Kesi ya Lulu: Polisi asema alikuta chupa ya Jack Daniel na Panga kwenye tendegu la kitanda

Pathologist aliyefanya postmortem kwenye mwili wa marehemu (Dr Mwakigonja) ni shahidi muhimu pia kwenye hii kesi
 
Duuh.....ungejua huyu wanataka wamfanye mfano usingesema!

Miaka kuanzia mitano mpaka kumi inamhusu, mark my words mkuu!
Witnessj mbona kama vile kweli!! Hivi Steven K si alikuwa Msukuma yule kaka jamani? Kwahiyo wametuulia Msukuma wetu mamaaaa[emoji134] [emoji134] [emoji134] mbona naiona miaka 15 mtu anapigwa aisee! Now I arleady mark your words!!
 
natamani huyu dogo atusaidie na kwa huyu mungu wa dar
 
Witnessj mbona kama vile kweli!! Hivi Steven K si alikuwa Msukuma yule kaka jamani? Kwahiyo wametuulia Msukuma wetu mamaaaa[emoji134] [emoji134] [emoji134] mbona naiona miaka 15 mtu anapigwa aisee! Now I arleady mark your words!!
Wee ngoja uone...tukumbukane kwenye hizi comments...

Kuna watu wanatafuta sifa mark my words!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…