Kesi ya Liyumba, Utata na Maendeleo yake

Status
Not open for further replies.
Ahsante Mushi kwa Ushauri. Na kweli nimelala nikaamka na mawazo tofauti. Kwa sasa nakubaliana na wewe kwa 100%. Ni kweli kabisa Kikwete amemtorosha Liumba.

Tena nimegundua kwamba kwa muda huu Liumba kafichwa Ikulu! Tusubiri kidogo nasikia kuna njama nyingine zinafanywa na Kikwete kumtorosha yule aliyebaki, .... Kweka, i think!

Kikwete bwana, anatuzuga sana aisee Mushi. Mimi naona dawa ni kumshambulia hapa JF kwa kila aina ya tusi, mpaka aache huu usanii wake! Anatuona sisi hatuna akili kabisa aisee!

nikisoma hapo napata hisia humaanishi unachoandika. huelekei kukubaliana na maandishi yako.
dhahiri kabisa unamkingia kifua JK.
lakin mi naamin the best thing you can do here ni kushambulia hoja ya mtu na si mtu. kwamfano, kama mtu anasema kikwete kahusika kumficha liumba, basi ikabili hoja hiyo. uongelee jinsi isivyowezekana jk kufanya kitu kama hicho. kwamba labda hana uwezo. au ni msafi sana. au mcha mungu sana. au watoe ushahidi. au .......

hapo utakuwa unajenga. na hapo utakuwa unaelimisha. and who knows? utakuwa unafundisha wengine kuchangia hapa. lasivyo utakuwa unaleta ubishi wa simba na yanga mitaani kwetu
 
Kama amekamatwa imekuwa kheri kwa hawara yake Hadija
kakamatwa na kimwana pembeni?
ama kweli amatus mbishi tusiku tuchache kabanwa na kiu namna hio.....si ajabu hakuwa katoroka alikuwa zake bwagamoyo anapoza kiu na totozi...
 
DU! Hii kweli ni kali! Na kimwana pembeni? Ama kweli nyoka ni nyoka tu, na tabia ya mtu ni kama ngozi yake, huwezi kuibadilisha wala kuibandua ukaweka ya rangi nyingine. Hata mkorogo hautoshi kubadili tabia ya mtu! Heheheh!
 
jamani watanzania wenzangu tunapoteza nguvu zetu bure katika mambo haya ya EPA, BOT, RICHMOND kwa ushauri wangu watanzania haya mambo yapo juu kabisa ya uwezo wetu, cha muhimu ni kusahahu hayo mabilioni na kupanga mikakati mipya ya kuwaingiza kwenye serikali watu wenye misimamo na uchungu wa nchi yetu
WAZIRI MKUU ALISHASEMA HAWA JAMAA WATAYUMBISHA INCHI KWA SABABU YEYE KASHAONA HAYO MABILIONI YALIPOKWENDA NA KINA NANI WANAOHUSIKA NA LABDA PIA KUSHIRIKI
ANGALIA KESI ZOTE WAHUSIKA WAKUU TULIOKUWA TUNAWATEGEMEA WATAPANDISHWA MAHAKAMANI, HAWAPO KABISA KWENYE HIZO KESI. RA, EL, MNJ, MKPA, SUMYE, VIJISENT,KALAMAGI NA WENGINEO. BAADHI YA WAHUSIKA WAKUU WALIOKAMATWA NDIO HIVYO MARA KAFIA USA, MARA KATOROKA, SASA KWA KWELI HAYA MAMBO SISI WALALA HOI NI MAGUMU SANA KWETU
CHA MUHIMU KABISA TUSIWE NA HAJA KABISA YA KUGOMBEA URAIS TUMWACHIE JAMAA AENDELEE NA KIPINDI CHAKE, LAKINI LAZIMA TUWE NA NIA YA KUMNYIMA JAMAA WABUNGE KABISA, NILIKUWA NASHAURI NGUVU ZOTE ZA UPINZANI ZIELEKEZWE KWENYE UBUNGE NA BUNGE LIKIWA NA NUSU YA WABUNGE WAPINZANI + RADICALS WA CCM(KILANGO ETAL), HAPO NDIO TUNAWEZA KUFUFUA HIZO KESI ZA UFISADI NA WATU WAKAFUNGWA, KWA SASA TUZIWEKE PENDING
 
Usidandie gari kwa mbele ndugu..Hivi ni shida sana kufuatilia thread?
 
Kituko,

Have you heard of Multi-Tasking? Ni lazima tusukume kila upande. Huu uhalifu na ujambazi wa viongozi wetu unachangia moja kwa moja katika umaskini wetu. May be you dont appreciate how far, by constantly discussing and exposing their crooked ways, it can all go. They will be scared and will give-in if not reducing on their care-less attitude. Kuna waTanzania wengi wlioko kwenye nafasi tofauti na uwezo tofauti-

so we have to keep up the pressure! - Be it via the media, courts, international partners, whichever means necessary!
 
mi nadhani ujanielewa tu ni HIVI KATIKA MCHAKATO MZIMA WA KUPAMBANA NA MAFISADI WATOTO WA MJINI WANASEMA TUMEPIGWA CHANGA LA MACHO, MAMBO YA KESI AU MAFISADI KUTAJWA KWENYE MAJUKWAA YA SIASA NA KWENYE MAGAZETI IMESHAPROVE FAILURE, AND FOR ME IT WAS A RIGHT APROACH, LAKINI KWA SABABU HIYONJIA IMESHAFAIL NA KAMA KWELI TUNAHITAJI PROGRESS KWENYE HII NCHI BASI LAZIMA TUTAFUTE PLAN B,
HEBU FIKIRIA MCHAKATO MZIMA WA KUMUUA BALALI ULIVYOKUA, ANGALIA MCHAKATO MZIMA WA KUMTOROSHA LIYUMBA, WAKINA MRAMBA WALIPEWA MASHARTI MAGUMU SANA YA DHAMANA IWEJE YAWE LAINI KWA LIYUMBA NA KESI ALMOST ZINAFANANA,
MWAKEMBE NA KAMATI YAKE WAMEFANYA KAZI NZURI SANA, LAKINI WAZIRI MKUU ANAKWAMBIA INCHI ITAYUMBA WATU WAKIFIKISHWA MAHAKAMANI, SASA WEWE HAPO UNATEGEMEA NINI KAMA SIO KUTAFUTA PLAN B, COSTA MAHALU KILA KITU KIPO MEZANI LAKINI KESI AIWEZI KUISHA UKICHUNGUZA KIUNDANI UNAAMBIWA NA JK ALIKUWEMO.
KWA KIFUPI HIZO PESA ZIMESHAKWENDA NA HATUWEZI KIZIPATA, AU UNARIZIKA UKIAMBIWA WAMESHARUDISHA MABILIONI LAKINI HAYAONEKANI YANAFANYIA NINI!
 
kakamatwa na kimwana pembeni?
ama kweli amatus mbishi tusiku tuchache kabanwa na kiu namna hio.....si ajabu hakuwa katoroka alikuwa zake bwagamoyo anapoza kiu na totozi...

Yo yo pole hukunipata dadangu, nilikuwa namaanisha Hakimu Hadija. Si unajua alitoa dhamana kimizengwe, kwa hivyo hii tafuta-tafuta ilikuwa kwa ajili ya kusahihisha hilo kosa lake. Na si unajua Mkulu Liyumba ni mzee wa totozi huwezi jua usikute Hakimu Hadija nae ni shemeji yetu. Tehe tehee!!
 
Wanajamii naomba kueleweshwa wakina Mramba/Yona/Mgonja ilibidi waende mahakama kuu kuomba kupunguziwa dhamana na kuchukua kama wiki pamoja na uhakiki wa hati za nyumba.Hakimu Hadija alipata wapi madaraka ya kupunguza dhamana kutoka bil.50 mpaka mil.800 bila kuihusisha mahakama kuu na pia kukataa kuwapa muda upande wa mashitaka kuhakiki hati na thamani?
 
Yo yo pole hukunipata dadangu, nilikuwa namaanisha Hakimu Hadija. Si unajua alitoa dhamana kimizengwe, kwa hivyo hii tafuta-tafuta ilikuwa kwa ajili ya kusahihisha hilo kosa lake. Na si unajua Mkulu Liyumba ni mzee wa totozi huwezi jua usikute Hakimu Hadija nae ni shemeji yetu. Tehe tehee!!

Hahahahahaaa....kumbe Yo Yo ni she?

Wee Yo Yo...wewe
 
mi nadhani ujanielewa tu ni HIVI KATIKA MCHAKATO MZIMA WA KUPAMBANA NA MAFISADI WATOTO WA MJINI WANASEMA TUMEPIGWA CHANGA LA MACHO, MAMBO YA KESI AU MAFISADI KUTAJWA KWENYE MAJUKWAA YA SIASA NA KWENYE MAGAZETI IMESHAPROVE FAILURE, AND FOR ME IT WAS A RIGHT APROACH, LAKINI KWA SABABU HIYONJIA IMESHAFAIL NA KAMA KWELI TUNAHITAJI PROGRESS KWENYE HII NCHI BASI LAZIMA TUTAFUTE PLAN B,
HEBU FIKIRIA MCHAKATO MZIMA WA KUMUUA BALALI ULIVYOKUA, ANGALIA MCHAKATO MZIMA WA KUMTOROSHA LIYUMBA, WAKINA MRAMBA WALIPEWA MASHARTI MAGUMU SANA YA DHAMANA IWEJE YAWE LAINI KWA LIYUMBA NA KESI ALMOST ZINAFANANA,
MWAKEMBE NA KAMATI YAKE WAMEFANYA KAZI NZURI SANA, LAKINI WAZIRI MKUU ANAKWAMBIA INCHI ITAYUMBA WATU WAKIFIKISHWA MAHAKAMANI, SASA WEWE HAPO UNATEGEMEA NINI KAMA SIO KUTAFUTA PLAN B, COSTA MAHALU KILA KITU KIPO MEZANI LAKINI KESI AIWEZI KUISHA UKICHUNGUZA KIUNDANI UNAAMBIWA NA JK ALIKUWEMO.
KWA KIFUPI HIZO PESA ZIMESHAKWENDA NA HATUWEZI KIZIPATA, AU UNARIZIKA UKIAMBIWA WAMESHARUDISHA MABILIONI LAKINI HAYAONEKANI YANAFANYIA NINI!

Multi-Tasking ita-include Plan yako B, na Plan C, all the way to Z. Hivi vyombo vya habari havijafeli. Bado vitaendelea kufanya kazi yake, na vitakuwa na nguvu zaidi hivi siku zijazo. Kama unavyojua Forums kama hii inawapa watu nafasi kuwa wa-wazi zaidi. Pengine, vyombo vinavyofeli ni mahakama na vinginevyo, ambavyo kwa makusudi kabisa wanahujumu nchi.

Kwa hiyo siyo kwamba sijakuelewa, ninadhani tuko ukurasa mmoja kabisa, na tutasonga mbele.
 
Mnakumbuka waziri wa kilimo alivyodai hela za epa zimeshaanza kazi kwenye mbolea halafu waziri wa fedha akakanusha kupeleka hela? Hii thamthilia ya Mexico sijui itaisha vipi?
 
kuna wakati niliishawahi uliza humu jamvini
"inakuwaje watuhumiwa wa epa wanatakiwa na mahakama
wawasilishe hati zao za kusafiria (passport) wakati serikali
ilikwisha tangaza kwamba ndio iliishazichukua hizo hati?".

leo hii najiuliza tena hivi passport ya liumba haikukamatwa?
kama ilichukuliwa ina maana hao walioichukua hawakuona
hizo kasoro kwamba ilikuwa imekwisha?

tunapochangia hapa tujitahidi kuwa katika mstari wa kisheria, mahakama ina haki ya kudai passport, ni kweli zilikuwa zinashikiliwa na tume ya mwanyika na takukuru, hata hivyo takukuru au tume ya mwanyika siyo mahakama, wote takukuru, liumba, na mwanyika mbele ya mahakama ni sawa unless someone is convicted

kuna wanaodai hapa kuwa kwa kuwa liumba ametoroka basi watuhumiwa wote wa EPA warudishwe rumande na dhamana zao zifutwe, NI VEMA MKAJUA KUWA WALE NI WATUHUMIWA TU, NA TENA MTASHANGAA ZAIDI KUWA JANJA YOTE YA KUWALLETA AKINA LIUMBA MAHAKAMANI NI KUWANYAMAZISHA WANANCHI WASAHAU HABARI YA KAGODA, LIUMBA NA KWEKA WANANWEZAJE KUFUJA 200BN KWA MIAKA 6 BILA MAMALAKA ZA KUU BENKI KUU, WIZARA YA FEDHA, IKULU, USALAMA WA TAIFA KUJUA?

NI VEMA KAMA JAMII FORUMS INAVYOJULIKANA KAMA HOME OF THINKERS TUKAFIKIRI KWA MAPANA, HIVI NI LINI SINEMA NA USANII WA MTU HUYU AITWAYE KIKWETE UTAISHA?
 
wanajamii naomba kueleweshwa wakina mramba/yona/mgonja ilibidi waende mahakama kuu kuomba kupunguziwa dhamana na kuchukua kama wiki pamoja na uhakiki wa hati za nyumba.hakimu hadija alipata wapi madaraka ya kupunguza dhamana kutoka bil.50 mpaka mil.800 bila kuihusisha mahakama kuu na pia kukataa kuwapa muda upande wa mashitaka kuhakiki hati na thamani?

walicho-appeal mahakama kuu mramba na yona ni hakimu mwankenja kukosea yafuatayo

sheria inasema mshtakiwa anaweza kujidhamini kwa mali isiyohamishika au hard cash, hakimu alilazimisha iwe cash , mahakama kuu ilitoa unafuu kuwa inawezekana kuwa cash au title, deed

pia sheria inataka kama unashtakiwa kwa upotevu wa say 100m, unatkiwa kujidhamini kwa mali au cash yenye thamani ya nusu ya 100 yaani 50m, kama mko wawili mnagwana yaani kila mmoja 25m, hakimu mwankenja yeye hakutaka wagawane thamani ya kosa lenyewe , mahakama kuu ilirekebisha hili

hakimu mwankenja alikosea pia kwa kesi ya rajab maranda, na huenda makosa haya aliyafanya makusudi

jambo la kujiuliza je hawa wanaoletwa mahakamani ndo kweli wahusika wa sakata la epa na bot towers? Ni vema tukaacha ushabiki kwa kuwa wahusika hasa wako mtaani wakicheza ule mchezo maarufu wa ukuti ukuti wa mnazi wa mnazi
 
tunapochangia hapa tujitahidi kuwa katika mstari wa kisheria, mahakama ina haki ya kudai passport, ni kweli zilikuwa zinashikiliwa na tume ya mwanyika na takukuru, hata hivyo takukuru au tume ya mwanyika siyo mahakama, wote takukuru, liumba, na mwanyika mbele ya mahakama ni sawa unless someone is convicted

kuna wanaodai hapa kuwa kwa kuwa liumba ametoroka basi watuhumiwa wote wa EPA warudishwe rumande na dhamana zao zifutwe, NI VEMA MKAJUA KUWA WALE NI WATUHUMIWA TU, NA TENA MTASHANGAA ZAIDI KUWA JANJA YOTE YA KUWALLETA AKINA LIUMBA MAHAKAMANI NI KUWANYAMAZISHA WANANCHI WASAHAU HABARI YA KAGODA, LIUMBA NA KWEKA WANANWEZAJE KUFUJA 200BN KWA MIAKA 6 BILA MAMALAKA ZA KUU BENKI KUU, WIZARA YA FEDHA, IKULU, USALAMA WA TAIFA KUJUA?

NI VEMA KAMA JAMII FORUMS INAVYOJULIKANA KAMA HOME OF THINKERS TUKAFIKIRI KWA MAPANA, HIVI NI LINI SINEMA NA USANII WA MTU HUYU AITWAYE KIKWETE UTAISHA?

ndio maana nikauliza na kuendelea kujiuliza. hivi mahakama inapomtaka mtuhumiwa awasilishe passport wakati ikijua fika kwamba serikali imetangaza kushikilia hizo hati je hiyo ni indirect order kwa serikali kwamba imrudishie mtuhumiwa hati yake ili aweze iwasilisha mahakamani au serikali ndio itafanya hiyo kwa niaba ya mtuhumiwa. narudia tena hili ni swali ambalo naamini naweza jibiwa na anayefahamu bila kutoa ya mtu kujaribu kutafsiri mawazo yangu kwamba naona mtuhumiwa, takukuru na mwanyika ni tofauti mbele ya sheria.

natumaini hapa huashirii kwamba kwa kuuliza swali basi nimekuwa na mtazamo finyu.
 
Inadaiwa jamaa yupo hui kwa kubwia sumu.habari ambazo hazija thibitishwa kwamba baad ya kupewa dhamana aliona mwenendo wa kesi utamletea fedheha na kuamua kuji MKWAWA ILI KUKWEPA FEDHEHA HIYO.TAARIFA HIZO HAZISEMI aina ya sumu aliyobwia na wala hospitali anayougulia ingawa inadaiwa kuwa ANAENDELEA VIZURI.
Duh.ISIJELETA UTATA KAMA ILE YA BOSI WAKE BALALI?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom