Mwigulu si amtaje mtu tu bali atoe ushahidi usioacha shaka kuwa huyo anayemtaja kumpa ni kweli alimpa. Najua anasema hivyo kuwa kapewa ili kuleta mgawanyiko na kutoaminiana kati ya wanaCDM. Anaweza kumtaja Naibu katibu mkuu mwenzake yaani ZZK, Nassari, Leticia Nyerere au hata Dr. Slaa ili tu alete mkanganyiko na kuzorotesha M4C na mikakati ya kukijenga CDM.
Mkuu ulicho kiongea ni kweli kabisa ; Lakini ni vyema magamba wakasoma alama za nyakati na wakalielewa hili mapema " siku zote ukweli una tabia ya kuchelewa, na kamwe huwezi kuuzuia kufika uliko kusudia"
Duh! Yani ushahidi unapigiwa ana ana doo ?Haya naomba awe Kirusi.wewe unapendekeza awe amepewa na nani huo mkanda.
Now ccm has a price to pay for having Mwigulu in it.... mdomo wa Mwigulu utakitafuna chama chao, just wait and see na jinsi jeshi letu la polisi linavyocheza sarakasi zake kwenye suala hili..
mama yakowewe unapendekeza awe amepewa na nani huo mkanda.
mama yako
kwenye hili la lwakatare tunalia na ukandamizaji wa haki za binadamu kwa kutumia polisi ugaidi tumeusemea sana kwenye ishu ya mwakyembe, mwandosya, mwaikusa, ulimboka na mwangosi lakini kwa kuwa wahusika ni wa kubwa serikalini basi wameziba masikioMi nlitegemea kuona watanzania wote kwa pamoja tungeweka pembeni itikadi za vyama na kukemea vitendo hivi vya kigaidi badala yake wabongo tunautetea