Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Msanii wa filamu Elizabeth Michael leo 7 Feb alifikishwa mahakama kuu kanda ya Dar es salaam kwa kesi ya mauaji ya bila kukusudia,kwamba April 7 2012 maeneo ya Sinza Vatican mshtakiwa alimuua Kanumba bila kukusudia.
Pia upande wa utetezi umekubali kuwa Lulu alikuwa na uhusiano na marehem Steven Kanumba na siku ya tukio alikuwepo Sinza na kulikuwa na ugomvi kati yake na marehem kabla umauti wake haujamkuta.
Report ya daktari inaonyesha kwamba kifo cha Kanumba kilitokana na kushindwa kupumua kutokana na mtikisiko wa ubongo, kesi hiyo imehirishwa hadi itakapotangazwa tena hapo baadae na dhamana ya mshtakiwa imeendelea.
Lulu aliongozana na mama yake, Kajala pamoja na Dk Cheni