Mie mwenyewe nilishangaa sana comandoo unakamatwaje kizembe asee, tena kwenye pub za kuangalia mpira.... Wamedhalilisha sana fani ya ukomandoo..
Binafsi sielewi kwanini mbowe aliamua kuajiri hawa jamaa waluokua wamefukuzwa jeshini kwasababu mbalimbali....
Nani kama Commando Mhina?Komando Mchina popote pale alipo na apokee salamu za kheri kutoka kwetu tunaoyaishi machungu yao.
Akiwa mtu huru, Commando Mhina alifika mahakamani kufanya sehemu yake ya kuuanika ukweli.
"Kwani nani anapenda kufika kwa ridhaa yake polisi au katika mahakama zinazosifika kwa dhuluma?"
"Kwa nini Commando Ling'wenya au awaye yote ahukumiwe kwa ushahidi wa uongo?"
Kama ilivyokuwa kwa ma Commando Ling'wenya, Adamoo, Malema, Urio, na Lijenje, Commando Mhina pia alikamatwa na kundi la akina Kingai, Jumanne, Mahita na Goodluck.
Akihojiwa na wakili msomi Peter Kibatala 5/11/2021, Mahita Omar Mahita alikiri:
View attachment 2031579
Kwa maelezo ya Commando Mhina, kulikuwa na convoy kubwa kwenye kukamatwa kwake iliyokuwapo hapo bila kujihusisha moja kwa moja. Ikiwa tayari tayari kama angejaribu kujitetea.
Kwenye mazingira kama hayo haipo namna ambayo Commando Lijenje angeweza kutoweka RAU madukani.
View attachment 2031663
Commando Mhina alikamatwa akielekea Pub akapelekwa Central Polisi Tabora, moja kwa moja kwenye kinyumba nyuma ya jengo kuu (main block) kwenda kuteswa.
Baada ya kipigo kikali (cha masaa yasiyopungua 3) alipelekwa mahabusu Tabora Railways alikokaa kwa siku 2, kabla ya kuhamishiwa Nzega polisi mahabusu, alikokaa kwa siku 3.
Nzega, Mhina alikutana pia na Commando Malema aliyekuwa kaletwa hapo mahabusu polisi kwenye mazingira kama aliyofikishwa nayo hapo, yeye.
Makomando wawili hawa walisafirishwa kuja Dar chini ya ile ile himaya pendwa ya akina Kingai, Jumanne, Mahita, na Goodluck, ambako walifikishiwa 23/9/2020 moja kwa moja mahabusu Polisi Tazara.
Tokea 19/9/2020 Commando Mhina alipokamatwa na kufungwa pingu, hakuwahi kufunguliwa pingu hizo wala kupewa chakula hadi alipopelekwa mahakamani kisutu 25/9/2020.
Katika kipindi chote hicho hakuwahi kusajiliwa katika kitabu au register yoyote popote.
Wana nini cha kumwambia nani dhidi ya nani kina Kingai, Mahita, Jumanne au Goodluck naye akawaamini?
Bila shaka ni watu hawa hawa walio mkamata pia Mh. Mbowe usiku usiku Mwanza na kumsafirisha kuja naye Dar kibazazi wakimwahidi kuwa safari hii hachomoki.
Wapongezwe wote wanaokuwa na ujasiri wa kusimama imara kuufichua uongo dhidi ya ukweli.
Maisha na haki za watu haziwezi kuchezewa kwa kisingizio cha jina "serikali" kwa kiwango hiki. Kwani serikali hiyo itakuwa ina mwakilisha nani?
Nani kama Commando Mhina?
"Kudos Commando Mhina. Kwa hakika wewe ni shahidi wa haki na Rafiki mwema."
"Kwa hakika wapenda haki wote tutasimama nanyi kuona haipo haki yenu moja itakayopotea."
-----------
Sauti na Zipazwe Zaidi:
"Wako wapi makomando wetu. Wako wapi Urio, Malema na Lijenje ambao tunajua mara ya mwisho walikuwa mikononi mwa Kingai."
With no doubt, you need to seek mental health sapecialist assistance before your mental health is out of control.Umeandika nini sasa hapo? Huyo Komando uchwara ni unfit kwa wale wako jeshini watajua vizuri maana ya Unfit. Ndiyo maana alifukuzwa Jeshini na ndiyo maana tena akalengeshwa na Urio kwa Gaidi Mbowe.
Komando kweli kweli hafukuzwi Jeshini akifanya makosa ya nidhamu anafungwa huko huko Jeshini na ikibidi kama bado anazigua anapelekwa vitani akakione chamoto, nafikiri unajua ninaposema vitani!!
Makomando walikuwa wakina Tamimu hata ukamataji wao ulikuwa kimbembe siyo hao wanakamatwa Rau sokoni hahahahaha... hapo kuna shield kibao tena wanakamatwa na askari watatu tu mmmmmh. Hao ni unfit commandos!!
Madawa ya kulevya yalishawamaliza stamina pamoja na uwezo wa akili zao za kufikiria ndio maana Urio akamwingiza mkenge Gaidi Mbowe.
Nani kama Commando Mhina?Umeandika nini sasa hapo? Huyo Komando uchwara ni unfit kwa wale wako jeshini watajua vizuri maana ya Unfit. Ndiyo maana alifukuzwa Jeshini na ndiyo maana tena akalengeshwa na Urio kwa Gaidi Mbowe.
Komando kweli kweli hafukuzwi Jeshini akifanya makosa ya nidhamu anafungwa huko huko Jeshini na ikibidi kama bado anazigua anapelekwa vitani akakione chamoto, nafikiri unajua ninaposema vitani!!
Makomando walikuwa wakina Tamimu hata ukamataji wao ulikuwa kimbembe siyo hao wanakamatwa Rau sokoni hahahahaha... hapo kuna shield kibao tena wanakamatwa na askari watatu tu mmmmmh. Hao ni unfit commandos!!
Madawa ya kulevya yalishawamaliza stamina pamoja na uwezo wa akili zao za kufikiria ndio maana Urio akamwingiza mkenge Gaidi Mbowe.
100% you are correct.Mimi nawasifu makomandoo hawakukubali kuingia mkenge. Maana wangesema wajibu mapigo wangeuwawa halafu ingetangazwa ni magaidi.
Kwa hivyo kesi ya mbowe ingekuwa ngumu maana ingeonekana walikuwa na mpango muovu na kukata kukamatwa.
Kitendo Cha makomandoo kukubali kukamatwa na polisi bila kujibu mapigo, ni ushindi mkubwa na ishara ya kwamba hawakuwa na Nia mbaya.
Big up makomandoo mlicheza vizuri Sana ndio maana kesi imekuwa ngumu kwao mpaka wameomba msaada wa Jaji.
Nani kama Commando Mhina?
"Kudos Commando Mhina. Kwa hakika wewe ni shahidi wa haki na Rafiki mwema."
"Kwa hakika wapenda haki wote tutasimama nanyi kuona haipo haki yenu moja itakayopotea."
-----------
Sauti na Zipazwe Zaidi:
"Wako wapi makomando wetu. Wako wapi Urio, Malema na Lijenje ambao tunajua mara ya mwisho walikuwa mikononi mwa Kingai[emoji848][emoji2827]
Inaonekana una mimba ya Mwendazake mpaka utakapojifungua ndiyo utamsahau.Ulishindwa kumpa jamaa alipougua korona? Nyambafu! Alijiona yeye ni mungu mtu!
How about you ass?With no doubt, you need to seek mental health sapecialist assistance before your mental health is out of control.
Mbona wako kwenye orodha ya mashahidi. Hivi kumbe hata hujafuatilia kesi toka mwanzo!!?Nani kama Commando Mhina?
"Kudos Commando Mhina. Kwa hakika wewe ni shahidi wa haki na Rafiki mwema."
"Kwa hakika wapenda haki wote tutasimama nanyi kuona haipo haki yenu moja itakayopotea."
-----------
Sauti na Zipazwe Zaidi:
"Wako wapi makomando wetu. Wako wapi Urio, Malema na Lijenje ambao tunajua mara ya mwisho walikuwa mikononi mwa Kingai
Kavaa buti za jeshi huyo.Hii picha imenisitisha sana
Mkuu inawezekana mimi nimeachwa nyuma najua Kingai keshawahi hojiwa na mawakili wa utetezi je wamewahi mmbana huyu Kingai aeleze waliko akina Lijenje na wenzie??Sauti na Zipazwe Zaidi:
"Wako wapi makomando wetu. Wako wapi Urio, Malema na Lijenje ambao tunajua mara ya mwisho walikuwa mikononi mwa Kingai."
Hapo ndipo umejitahidi kweli kweli (kama ilivyo kawaida ya malimbukeni wengi kama wewe kudhani kumwita mwanaume mwenzake ni mwanamke basi ni ujanja). BTW mimi siyo mwanamke ila wapumbavu kama wewe mtakuwa mmejifunza kuwa kuwa na cheo cha urais haimaanishi virus watakuogopa! Jamaa yenu alijipaisha na kujiweka mawinguni akidhani yeye ni kila kitu na anaweza kuamuru watu wauawe kadiri anavyopenda ila kifo hakitamgusa yeye!Inaonekana una mimba ya Mwendazake mpaka utakapojifungua ndiyo utamsahau.
Aliwaambia wataalam wa maabara kuwa vilaza hawajui kupima Corona. Baadae akapigwa Leo Kuna nidhamu.Hapo ndipo umejitahidi kweli kweli (kama ilivyo kawaida ya malimbukeni wengi kama wewe kudhani kumwita mwanaume mwenzake ni mwanamke basi ni ujanja). BTW mimi siyo mwanamke ila wapumbavu kama wewe mtakuwa mmejifunza kuwa kuwa na cheo cha urais haimaanishi virus watakuogopa! Jamaa yenu alijipaisha na kujiweka mawinguni akidhani yeye ni kila kitu na anaweza kuamuru watu wauawe kadiri anavyopenda ila kifo hakitamgusa yeye!
Hawa wangepotezwa sema Mungu bado anawapenda. Kwa akili hizi watatesa wangapi,watauwa wangapi? Je watoto wa hao kina Lijenje vipi wakiamua kulipiza kisasi mana haya mambo yanaishi. Polisi na unyama wenu na mlaaniwe duniani na akhera.Nimehuzunika zaidi nilipohisi hata wakati huu ninapokusoma hapa brazaj inawezekana wapo wengi wanaoteswa kwa namna hii uliyoandika hapa na hawana mtetezi.
Hawa makomandoo walikamatwa na kuteswa tangu mwaka jana, hivi kama sio Mbowe kuunganishwa nao baada ya kumkera yule bosi mwenye jinsia ya kike wangeendelea kuteswa mpaka lini?
Una laana wewe si bure! Madaktari waliomtibu waliweka wazi ugonjwa uliomwua!! Siyo corona!! Usilazimishe mawazo yako ya kiibilisi!! Corona Haina nguvu kabisa Tz kwa sababu raid wa awamu ya Tano alimtanguliza Mungu katika vita dhidi ya corona na Mungu akasikia maombi yetu. Ndio maana uko hai Leo na corona unaisikia tu kwenye vyombo vya habari lakini kwenye jamii yetu haipo kabisa! Lakini Kama ukiamua kuishabikia itakuja kwako tu wakati watanzania wengine wakibaki salama!!.Ila magufuli alikua na misimamo ya kijima. Weka msimamo dhidhi ya ugonjwa hatari kama covidi hadi ikaondoka naye.
Naona una ghalbu sana wewe. Mfuate yule aliyeondolewa na korona kama vipi.
Mimi niko poa sana nipo hapa kuwapa vidonge nyumbu kama wewe ili muweze kupona ugonjwa wenu wa kinyumbu!
Hakika kila mtu bado ana bakiwa na maswali kadha wa kadha!mpaka sasa sijauona huo ugaidi wao wanaotuhumiwa nao..