The Infamous
JF-Expert Member
- May 11, 2009
- 731
- 121
Wadau siielewi vizuri hii kesi ya Liyumba ni njisi gani hakimu aliweza kutoa maamuzi
Cheo chake naona kwa maamuzi kama yale ni kama haiwezekani
kivipi mkuu fafanua tatizo au kinachokutatanisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau siielewi vizuri hii kesi ya Liyumba ni njisi gani hakimu aliweza kutoa maamuzi
Cheo chake naona kwa maamuzi kama yale ni kama haiwezekani
Hii kesi imeshaanza kunukia 'uzombe.' Hebu angalia maswali ya jopo la mahakimu: "Majengo yamejengwa hayakujengwa? Liyumba alifaidika binafsi na upanuzi wa ujenzi huo? Je, kulikuwa na udanganyifu katika kiasi cha fedha kilichotumika katika ujenzi ujenzi huo? Sasa hasara inapatikanaje?" Hapa shahidi hakuweza kujibu swali hata moja na kusababisha kicheko toka kwa watu! Kaaazi kweli kweli!
Kwa mwelekeo wa hizi kesi, mwisho wa siku hatafungwa mtu. Namna shahidi anavyoyumba inaonyesha ni jinsi gani upande wa mashitaka ulivyoandaa kesi dhaifu.
Sijui ya Alex Stewart nayo itakuwaje!!!
Sijajua kwa nini mawakili wa kujitegemea (Advocates) wako smart kuliko wale wa serikali (State Attorneys)!
Wale wa serikali ni goi goi kwa vile washinde au washindwe kesi mshahara uko pale pale, na wataendelea kupanda vyeo au kuongezewa mishahara kama kawaida kwa kigezo cha miaka waliyotumika.
Wale binafsi wanataka kujenga jina, kuvutia wateja hivyo wao kushindwa kesi siyo option.