Kesi ya Liyumba, Utata na Maendeleo yake

Kesi ya Liyumba, Utata na Maendeleo yake

Status
Not open for further replies.
Kwa nini hakimu amewaachia wadhamini?

Kwa sababu hakuna mtu atadhamini mtu kama yeye ndio anafungwa mtuhumiwa akiingia mitini.

Mdhamini hawezi ku control mtuhimiwa asiingie mitini.

…wadhamini wawekwa rumande baada ya kushindwa kumleta mshatiwa mahakamani!!!!

Si kweli.

Isipokuwa kama hawafuati sheria.

Mdhamini hafungwi kwa kushindwa kumleta mtuhumiwa mahakamani. Mdhamini anafungwa iwapo tu mali iliyowekwa dhamana imeshindwa kuuzika au imepigwa mnada halafu hela iliyopatikana bado haitoshi. Na ni procedure yenye safeguards ndefu mno, sio rahisi rahisi kufunga mdhamini.

THE CRIMINAL PROCEDURE ACT, 1985/9, Section 160 (1), (4)
Forfeiture of recognizance

Whenever it is proved to the satisfaction of a court by which a recognizance …has been taken for appearance before the court to the satisfaction of the court that such recognizance has been forfeited, the court shall record the grounds of such proof and may call upon any person bound by such recognizance to pay the penalty thereof or to show cause why it should not be paid.

If that penalty is not paid and cannot be recovered by that attachment and sale, the person so bound shall be liable by order of the court which issued the warrant to imprisonment for six months.
 
Last edited:
Kesi zote za EPA na za akina Liyumba ni mbio za sakafuni zinazofanywa na serikali ya ccm, sharti ziishie............... Wanaandaa mazingira ya uchaguzi 2010. Watajinadi kwa kusema wao ni bingwa wa kushughulikia ufisadi tz, ndo maana waliwafikisha mahakamani mafisadi wote ila mahakama ikawachia huru, na wasingeweza kuingilia uhuru wa mahakama! Watanzani tumekwisha!
 
Kungurumweupe,
Afadhali wewe umesema. Hata hii ya akina Mramba na Yona ni kiini macho tu. Baada ya uchaguzi wa 2010 utasikia wanaachiwa kwa kukosekana ushahidi wa kutosha. Hivi hujajiuliza ni kwa nini kesi ya Mahalu imechukua miaka mitatu sasa? Na kila mara ni upande wa prosecution unaoomba kuahirishwa kwa kesi?
 
Mbingu ni zako ee bwana na nchi ni yako,
Ndiwe uliyeumba binadamu na kila kitu
kilichomo!

Ndiye wewe mtawala pekee
Mwenye enzi na enzi,
Peke yako wastahili kuabudiwa!

Ninaagiza nguvu zako toka Mashariki
Na uweza wako toka Magharibi,
Ninaita upepo na moto, mvua na radi
Ninaita kisulisuli na kimbunga
Ninaita nguvu zote za asili ya ulimwengu,
Na nguvu zote ulizoziumba

Zile njama mara hii tena
Mara hii zikubaliane
Na mara hii tena zikutane
Na kufanya kila mpango wa Liyumba kuporomoka na kuvunjika
Ndani ya masaa 24 kuanzia sasa awe mbaroni au ajisalimishe mwenyewe

Kwani kuanzia sasa yeyote atakayemsaidia au anayemsaidia kutoroka
Napandikiza laana kwake kwa ajili ya roho za watu wote ambao
kutokana na Liyumba au washirika wake au watuhumiwa wengine
wenye mipango kama yake wamepata madhara yoyote yale!

Ninamuita Dubu, na ninamuita Leo
Ninawaita mashujaa wa kale
Wala njama wa milele
Kwa pamoja wanyanyuke na kuweka pingamizi!
Ili haki itendeke!

Kwa jina lake yeye ambaye aliyeko, aliyekuwako na anayekuja!

Na hili nalo litakuwa Ushuhuda!
 
Jamani huyu mtu kapelekwa kwa babu,atarudi fanyeni subira
 
Mmmh! Wadau kama hii ya Lyumba ni kweli nadhani serikali inabidi ibebe huo mzigo kama sio mahakama kwa kulegeza masharti ya udhamini.

Kuhusu Passport nilivosikia mimi ni kuwa jamaa alipeleka iliisha muda tangu 2007, sidhani kama walifanikiwa omba ya current.

Haijatulia!
 
Mbingu ni zako ee bwana na nchi ni yako,
Ndiwe uliyeumba binadamu na kila kitu
kilichomo!

Ndiye wewe mtawala pekee
Mwenye enzi na enzi,
Peke yako wastahili kuabudiwa!

Ninaagiza nguvu zako toka Mashariki
Na uweza wako toka Magharibi,
Ninaita upepo na moto, mvua na radi
Ninaita kisulisuli na kimbunga
Ninaita nguvu zote za asili ya ulimwengu,
Na nguvu zote ulizoziumba

Zile njama mara hii tena
Mara hii zikubaliane
Na mara hii tena zikutane
Na kufanya kila mpango wa Liyumba kuporomoka na kuvunjika
Ndani ya masaa 24 kuanzia sasa awe mbaroni au ajisalimishe mwenyewe

Kwani kuanzia sasa yeyote atakayemsaidia au anayemsaidia kutoroka
Napandikiza laana kwake kwa ajili ya roho za watu wote ambao
kutokana na Liyumba au washirika wake au watuhumiwa wengine
wenye mipango kama yake wamepata madhara yoyote yale!

Ninamuita Dubu, na ninamuita Leo
Ninawaita mashujaa wa kale
Wala njama wa milele
Kwa pamoja wanyanyuke na kuweka pingamizi!
Ili haki itendeke!

Kwa jina lake yeye ambaye aliyeko, aliyekuwako na anayekuja!

Na hili nalo litakuwa Ushuhuda!

MMM,

''Dua za kuku hazimpati mwewe'' so ACTION tu ndo suluhisho kwa sasa!
 
hahahahahaha Mwanakijiji utaandika mashairi yote hadi uishiwe vina lakini ndio imetoka hiyo hahahaha harudi mtu.
 
Kungurumweupe,
Afadhali wewe umesema. Hata hii ya akina Mramba na Yona ni kiini macho tu. Baada ya uchaguzi wa 2010 utasikia wanaachiwa kwa kukosekana ushahidi wa kutosha. Hivi hujajiuliza ni kwa nini kesi ya Mahalu imechukua miaka mitatu sasa? Na kila mara ni upande wa prosecution unaoomba kuahirishwa kwa kesi?

Unajua tatizo ni nini? Ni kwamba kwenye haya mambo ya ufisadi huwezi kuwa single out watu fulani na kuwaacha wengine maana yanahusisha watu wengi sana. Sasa unawafunga Yona na Mramba, okay, ina maana wao ndio mafisadi pekee Tanzania? Mkapa na mke wake je? Wale waliouza Loliondo je? Wale wa Buzwagi je? Hii network ya mafisadi ni kama li cobweb!

Yaani sasa hivi imefikia mahali mafisadi yanakemeana menyewe kwa menyewe ala Kitine! This ufisadi is getting out of hand now....Good grief
 
wanaofikiri kuwa hakimu aliyetoa dhamana akamatwe mara moja wanasahau kuwa hili ni dola linalofuata sheria. ikiwa leo utamkamata huyu hakimu, kesho jaji atakayetoa hukumu ambayo wewe au wakuu wengine hawajaifurahia iatbidi ashushwe kwenye kiti na kupigwa mawe, sasa dola hili litakuwa sawa na lile la idd amin kwenye kesi ya bishop janaan luwun
 
Unajua tatizo ni nini? Ni kwamba kwenye haya mambo ya ufisadi huwezi kuwa single out watu fulani na kuwaacha wengine maana yanahusisha watu wengi sana. Sasa unawafunga Yona na Mramba, okay, ina maana wao ndio mafisadi pekee Tanzania? Mkapa na mke wake je? Wale waliouza Loliondo je? Wale wa Buzwagi je? Hii network ya mafisadi ni kama li cobweb!

Yaani sasa hivi imefikia mahali mafisadi yanakemeana menyewe kwa menyewe ala Kitine! This ufisadi is getting out of hand now....Good grief

Kuna post fulani Mwanakijiji amesema kuwa kupanga ni kuchagua (of course amemquote Nyerere), nadhani ndicho kinachofanyika katika hili... aidha wamepanga au kuchagua kuwafikisha hao kwa pilato na si wengine. Kitine mweache aseme tu, si maneno tu, kwani yanavunja mfupa?
 
Yeah....kweli. Kitine anasema tu kama tunavyosema sisi humu maana hata humu kuna watu wenye ukaribu sana na mafisadi....
 
Hii noma jamani, muungwana na watu wake wanatuboa! kweli mtu mwenye likesi kubwa namna hiyo hakuna uwt waliokuwa wakimlia chabo asije kutoweka??? Mi sidhani kuwa katoroka ila katoroshwa ili auwawe kisieleweke kitu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom