Yaani safari hii ccm Mungu kaamua awadhalilishe kwanza kabla ya anguko kuu ππππHuyo sio CCM huyo ni chawa,
Kama kuna kitu CCM kinatuharibia ni uwepo wa machawa.
Wakati wenzetu wanaweka hoja sisi CCM anatokea chawa analeta upuuzi.
Wanaitukanisha CCM mbele ya Umma.
πππ
Huna maana kama shepu za kichagga.tena urelax kabisa, na utulie kabisa katika kujifunza, kuongeza uelewa na ufahamu juu ya mambo mbalimbali ya kisiasa humu nchini, right gentleman?
kama uko pointless,Huna maana kama shepu za kichagga.
π©Gentleman,
haki anayostahili muhaini Lisu ni jela, kunyongwa hadi kurest in pisi, hakuna kingine.
suala la maridhiana ni la waTanzania raia wema tu, wahalifu ikiwa ni pamoja na vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na mamaluki wao inafaa waendelee kusote korokoroni kulingana na uhalifu wao mpaka pale mahakama itakavyoamua vinginevyo.
hakuna haja ya porojo na upotoshaji kwenye suala la maridhiano eti ili yafanyike lazima sijui kibaraka au nani awepo ndio yafanyike, huo ni upotoshaji and that's completely nonsense
Kwani Funuku na timu yake ya wajenga kesi mchongo nachawa wanasemaje?Yaani safari hii ccm Mungu kaamua awadhalilishe kwanza kabla ya anguko kuu ππππ