Kesho nna case yangu mahakama jirani na hapo....kazi ipo!!!!Wito wangu ni huo. Ya 29/10 yanaweza kujirudia.
Siwatii woga hapana. HAKUNA WOGA, Chukua tahadhali!
Nendeni kwa wingi kwa tahadhali. Kila mtu awe na simu ya kuchukua matukio. Ikitokea wakaua, basi kuwa na ushahidi.
MUNGU WETU NI MWEMA KILA WAKATI
MUNGU WETU AWE NA NABII , MTAKATIFU LISU.
AMEN
kazi ipo kwa wewe kuamini hofu isiyokuwepoKesho nna case yangu mahakama jirani na hapo....kazi ipo!!!!
Wamejipanga kuua kwa lipi, siku hizi kwenda mahakamani hadi utoe tahadhari.Wito wangu ni huo. Ya 29/10 yanaweza kujirudia.
Siwatii woga hapana. HAKUNA WOGA, Chukua tahadhali!
Nendeni kwa wingi kwa tahadhali. Kila mtu awe na simu ya kuchukua matukio. Ikitokea wakaua, basi kuwa na ushahidi.
MUNGU WETU NI MWEMA KILA WAKATI
MUNGU WETU AWE NA NABII , MTAKATIFU LISU.
AMEN
Analeta taaruki huyo na uchocheziWamejipanga kuua kwa lipi.
Hasidi hana sababuWamejipanga kuua kwa lipi.
Ulikuwa unatisha watu ili iweje.Wito wangu ni huo. Ya 29/10 yanaweza kujirudia.
Siwatii woga hapana. HAKUNA WOGA, Chukua tahadhali!
Nendeni kwa wingi kwa tahadhali. Kila mtu awe na simu ya kuchukua matukio. Ikitokea wakaua, basi kuwa na ushahidi.
MUNGU WETU NI MWEMA KILA WAKATI
MUNGU WETU AWE NA NABII , MTAKATIFU LISU.
AMEN
Quinine, siyo kuwatisha. Tahadhali ni MUHIMU sana. Hawa wameshakuwa wauaji, unakija ukiwa tayari kuchukua hatua ikibidi kujihami.Ulikuwa unatisha watu ili iweje.
Hakuna kitu kama hicho mkuu, hakua atake kufa labda kwa kukanyagana.Quinine, siyo kuwatisha. Tahadhali ni MUHIMU sana. Hawa wameshakuwa wauaji, unakija ukiwa tayari kuchukua hatua ikibidi kujihami.
Kujihami siyo wonga.
Ndiyo maana unatumia fake ID Quinine , umejihami, siyo kuwa wewe ni mwoga!
Nadhani umenielewa bema
Mkuu tahadhari nyingine kuna namna ya kuzitoa. Sidhani ulifanya vizuri kuandika kama ulivyoandika. Ungeweza kabisa kutoa tahadhari bila kutishia watu. Kuna watu waoga ambao wakiona posti kama hiyo wanakaa nyumbani hata kama walikuwa na nia ya kwenda. BTW angalia hao hao wahuni wa Samia wanaweza ''kuvujisha'' habari kama hizi kimkakati ili waogopeshe watu.Quinine, siyo kuwatisha. Tahadhali ni MUHIMU sana. Hawa wameshakuwa wauaji, unakija ukiwa tayari kuchukua hatua ikibidi kujihami.
Kujihami siyo wonga.
Ndiyo maana unatumia fake ID Quinine , umejihami, siyo kuwa wewe ni mwoga!
Nadhani umenielewa bema
You are missing my point. Hakuna mtu anayekataa kuwa kuchukuwa tahadhari ni muhimu. Sisi tunasema kutishia watu. Pengine ungeweza kuandika na kusema kila mtu anayekwenda achukuwe tahadhari. ngeweza kusema hivi: ''Kila anayekwenda mahakamani achukuwe tahadhari kwani kilichotokea 29/10 kimetupa funzo kubwa kuwa kila hatua unachokuwa uwe mwangalifu.'' Lakini uwasilishaji wako ulikuwa ni wa kutisha watu. BTW 1. mimi ukienda Arusha soko kuu ukiuliza jina langu ninalotumia hapa kuna watu wengi tu wananijua kwani ndilo jina langu la utani. 2. Kutumia majina ya bandia siyo lazima kuwa ni kuchukuwa tahadhari. Unaweza kuchukuwa jina lako kabisa na bado ukachukuwa tahadhaniHakuna kutisha. Kuchukua tajadhali kwa mtu mwenye akili siyo woga! Ndiyo maana unajiita macho_mdiliko , ni dalili kuwa unaweka tahadhali wasikufuatilie kirahisi! Kuna ka.woga fulani unako!
Kuna kijana anijiita Mtu wa Watu! Anajitambulisha wazi wazi na makazi yake pale Kimara. Huyu kajitoa mhanga! Siyo wewe mdiriko, unajificha nini kama huogopi!
Jina halisi kulitumia inategemea post zako ziko vipi. Kama ni kusifia , well and fine, iko salama! Kama kupiga spana KALI, jaribu watakudakana kukupoteza!You are missing my point. Hakuna mtu anayekataa kuwa kuchukuwa tahadhari ni muhimu. Sisi tunasema kutishia watu. Pengine ungeweza kuandika na kusema kila mtu anayekwenda achukuwe tahadhari. ngeweza kusema hivi: ''Kila anayekwenda mahakamani achukuwe tahadhari kwani kilichotokea 29/10 kimetupa funzo kubwa kuwa kila hatua unachokuwa uwe mwangalifu.'' Lakini uwasilishaji wako ulikuwa ni wa kutisha watu. BTW 1. mimi ukienda Arusha soko kuu ukiuliza jina langu ninalotumia hapa kuna watu wengi tu wananijua kwani ndilo jina langu la utani. 2. Kutumia majina ya bandia siyo lazima kuwa ni kuchukuwa tahadhari. Unaweza kuchukuwa jina lako kabisa na bado ukachukuwa tahadhani
Wanamulikwa kila kona. Mabalozi wa nje wamesisitiza sana Lissu aachiwe bila masharti yoyote. Kabudi na yule mzee wa Zanzibar anayeomba kupiga picha huku akikenua kila anakopita kila sehemu wanayokwenda wanaulizwa kuhusu Lissu. Woga wao ni kuwa akiingia mtaani watu wanaweza kuhamasika nchi ikalipuka.Jina halisi kulitumia inategemea post zako ziko vipi. Kama ni kusifia , well and fine, iko salama! Kama kupiga spana KALI, jaribu watakudakana kukupoteza!
Tena ukisema mambo ya 29/10 ndiyo umewatisha kabisa, wakikumbuka zile clips tunazoziona, hawaendi!
All in all leo was a bit humane upande wa magereza, a bit fine hata hao magereza hawakuvaa kininja, kulikuwa na hali ya utu kidogo kwa mbali kwa mapolisi...na magereza.....
N.kweli Lisu akiingia mtaani hamasa itakuwa kubwa..the obvious!Wanamulikwa kila kona. Mabalozi wa nje wamesisitiza sana Lissu aachiwe bila masharti yoyote. Kabudi na yule mzee wa Zanzibar anayeomba kupiga picha huku akikenua kila anakopita kila sehemu wanayokwenda wanaulizwa kuhusu Lissu. Woga wao ni kuwa akiingia mtaani watu wanaweza kuhamasika nchi ikalipuka.
Wewe jamaa siku hizi umekuwa mjinga sana. Halafu watu wanakuelewesha upuuzi uliopost unaongelea eti majina bandia.Wito wangu ni huo. Ya 29/10 yanaweza kujirudia.
Siwatii woga hapana. HAKUNA WOGA, Chukua tahadhali!
Nendeni kwa wingi kwa tahadhali. Kila mtu awe na simu ya kuchukua matukio. Ikitokea wakaua, basi kuwa na ushahidi.
MUNGU WETU NI MWEMA KILA WAKATI
MUNGU WETU AWE NA NABII , MTAKATIFU LISU.
AMEN
Mjinga mama yako. Kama huogopi weka jina.lako halisi, asiyeofopa ni Lisuntu? Wewe.mwoga tu! Weka jina halisi kama Mayalla Pascal! halafu upige spana kali samiaWewe jamaa siku hizi umekuwa mjinga sana. Halafu watu wanakuelewesha upuuzi uliopost unaongelea eti majina bandia.
Kutumia majina bandia ni utamaduni ambao umekuwepo toka enzi za kuanzishwa kwa mitandao ya kijamii. Haina uhusiano wowote na kuchukua tahadhari au kuwa muoga.
Sasa Mayalla anapiga spana gani? Wewe na yeye mnatofauti gani zaidi ya wote wawili kuwa vigeugeu tu.Mjinga mama yako. Kama huogopi weka jina.lako halisi, asiyeofopa ni Lisuntu? Wewe.mwoga tu! Weka jina halisi kama Mayalla Pascal! halafu upige spana kali samia
To hell! Ukinitukana niyakutukana vyovyote akili itakavyonituma. Ulikuwa na nafsi ya kujibu hoja bila kiniita mjinga! kuliko kuanza na kuniita mjinga. Nitakujibu haphazardly! Mimi nafsi yangu ni MUNGU wangu! Ukiiudhi nitakuudhi!Sasa Mayalla anapiga spana gani? Wewe na yeye mnatofauti gani zaidi ya wote wawili kuwa vigeugeu tu.
Watu tumeanza kutumia mitandao hii kitambo sana na kabla hata hamjaleta ushamba wa kutekana na kuuana tulikuwa tunatumia majina bandia.
P.S. Mama yangu ni Mungu wangu hapa duniani. Nitamuacha akujibu kwa kumuita mjinga.