Kesi ya Mbowe: Commando Mhina, Shahidi Mwaminifu na Rafiki wa Kweli

Kwa nini Mbowe alikua anamobilize makomando waliofukuzwa? Yaani wengi sio mmoja. Hapo naomba nijibiwe kwa ufasaha sitaki matusi
 
Propaganda hizi zako hazina mashiko. Wewe endelea kushikishwa ukuta Lumumba. Kama vipi nenda mahakamani na wewe ukatoe ushahidi wako wa mchongo.
 
Kwani hao madaktari unaosema, wao ni malaika? -- Nyakoro Sirro.
 
Check hili bwabwa utafikiri limepitia hata mafunzo ya JKT.
 
Kwa nini Mbowe alikua anamobilize makomando waliofukuzwa? Yaani wengi sio mmoja. Hapo naomba nijibiwe kwa ufasaha sitaki matusi

Kwani hao si watu? Zingatia. Au labda wewe ulitaka aku mobilize wewe au awa mobilize nani zaidi?

Au ungalipendelea achukue Green guards au active uvccm kabisa?

Kwa hiyo kuwa mobilise hao ndiyo hilo kosa linaloitwa ugaidi sasa?
 
Unaleta hoja nyepesi sana kwenye mambo mazito, mtu akusanye makomando waliofukuzwa halafu unaona lengo lake jepesi?!
 
Unaleta hoja nyepesi sana kwenye mambo mazito, mtu akusanye makomando waliofukuzwa halafu unaona lengo lake jepesi?!

Hukusikia baadhi yao ni wakulima wa mahindi baada ya kufikuhwa kwa kuathirika kazini?

Hata kama kuna kazi ya maana maana mahali kwenu ikawa nongwa.

Kwa hiyo taabu yenu ilikuwa husuda tu ya kwa nini Mbowe alindwe na makomando. Hiyo ndiyo ikawa kisa tukafikishana huku:

Kwa kweli mu waovu kweri kweri kuliko shetani mwenyewe!
 
Una akili za kikum kabisa ww , Umewahi fanya hata mgambo wewe hata Kama umefsnya jeshi lolote hakuna ulilokuwa unafsnya zaidi ya kura shumbwela au ulikuwa unalivuna jesh kum na Moja mzur ww
 
Inawezekana ikawa wale watu waliokuwa wanakutwa kwenye viroba wakiwa wamefariki walikuwa ni makomandoo.
 
Nchi hii ina watu wakatili na waovu ambao wako serikalini na kwenye vyombo vya dola ambao kwa uovu wao hata Ziraili hawafikii! May the Almighty burn them in Eternal Fire!
 
jibu hili limenifanya nifikirie sana👍

na nikiangalia kesi ya Kaka Hamza aliyedhulumiwa madini take akaliamsha wakamuua alafu wakampa kesi ya ugaidi wakati kumbe alikua anatetea haki yake.

Mimi huwa siamini hata wale tunaosikiaga ni majambazi waliouwawa wakiwa wanajibishana risasi na polisi
 
Akili za chawa wote zinafanana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…