Kesi ya Lulu ya Kumuua bila kukusudia Steven Kanumba yaanza kusikilizwa

Heaven on Earth

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2013
Posts
37,226
Reaction score
26,687
Msanii wa filamu Elizabeth Michael leo 7 Feb alifikishwa mahakama kuu kanda ya Dar es salaam kwa kesi ya mauaji ya bila kukusudia,kwamba April 7 2012 maeneo ya Sinza Vatican mshtakiwa alimuua Kanumba bila kukusudia.

Pia upande wa utetezi umekubali kuwa Lulu alikuwa na uhusiano na marehem Steven Kanumba na siku ya tukio alikuwepo Sinza na kulikuwa na ugomvi kati yake na marehem kabla umauti wake haujamkuta.

Report ya daktari inaonyesha kwamba kifo cha Kanumba kilitokana na kushindwa kupumua kutokana na mtikisiko wa ubongo, kesi hiyo imehirishwa hadi itakapotangazwa tena hapo baadae na dhamana ya mshtakiwa imeendelea.

Lulu aliongozana na mama yake, Kajala pamoja na Dk Cheni



 
Hakuna kesi, tamu ya waheshimiwa hiyo nani atakubali ikatafunwe na bwana jela?

kilichobaki ni process za kimahakama tu kabla hajaachiliwa huru au dpp kumfutia mashtaka. Hii kesi mimi ningekuwa jaji ningeshaitilia mbali siku nyingi tu, Kanumba alikuwa anajichubuwa mpaka ngozi ngumu yote ikaisha, kichwani unakaa kwenye madraya kama demu sasa ukianguka ukafikia kichwa unategemea nini?
 
Mwache achekelee kabisa ukweli anaujua yeye alichofanya mkaka wa watu
 

dah akili zako we jamaa/????????????????????????????????????????????////
 

Hahaaaaaaaaa kwani yule mbaba bado anamkula..............

hahaaaaaaaaaa eti ngozi ngumu yote ikaisha LOooh, Matola akili zako wazijua mwenyewe
 
Kwenye orodha ya vitu vya ushahidi wa kesi hii vilivyo orodheshwa mahakamani ni panga, nashindwa kuelewa panga lilitumikaje kwenye tukio, usikute haka katoto kaliimkunyunga (?ubapa) marehem panga!
 
Hahaaaaaaaaa kwani yule mbaba bado anamkula..............

hahaaaaaaaaaa eti ngozi ngumu yote ikaisha LOooh, Matola akili zako wazijua mwenyewe
Sasa ulitaka akili zangu uzijuwe wewe? mbona hata wewe akili zako wazijuwa wewe mwenyewe?
 
Ndo maana siku kutwa anashinda na biblia mara aimbe nyimbo za dini kumbe majanga yamekaribia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…