Step by step
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 1,164
- 1,293
Kichwa cha habari cha husika.
Mwaka 2020 daladala iligonga mtu na kusababisha kifo chamwanaume mmoja.
Dereva akwekwa ndani, nyaraka zikapelekwa kam leseni ya dereva na cover note ya bima.
Dereva akapelekwa mahakamani akahukumiwa kulipa faini ya 160, 000 akailipa nakuachiwa huru.
Majuzi mke wa jamaa aliefariki kaenda mahakamani kufungua kesi ya madai hivyo wafuatao wameitwa
1. Dereva
2. Mmiliki wa gari
3. Agent wa bima
Naomba kujuzwa kitaalam hii kesi imekaeje? Mimi kama mmiliki naingiaje na fidia za namna hii huwa zinalipwaje?