PreGE2025 KESI YA LISSU: Mtandao changamoto, hakimu aahirisha kwa muda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mtandao tutaupiga cyber attacks mpaka kesi iahirishwe.

Kwanza hakimu ana njaa, akanywe chai arudi hata mchana
 
Mpaka wateme Bungo
 
Wanatengeneza technical fault issues ..hio haiwez kuonyesha lengo lilikua waendeshe bila watu kujua kinachoendelea ..pengine watakaoona ni wale wa ndani tu ya mahakama na si umma wa WATANZANIA kama ilivyo kesi za Kenya
 
Umeongea kila kitu.Barikiwa
 
Huu ulinzi mzito wa leo katika kila njia ya kuingia katikati ya jiji la Dar kama ungekuwepo kila siku hapa Dar na maeneo mengine sidhani kama kungekuwa na uhalifu
 
Wao sio wajinga wakiiweka youtube watazidi kumpaisha Lissu na itakuwa trending East africa nzima . Ila wamekosea kumkamata maana wanazidi kumuongezea CV. Hata kupigwa risasi 64 na kuishi ni CV kubwa maana hakuna kiongozi wa siasa tanzania nzima nafikia hiyo CV. CCM na usalama hawaelewi lakini wakikaa chini na kuchanganua mambo watajua kuwa badala ya kujijenga wanazidi kujiiharibia.
 
Mtandao tutaupiga cyber attacks mpaka kesi iahirishwe.

Kwanza hakimu ana njaa, akanywe chai arudi hata mchana
Uwezo huo mnao uvccm chawa? Sema tu wajanja wamekula mzigo aliotoa mama wa bundle
 
usiwaamshe, waache waendelee kujikaanga kwa mafuta yao

#NoReformsNoElection
 
Hili ndilo mngepigania kwanza badala ya kuwaita watanzania wote waje mahakamani.
 
Hili ndilo mngepigania kwanza badala ya kuwaita watanzania wote waje mahakamani.
Mbona ndio kitu ambacho hata mimi mwanzo nilijua watafanya baada ya wao kujinasibu itakuwa "mtandaoni"

Na hii ilikuwa iende sambamba na Lissu kuwepo mahakamani ili wataokatazama live wawe ni wasioweza kufika au waliozuiliwa na policcm.

Kumbe mahakama wamekodi server uchwara ambayo haiwezi kupokea hata washiriki 1000 kwa wakati mmoja.
 
Wajinga wamejaa kwenye serikali ya huyu kaburu mwanamke.
 
Tuliwaambia Hawa watu kuwa hamna mtandao wa kuendeshea kesi wakabisha!
Hawa washenzi hawajui hata maana ya mtandao.

Kutomleta Lissu mahakamani tayari ni ushindi kwa wapenda haki.

Nimeona kilink uchwara cha YouTube nimeingia naambiwa video ni private sasa hiyo ndio online na mwanzo screen ilikuwa ndogo kama simu na hakuna chochote.

Useless judiciary.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…