Kesi ya Mbowe: Commando Mhina, Shahidi Mwaminifu na Rafiki wa Kweli

Sawa ni unfit commandos lakini huo u unfit waliupatia wapi? Wakati wanaingia jeshini walikuwa unfit? Anyway at least wametumia sehemu ya maisha yao kwenye ulinzi wa taifa letu maana wengine wameenda mpaka Congo na Sudan kwenye peacekeeping mission. Wewe una lipi umefanya kwa taifa hili zaidi ya kudandia hoja za hapa na pale ili utupiwe mifupa utafune??
U unfit wao waliupata baada ya kujiingiza kwenye utumiaji wa madawa ya kulevya. Huwezi ukalaumu Jeshi kwa kuwa ni watovu wa nidhamu kama wengine tu walisitahili kufukuzwa.
 
Komando Mchina popote pale alipo na apokee salamu za kheri kutoka kwetu tunaoyaishi machungu yao.

Akiwa mtu huru, Commando Mhina alifika mahakamani kufanya sehemu yake ya kuuanika ukweli.

"Kwani nani anapenda kufika kwa ridhaa yake polisi au katika mahakama zinazosifika kwa dhuluma?"

"Kwa nini Commando Ling'wenya au awaye yote ahukumiwe kwa ushahidi wa uongo?"

Kama ilivyokuwa kwa ma Commando Ling'wenya, Adamoo, Malema, Urio, na Lijenje, Commando Mhina pia alikamatwa na kundi la akina Kingai, Jumanne, Mahita na Goodluck.

Akihojiwa na wakili msomi Peter Kibatala 5/11/2021, Mahita Omar Mahita alikiri:

View attachment 2031579

Kwa maelezo ya Commando Mhina, kulikuwa na convoy kubwa kwenye kukamatwa kwake iliyokuwapo hapo bila kujihusisha moja kwa moja. Ikiwa tayari tayari kama angejaribu kujitetea.

Kwenye mazingira kama hayo haipo namna ambayo Commando Lijenje angeweza kutoweka RAU madukani.

View attachment 2031663

Commando Mhina alikamatwa akielekea Pub akapelekwa Central Polisi Tabora, moja kwa moja kwenye kinyumba nyuma ya jengo kuu (main block) kwenda kuteswa.

Baada ya kipigo kikali alipelekwa mahabusu Tabora Railways alikokaa kwa siku 2, kabla ya kuhamishiwa Nzega polisi mahabusu, alikokaa kwa siku 3.

Nzega, Mhina alikutana pia na Commando Malema aliyekuwa kaletwa hapo mahabusu polisi kwenye mazingira kama aliyofikishwa nayo hapo, yeye.

Makomando wawili hawa walisafirishwa kuja Dar chini ya ile ile himaya pendwa ya akina Kingai, Jumanne, Mahita, na Goodluck, ambako walifikishiwa 23/9/2020 moja kwa moja mahabusu Polisi Tazara.

Tokea 19/9/2020 Commando Mhina alipokamatwa na kufungwa pingu, hakuwahi kufunguliwa pingu hizo wala kupewa chakula hadi alipopelekwa mahakamani kisutu 25/9/2020.

Katika kipindi chite hicho hakuwahi kusajiliwa katika kitabu au register yoyote popote.

Wana nini cha kumwambia nani dhidi ya nani kina Kingai, Mahita, Jumanne au Goodluck naye akawaamini?

Bila shaka ni watu hawa hawa walio mkamata pia Mh. Mbowe usiku usiku Mwanza na kumsafirisha kuja Dar kibazazi.

Wapongezwe wote wanaokuwa na ujasiri wa kusimama imara kuufichua uongo dhidi ya ukweli.

Maisha na haki za watu haziwezi kuchezewa kwa kisingizio cha jina "serikali" kwa kiwango hiki. Kwani serikali hiyo itakuwa ina mwakilisha nani?

Nani kama Commando Mhina?

"Kudos Commando Mhina. Kwa hakika wewe ni shahidi wa haki na Rafiki mwema."

Kwa hakika wapenda haki wote tutasimama nanyi kuona haipo haki yenu moja itakayopotea.
Huyo Malema si ajabu alishauliwa na kuwekwa kwenye sandarusi na kutupwa baharini.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Umeandika nini sasa hapo? Huyo Komando uchwara ni unfit kwa wale wako jeshini watajua vizuri maana ya Unfit. Ndiyo maana alifukuzwa Jeshini na ndiyo maana tena akalengeshwa na Urio kwa Gaidi Mbowe.

Komando kweli kweli hafukuzwi Jeshini akifanya makosa ya nidhamu anafungwa huko huko Jeshini na ikibidi kama bado anazigua anapelekwa vitani akakione chamoto, nafikiri unajua ninaposema vitani!!

Makomando walikuwa wakina Tamimu hata ukamataji wao ulikuwa kimbembe siyo hao wanakamatwa Rau sokoni hahahahaha... hapo kuna shield kibao tena wanakamatwa na askari watatu tu mmmmmh. Hao ni unfit commandos!!

Madawa ya kulevya yalishawamaliza stamina pamoja na uwezo wa akili zao za kufikiria ndio maana Urio akamwingiza mkenge Gaidi Mbowe.
Kuzaliwa watu modeli yako ni matumizi mabaya ya manii.

Uyo urio nae yupo wapi?
 
Makomandoo walipikwa, wakaiva vizuri.

Bila kujali ni nini kilisababisha kusitishwa ajira zao jeshini, lakini inaonekana mafunzo waliyopata huko waliyaelewa vizuri sana.
 
Umeandika nini sasa hapo? Huyo Komando uchwara ni unfit kwa wale wako jeshini watajua vizuri maana ya Unfit. Ndiyo maana alifukuzwa Jeshini na ndiyo maana tena akalengeshwa na Urio kwa Gaidi Mbowe.

Komando kweli kweli hafukuzwi Jeshini akifanya makosa ya nidhamu anafungwa huko huko Jeshini na ikibidi kama bado anazigua anapelekwa vitani akakione chamoto, nafikiri unajua ninaposema vitani!!

Makomando walikuwa wakina Tamimu hata ukamataji wao ulikuwa kimbembe siyo hao wanakamatwa Rau sokoni hahahahaha... hapo kuna shield kibao tena wanakamatwa na askari watatu tu mmmmmh. Hao ni unfit commandos!!

Madawa ya kulevya yalishawamaliza stamina pamoja na uwezo wa akili zao za kufikiria ndio maana Urio akamwingiza mkenge Gaidi Mbowe.
Unatania wewe. Unajua maana ya mtu unfit? Unfit ni yule aliyekufa kwa korona baada ya kujifanya yeye ni mwamba wa virus!
 
Umeandika nini sasa hapo? Huyo Komando uchwara ni unfit kwa wale wako jeshini watajua vizuri maana ya Unfit. Ndiyo maana alifukuzwa Jeshini na ndiyo maana tena akalengeshwa na Urio kwa Gaidi Mbowe.

Komando kweli kweli hafukuzwi Jeshini akifanya makosa ya nidhamu anafungwa huko huko Jeshini na ikibidi kama bado anazigua anapelekwa vitani akakione chamoto, nafikiri unajua ninaposema vitani!!

Makomando walikuwa wakina Tamimu hata ukamataji wao ulikuwa kimbembe siyo hao wanakamatwa Rau sokoni hahahahaha... hapo kuna shield kibao tena wanakamatwa na askari watatu tu mmmmmh. Hao ni unfit commandos!!

Madawa ya kulevya yalishawamaliza stamina pamoja na uwezo wa akili zao za kufikiria ndio maana Urio akamwingiza mkenge Gaidi Mbowe.
Mie mwenyewe nilishangaa sana comandoo unakamatwaje kizembe asee, tena kwenye pub za kuangalia mpira.... Wamedhalilisha sana fani ya ukomandoo..
Binafsi sielewi kwanini mbowe aliamua kuajiri hawa jamaa waluokua wamefukuzwa jeshini kwasababu mbalimbali....
 
Back
Top Bottom