mbarouk mkali
Member
- Jun 28, 2017
- 50
- 43
Hapa tatizo lipo maana mtuhumiwa na marehemu walikua wenyewe wawili ndani sasa inshu ipo pale tunapoambiwa mauaji bila kukusudia tunajuaje hapo kama yalikusudiwa au hayajakusudiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio nakumbuka mkuuHivi unakumbuka ile ya Dittopile wa mzuzuli? Nae si aliua bila kukusudia?
We jamaa unauhakika na maneno yako mkuu?? [emoji3] [emoji3]Ila huyu Lulu nae Nyapu yake imeanza kuliwa mapema kweliiii yani (in mwananchi wa Msoga voice)
Duhh umefunguka vizurikuna vitu vingi vinachangia kesi kuchelewa kumizika na kutolewa hukumu.kama kukosekana ushahidi,mashahidi kutotokea mahakamani hivo kesi kuhairishwakutokamilika kwa upelelezi..kukosekana uahahidi,mlundikano wa kesi nyingi mhakamani hivo utaskia kesi inapigwa kalenda hadi miezi miwili ijayo au mitatu ndo itasikilizwa tena nk.
ila keai ya huyu dada kuna mambo mengi yalijitokeza..ni haya
-alidanganya umri..akikuwa jila ataopoulizwa anasema ana miaka 18..tangu akiwa na miaka 15.anaingia club na kulewa huko..amaenda uhamiaji anapewaje sihui passport eti ana miaka 18,visa anapewa,gari anaendesha.na mengineyo
so siku alivopatwa na huu msala na kukamatwa akiandikiahwa polis akasema ana miaka 18.
akapelekwa mahakama.ghafla babake akaibuka akasema mwanangu ni mtoto..ashtakiwe kama mtoto hajafika 18..nimemzaa1995..2012 hiyo ana miaka 16 na ndo anakaribia kufikisha 17.
so ukaibuka mvutano..ashtakiwe wapi..mahakama ya watoto au watu wazima!?
mahakama na polis wanasema tunamtambua kama mtu mzima wa miaka 18..baba mtu na wakili kibatala wanamtambua kama mtoto na kuweka pingamizi...so badala ya kusikiliza kes ya mauaji wakaanza kwanza kesi ya wapi akaahtakiwe..kama mtoto au mtu mzima..hii ilipelwkea hata yeye lulu kukaa segerea kama mahabusu kwa miezi tiaa hadi alipoombeqa dhamana akapata kwa million 20 ndo akarudi uraiani kwa masharti...uongo qake ulimcost mwnyewe.
-pili akiwa uraiani alikuwa anapewa tarehe anahudhuria.tukashangaa ghafla kimyaa..inaaemekana alipata tajiri wa madini aliwnda kuhonga pesa za kutosha kesi ipotezewe..na ikawa hivo lakini faili bado lilikuwepo.
hivi majuzi magufuli aliteua jaji mkuu mpya..huyu jaji alivoingia kazini akakuta mlundikano wa kesi nyingi.haikufurahisha.halafu mahakimu,mawakili na wafanyakazi wengineo ndo walikua wanatarajia kuingia likizo.huku kuna kesi si chini ya mia nne..na kuna mahabusu wana hata miaja mitano wako jela wanasubiri keai ziishe ..akawapiga atop hakuna cha likizo wala mjomba ake likizo..mpaka mmalize hivo viporo vya kesi.
wakapewa na budget..kazi ikaanza..
so kwa sasa ni bampa to bampa hadi kesi zote ziishe..hakuna kiporo.
kila siku zinasomwa kesi nyingi tu sema hazina umaarufu..
hii ndo imefika..na ukiangalia ilianza alhamis..ikaaikilizwa tena ijumaa..inatarajiwa tena jtatu..hii inamaanisha keai itaisha ndani ya mwez huu huu na hukumu itatolewa.
kama aio amri ya huyu jaji kesi ingeskilizwa miaka kumi ijayo.
Ni kweli pia mama kanumba anajisikiaje akimuona yupo na simu, hapo Lulu alikoseaanataka kutuonesha anajiamini sana...
mi nadhani angeinama tu awe anasali sala ya baba yetu uliye mbinguni...
hizi sio zama za jk
kila la kheri kwake
Kaka yake yupi? You mean kanumba amekuwa kaka tena[emoji3] [emoji3]
Na sio shinikizo la damu bali alijiua hotelini kutokana na mfadhaikoIle bhana hakujinyonga alikufa nyumbani kwake kwa shinikizo la damu mkuu au nimekosea?
Huyo jaji mkuu alete na faili la babu seya tuone kama haki imetendeka! Haiwezekani vitoto vibakwe April igundulike oktoba na yule mwalimu kuwadi asifungwe apewe ukubwa wa cwt Kagerakuna vitu vingi vinachangia kesi kuchelewa kumizika na kutolewa hukumu.kama kukosekana ushahidi,mashahidi kutotokea mahakamani hivo kesi kuhairishwakutokamilika kwa upelelezi..kukosekana uahahidi,mlundikano wa kesi nyingi mhakamani hivo utaskia kesi inapigwa kalenda hadi miezi miwili ijayo au mitatu ndo itasikilizwa tena nk.
ila keai ya huyu dada kuna mambo mengi yalijitokeza..ni haya
-alidanganya umri..akikuwa jila ataopoulizwa anasema ana miaka 18..tangu akiwa na miaka 15.anaingia club na kulewa huko..amaenda uhamiaji anapewaje sihui passport eti ana miaka 18,visa anapewa,gari anaendesha.na mengineyo
so siku alivopatwa na huu msala na kukamatwa akiandikiahwa polis akasema ana miaka 18.
akapelekwa mahakama.ghafla babake akaibuka akasema mwanangu ni mtoto..ashtakiwe kama mtoto hajafika 18..nimemzaa1995..2012 hiyo ana miaka 16 na ndo anakaribia kufikisha 17.
so ukaibuka mvutano..ashtakiwe wapi..mahakama ya watoto au watu wazima!?
mahakama na polis wanasema tunamtambua kama mtu mzima wa miaka 18..baba mtu na wakili kibatala wanamtambua kama mtoto na kuweka pingamizi...so badala ya kusikiliza kes ya mauaji wakaanza kwanza kesi ya wapi akaahtakiwe..kama mtoto au mtu mzima..hii ilipelwkea hata yeye lulu kukaa segerea kama mahabusu kwa miezi tiaa hadi alipoombeqa dhamana akapata kwa million 20 ndo akarudi uraiani kwa masharti...uongo qake ulimcost mwnyewe.
-pili akiwa uraiani alikuwa anapewa tarehe anahudhuria.tukashangaa ghafla kimyaa..inaaemekana alipata tajiri wa madini aliwnda kuhonga pesa za kutosha kesi ipotezewe..na ikawa hivo lakini faili bado lilikuwepo.
hivi majuzi magufuli aliteua jaji mkuu mpya..huyu jaji alivoingia kazini akakuta mlundikano wa kesi nyingi.haikufurahisha.halafu mahakimu,mawakili na wafanyakazi wengineo ndo walikua wanatarajia kuingia likizo.huku kuna kesi si chini ya mia nne..na kuna mahabusu wana hata miaja mitano wako jela wanasubiri keai ziishe ..akawapiga atop hakuna cha likizo wala mjomba ake likizo..mpaka mmalize hivo viporo vya kesi.
wakapewa na budget..kazi ikaanza..
so kwa sasa ni bampa to bampa hadi kesi zote ziishe..hakuna kiporo.
kila siku zinasomwa kesi nyingi tu sema hazina umaarufu..
hii ndo imefika..na ukiangalia ilianza alhamis..ikaaikilizwa tena ijumaa..inatarajiwa tena jtatu..hii inamaanisha keai itaisha ndani ya mwez huu huu na hukumu itatolewa.
kama aio amri ya huyu jaji kesi ingeskilizwa miaka kumi ijayo.
Mkuu vipi,una ugomvi binafsi na huyu binti au ni.....watu mna mahaba lulu na kanumba,sasa subiri likukute ndio utajua karaha ya kufiwa
kwa yote lulu apigwe miaka 30 inamtosha ukizingatia raha zote za dunia kisha kula,japo najua akitoka kipindi hicho hata MP(siku zake) mwezini zitakuwa zimekoma.
hao walifungwa lwa amri kutoka juu..na waziri mwafulani kipindi kile..kisa papuchi ya mwanamke mmoja hivi .Huyo jaji mkuu alete na faili la babu seya tuone kama haki imetendeka! Haiwezekani vitoto vibakwe April igundulike oktoba na yule mwalimu kuwadi asifungwe apewe ukubwa wa cwt Kagera
akiachiwa huru tutachambwa hadi sura zishuke ka vibibi vya miaka 90Duhh umefunguka vizuri
Mi nataka tu kujua kwa hii case Lulu hatma yake ni nini, ngoja nivumilie naona tumefika mwisho wa case
Shukrani mkuu kwa maelezo mazuri [emoji122]kuna vitu vingi vinachangia kesi kuchelewa kumizika na kutolewa hukumu.kama kukosekana ushahidi,mashahidi kutotokea mahakamani hivo kesi kuhairishwakutokamilika kwa upelelezi..kukosekana uahahidi,mlundikano wa kesi nyingi mhakamani hivo utaskia kesi inapigwa kalenda hadi miezi miwili ijayo au mitatu ndo itasikilizwa tena nk.