Kesi ya Matumizi mabaya ya Madaraka inayomkabili Paulo Makonda inatajwa Leo Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni

Jamhuri haina interest na kumshtaki Makonda kwa sababu wanazozijua wao. Wangetaka, angekipata anachopitia Sabaya

Hakuna kesi hapa na akina Kubenea wanalifahamu hili.
Lakini maishani lazima Paul Makonda apite njia anayoipitia Sabaya. Ni suala la muda tu
 
 
Pumbafu zenu mnaleta kitu ilishatupiliwa mbali kusikilizwa. Tunajua makomredi wanaandamwa na hawa mbuzi waliyoambiwa na mama wale kwa urefu wa kamba zao. Ila kabla hamjavimbiwa magufulists will check on you na huyo dellilah wenu.
 
Pumbafu zenu mnaleta kitu ilishatupiliwa mbali kusikilizwa. Tunajua wanamapinduzi wanaandamwa na hawa mbuzi waliyoambiwa na mama wale kwa urefu wa kamba zao. Ila kabla hamjavimbiwa magufulists will check on you na huyo dellilah wenu.
Kha!! Kumbe MATAGA bado mpo! Naona sasa mnapigana vita vya msituni baada ya kusambaratishwa mjini na jeshi la Kikojan, huku likishirikiana kwa ukaribu kabisa na Msoga Gang.
 
Kha!! Kumbe MATAGA bado mpo! Naona sasa mnapigana vita vya msituni baada ya kusambaratishwa mjini na jeshi la Kikojan, huku likishirikiana kwa ukaribu kabisa na Msoga Gang.
Sijui mataga unamaanisha nini.
Ila ni kweli tumeingia msituni 2025 tunataka magufuli mpya..siyo hii upuuzi inaruhusu vigogo wale rushwa kwa kiasi. Sijui ana kipimo cha kiasi? Mtu kala kiapo cha urais wa jamhuri anawaambia vigogo wake wale rushwa kwa urefu wa kamba yake ya mbuzi🚶‍♂️🚶‍♂️🤸🏃🕺🏼🤔
 
MATAGA ni kifupi cha neno "Make Tanzania Great Again"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…