikifika watu 1000 inajam.
Hii kesi ya Gachagua mimi nimefuatilia live YouTube hakukua na huo upuuzi unaingia mara umeombwa password.
View: https://youtu.be/Hb5TB7Uyamk?si=Pv91jKBuehox60oJ
Waiweke hata kwenye ukurasa wa YouTube wa TBCCM au wanaogopa nini kule mtu anajoin direct sio hizo longolongo wanazoleta hapa na kufikiri bado kila mtu yuko gizani.
Mbona ndio kitu ambacho hata mimi mwanzo nilijua watafanya baada ya wao kujinasibu itakuwa "mtandaoni"Hili ndilo mngepigania kwanza badala ya kuwaita watanzania wote waje mahakamani.
Wajinga wamejaa kwenye serikali ya huyu kaburu mwanamke.Wao sio wajinga wakiiweka youtube watazidi kumpaisha Lissu na itakuwa trending East africa nzima . Ila wamekosea kumkamata maana wanazidi kumuongezea CV. Hata kupigwa risasi 64 na kuishi ni CV kubwa maana hakuna kiongozi wa siasa tanzania nzima nafikia hiyo CV. CCM na usalama hawaelewi lakini wakikaa chini na kuchanganua mambo watajua kuwa badala ya kujijenga wanazidi kujiiharibia.
Hawa washenzi hawajui hata maana ya mtandao.Tuliwaambia Hawa watu kuwa hamna mtandao wa kuendeshea kesi wakabisha!