Kesi ya Matumizi mabaya ya Madaraka inayomkabili Paulo Makonda inatajwa Leo Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni

Sheria siyo ushabiki kama siasa mzee bali ni utaalamu,kinachokusumbua ni uchochezi na siasa za maji taka.

Utahangaila sana kwenye mitandao juu ya hili tafuta kazi ya kufanya,plz!!

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Atupilie mbali upuzi huu. Ni mambo kutaka kuondoa nchi kwenye reli. Makonda kafanya mazuri sana kama kijana mwanamapinduzi wa ccm. Rais samia kuacha kuzuia wahuni kumsumbua ni mfano mbaya sana.
 
Update

Bashite kaletwa Kortin, kasomewa Mashtaka ambayo hayana Dhamana
 
lie mbali upuzi huu. Ni mambo kutaka kuondoa nchi kwenye reli. Makonda kafanya mazuri sana kama kijana mwanamapinduzi wa ccm. Rais samia kuacha kuzuia wahuni kumsumbua ni mfano mbaya sana.

Huyu ni mmoja wa viongozi waliofaidika na kufanikisha utawala wa kidhalimu wa Magufuli ndani ya nchi hii. Ni vizuri afungwe ili kuepusha nchi yetu kuja kutawaliwa kwa uvunjwaji mkubwa wa sheria kama wakati wa Magufuli. Makonda alishiriki kupanga kuteka watu, kuwaua na unyama mwingine mkubwa kama huo, ikiwemo kupora fedha za wafanyabishara, kwa kushirikiana na kundi la watu wasiojulikana kwa baraka za Magufuli. Anaweza kusalimika sasa maana CCM bado ipo madarakani kwa shuruti, ila CCM iking'olewa madarakani kwa machafuko, ni lazima afungwe kifungo cha maisha, kwani tuna ushahidi wa uharamia wake.
 
Safi sana Makonda alikuwa Mtoto wa MUNGU MTU wa TANZANIA
 
hivi mwenda zake alisema mayalla maana yake nini vile?
 
Kama wahusika hawaoneshi kutoa ushieikiano hili suala. Makonda atashinda kesi. Halafu aliyemfungulia kesi atatfuta pa kuiweka sura yake.
 
Wengine wanaolalamikiwa katika hati hiyo ni mkurugenzi wa mashitaka nchini na Mkurugenzi wa upelelezi nchini Tanzania.
hawa jamaa hawana muda na kesi za namna hiyo, wapo kisiasa zaidi kuhakikisha MH. BOWE anakula mvua za kutosha ili iwe fundisho kwa wanasiasa wengine wa upinzani nchini.
 
Kwenye sheria ulifeli miserably, umebakia kuwa a spent cartridge pen pusher!
Mkuu MTK , you are very wrong on me na sheria. Sikusoma sheria ili niwe wakili, nilisoma sheria just to be knowledgeable. LL.B yangu ni LL.B (hons) ya UDSM, mtu kupata LL.B hons ya UDSM, sio shughuli, ndogo, ni uthibitisho kwenye medulla oblongata yangu, kuna something na sio an empty shell. Tatizo la sheria, wale wenye 1st class ndio the poorest of the poor, hawashindi kesi yoyote mahakamani, hivyo the best they could do ni kuwa waalimu wa chuo au kusubiria teuzi mbalimbali.

Mimi kwa upande wangu na sheria, kosa langu ni moja tuu, mimi ni Nyerere type, kwangu mimi pesa sio msingi, bali ni matokeo tuu. Kwa vile nilisoma sheria huku nikiwa mwandishi, hata baada ya kuhitimu, sikuwahi kuifuata LL.B yangu pale UDSM, niichukue for what wakati siitumii. Japo sheria ina pesa zaidi, kuliko uandishi, mimi nimetokea kuupenda uandishi kuliko sheria, ila kwa vile mimi ni mtoto wa hapa hapa mjini, nimezaliwa mjini, nimesomea mjini na ninaishi hapa hapa town, nikiamua ku petition kuwa wakili, anytime, pia pitapiga tuu fungu, kama kwenye uandishi mambo ni magumu hivi na mimi nimeweza kudumu for 30 years, nikiamua kugeukia sheria ambayo ni msesereko, si nitazikomba sana tuu?, hivyo kuniambia sheria nilifeli, kwasababu tuu sio wakili sio kunitendea haki.
Ukiwa na good brain, its like you have a Midas touch, everything you touch, turns to ...
P
 
Hivi hati ya mashtaka ikiwa na udhaifu haitakiwi kutupiliwa mbali?......
... ingekuwa wenye mashtaka ni Chadema hati ingetupiliwa mbali dakika ile ile with immediate effect! Tena polisi wangewatawanya haraka sana kutoka viunga vya mahakama na makumi kadhaa wangepandishwa karandinga tayari kwa safari ya Segerea.
 
Kwenye sheria ulifeli miserably, umebakia kuwa a spent cartridge pen pusher!
Mkuu MTK , you are very wrong on me na sheria. Sikusoma sheria ili niwe wakili, nilisoma sheria just to be knowledgeable. LL.B yangu ni LL.B (hons) ya UDSM, mtu kupata LL.B hons ya UDSM, sio shughuli, ndogo, ni uthibitisho kwenye medulla oblongata yangu, kuna something na sio an empty shell. Tatizo la sheria, wale wenye 1st class ndio the poorest of the poor, hawashindi kesi yoyote mahakamani, hivyo the best they could do ni kuwa waalimu wa chuo au kusubiria teuzi mbalimbali.

Mimi kwa upande wangu na sheria, kosa langu ni moja tuu, mimi ni Nyerere type, kwangu mimi pesa sio msingi, bali ni matokeo tuu. Kwa vile nilisoma sheria huku nikiwa mwandishi, hata baada ya kuhitimu, sikuwahi kuifuata LL.B yangu pale UDSM, niichukue for what wakati siitumii. Japo sheria ina pesa zaidi, kuliko uandishi, mimi nimetokea kuupenda uandishi kuliko sheria, ila kwa vile mimi ni mtoto wa hapa hapa mjini, nimezaliwa mjini, nimesomea mjini na ninaishi hapa hapa town, nikiamua ku petition kuwa wakili, anytime, pia pitapiga tuu fungu, kama kwenye uandishi mambo ni magumu hivi na mimi nimeweza kudumu for 30 years, nikiamua kugeukia sheria ambayo ni msesereko, si nitazikomba sana tuu?, hivyo kuniambia sheria nilifeli, kwasababu tuu sio wakili sio kunitendea haki.
Ukiwa na good brain, its like you have a Midas touch, everything you touch, turns to ...
P
 
Ni sawa kabisa kama inavyotakiwa gaidi afungwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…