Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Why datDuuh.....ungejua huyu wanataka wamfanye mfano usingesema!
Miaka kuanzia mitano mpaka kumi inamhusu, mark my words mkuu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Why datDuuh.....ungejua huyu wanataka wamfanye mfano usingesema!
Miaka kuanzia mitano mpaka kumi inamhusu, mark my words mkuu!
Alifia loudge mkuu Hilux Hotel(HH),MorogoroIle bhana hakujinyonga alikufa nyumbani kwake kwa shinikizo la damu mkuu au nimekosea?
Witnessj mbona kama vile kweli!! Hivi Steven K si alikuwa Msukuma yule kaka jamani? Kwahiyo wametuulia Msukuma wetu mamaaaa[emoji134] [emoji134] [emoji134] mbona naiona miaka 15 mtu anapigwa aisee! Now I arleady mark your words!!Duuh.....ungejua huyu wanataka wamfanye mfano usingesema!
Miaka kuanzia mitano mpaka kumi inamhusu, mark my words mkuu!
Unamaanisha marehemu alikuwa ni mbakaji mzoefu kwa kutumia kivuli cha sanaa?
Kesi ya mauwaji haushitakiwi na ndugu wa marehemu bali unashitakiwa na jamhuri.Kwani hii kesi ilipoteleaga wapi.mi nilidhani waĺishasameheanaga
Wee ngoja uone...tukumbukane kwenye hizi comments...Witnessj mbona kama vile kweli!! Hivi Steven K si alikuwa Msukuma yule kaka jamani? Kwahiyo wametuulia Msukuma wetu mamaaaa[emoji134] [emoji134] [emoji134] mbona naiona miaka 15 mtu anapigwa aisee! Now I arleady mark your words!!
Witness hii safari ya pili unaniambia hivyo asee! Are you serious??Wee ngoja uone...tukumbukane kwenye hizi comments...
Kuna watu wanatafuta sifa mark my words!