Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nataka kujuwa maisha ya lulu sasa hivi yako vipi?
yeye mwenyewe kajichimbia,media zinajua katoka yupo kitaa.
Ila watu hamtakiwi kujua inshort kametulia hata kiwanja hakaendi kakitoka na baibui na nikabu...
Chezea segedansi weye
Jamani acheni uongo,uzushi, na kuropoka.. kwani lazima upost? Sema kama ni hisia zako,sawa.Usiconclude.
Lulu yupo Segerea,kaupokea mwaka mpya Segerea. Wenye mapenzi mema dua zenu zinahitajika,katika kipindi hiki cha kesi yake akiwa gerezani,na hata atakapopata dhamana..
Na maisha yake baada ya hapo..