Kesi ya Lulu: Polisi asema alikuta chupa ya Jack Daniel na Panga kwenye tendegu la kitanda

Hapa tatizo lipo maana mtuhumiwa na marehemu walikua wenyewe wawili ndani sasa inshu ipo pale tunapoambiwa mauaji bila kukusudia tunajuaje hapo kama yalikusudiwa au hayajakusudiwa
 
Lulu bana eti anachat mahakamani[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]
 
Duhh umefunguka vizuri
Mi nataka tu kujua kwa hii case Lulu hatma yake ni nini, ngoja nivumilie naona tumefika mwisho wa case
 
anataka kutuonesha anajiamini sana...
mi nadhani angeinama tu awe anasali sala ya baba yetu uliye mbinguni...
hizi sio zama za jk

kila la kheri kwake
Ni kweli pia mama kanumba anajisikiaje akimuona yupo na simu, hapo Lulu alikosea
 
Huyo jaji mkuu alete na faili la babu seya tuone kama haki imetendeka! Haiwezekani vitoto vibakwe April igundulike oktoba na yule mwalimu kuwadi asifungwe apewe ukubwa wa cwt Kagera
 
Reactions: SDG
watu mna mahaba lulu na kanumba,sasa subiri likukute ndio utajua karaha ya kufiwa

kwa yote lulu apigwe miaka 30 inamtosha ukizingatia raha zote za dunia kisha kula,japo najua akitoka kipindi hicho hata MP(siku zake) mwezini zitakuwa zimekoma.
 
Mkuu vipi,una ugomvi binafsi na huyu binti au ni.....
 
Reactions: SDG
Huyo jaji mkuu alete na faili la babu seya tuone kama haki imetendeka! Haiwezekani vitoto vibakwe April igundulike oktoba na yule mwalimu kuwadi asifungwe apewe ukubwa wa cwt Kagera
hao walifungwa lwa amri kutoka juu..na waziri mwafulani kipindi kile..kisa papuchi ya mwanamke mmoja hivi .
si kweli hawajabaka kabisa.
walijaribu kukata rufaa wenyewe wameshindwa kesi..fihisu na michezo michafu mrd waozee jela
usiwaone wanalialia vile..ni kama vile "baba imetosha tumekoma haturudii tena...tufungulie tu"

ila machozi yao yatalipwa
 
Ila sheria mbaya sana wakat mwingine unakuta mtu alikua na yake lkn kisa tu kafa ukiwepo jumba bovu linakuangukia daah jamani masela mnaolala na watoto wa watu mageto, mtoto wa watu kaongopa anaenda sijui shule au chuo alaf analala kwako wiki ipo siku tutaishia lupango mamaaeee
 
Shukrani mkuu kwa maelezo mazuri [emoji122]
 
Akiua msanii au kiongozi ameua bila kukusudia ila akiua mtu mwengine amekusudia wajua sheria hebu mtujuze hapa inakuajume mtu anapoambewa ameua kwa kukusudia na bila kukusudia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…