Kesi ya Matumizi mabaya ya Madaraka inayomkabili Paulo Makonda inatajwa Leo Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni

hivi mwenda zake alisema mayalla maana yake nini vile?
Kiswahili kina upungufu wa vocabulary,
drought kwa Kiswahili ni njaa
Famine kwa Kiswahii ni njaa
Hunger kwa Kiswahili ni njaa
Empty stomach kwa Kiswahili ni njaa.
Mayalla ni ukame unaosababisha baa la njaa na sio njaa ya tumbo yenye kuhitaji shibe!.
Ila pia, naniliu, hakuwa Msukuma original, hivyo kukosea sio jambo la ajabu.
P
 
Hahahaaaaa leo unamkataa!?
 
Kumbe wasiojulikana .... Wanajulikana.

Hao wachache waliobaki wafichuliwe washughulikiwe ...!!
Kuna wasiojulikana wa aina mbili.
  1. Wasiojulikana ambao ni wasijulikana kabisa, hawa wanatafutwa, siku wakipatikana, watajulikana.
  2. Wasiojulikana ambao ni 'wasiojulikana', hawa kamwe hawatajulikana.
Sasa kuwatambua nani ni nani, na waliomshambulia Lisu kama ni wasiojulikana au 'wasiojulikana', karibu mitaa hii
P
 
Hahahaaaaa leo unamkataa!?
No sio leo, nimesema mara nyingi, kuna wahamiaji haramu kibao, walilowea na kuwa Wasukuma ila sio original!. Nilisema ukiona Msukuma ana tabia za ajabu ajabu tofauti na tabia za asili za Wasukuma, ujue huyo sio original, na hili nililizungumza vizuri hapa
nilisema
Na kwenye uzi huu,

HAPA

wanaoujua ukweli, walitiririka

P.
 
Wakili Uchwara katika high level.
 
Mkuu, kwa sie tuliomfahamu akiwa hajabalehe, maneno yako si sahihi. Alikuwa ni Nsukuma Getegete na alipambania usukuma tangu awali. Naomba niishie hapo.
 
toto la baba leo limepanda kwa pirato...aisee maisha yanakwenda kwa kasi kubwa, haya maisha vana hiiiiiii

Nasikia kaingia namna hii mahakamani leo

 
Wanufaika na awamu ya 5 mnaonekana tu.

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…