Kesi ya Lulu imeahirishwa!

Kesi ya Lulu imeahirishwa!

Hapo ngoma ndo imeanza! Na hapo ndo wameanza kumsaidia. Maana angekuwa si mtu maarufu kesi yake isingekuwa inaahirishwa kwa muda wa wiki mbili (fourteen day rule) kesi iliyoahirishwa leo ingetajwa tena mpaka novembaaaa 2012!!!

:biggrin: hivi hizi kesi wanaziairisha coz mahakama iko busy au wanafanya upelelezi zaidi? jamani si kila kitu kinafahamika kilichotokea...wasipoteze hela za walipa kodi kuendesha kesi mahakamani muda wote huu wakati vielelezo vyote wanavyo
 
lakini alikuwa anastahimili mapigo, binti ana mambo makubwa yanayomzidi umri!
 
Back
Top Bottom