Kesi ya Mbowe: Commando Mhina, Shahidi Mwaminifu na Rafiki wa Kweli

Binafsi nawapongeza maafisa wetu wa Jeshi la Polisi kwa nzuri wanayoifanya ya kutulinda raia wema wa nchi hii. Sisi tunalala na kukoroma, ninyi mnakesha mkisaka wahalifu ili sisi tuendelee kulala na kukoroma! Mungu awabariki sana!!!!!!
 
Ukifuatilia hii kesi na comment za baadhi ya watu hapa JF, utajua Sisi watanzania ni katili kiasi gani.

Kesi inaonekana wazi kwamba imetengenezwa, lakini mashabiki wa ukatili wanaendelea kuwatete viongozi wao.

Viongozi hawa hawa ndio wanaotupilia mbali ufuatiliaji wa utekaji na mauaji yaliyofanyika kipindi cha nyuma.

Camera kwenye tukio la Lissu ziliondolewa, aliyeondoa hajakamatwa. Lissu alitandikwa risasi za kutosha polisi wanadai yeye Lissu na dereva wake hawatoi ushirikiano. Wangefariki ina maana isingechunguzwa kwa sababu hakuna ushirikiano?

Tukio la Akwelina, waliopiga risasi ni polisi. Lakini aliyekamatwa kwa kosa hili ni wengine tofauti kabisa.
 
Wadau nipeni link na mm nisome yalio jiri tarehe 2/12/2021 Natanguliza shukrani
 
Movie Zinawatoa akili,. Jamaa hakua na kosa lolote alilotenda, yupo na ratiba zake za siku hana hofu wala wasiwasi wowote kwamba anawindwa anatoka zake kwenda kuangalia mpira ghafla anazungikwa na mapolisi wenye siraha na akaambiwa anahitajika kwa mkuu wa mkoa, we ulitaka afanyeje? Hata kama ni komandoo
 

Usisahau comments zingine ni za akina Kingai, Jumanne, Mahita, Goodluck, Msemwa, Chavula na binamu zao.

Utegemee kusikia nini kutokea kwao?
 
Hii haileti picha katika uso Tanzania ilivyo na sofa kedekede,wanachama wa ccm muache kushabikia Mambo ya msingi Kama haya ya makomandoo,watu wanatoa hoja za msingi harafu mtu anaponda point.tunashindwa kuwaelewa na msifurahie hii kesi ya Mbowe na wenzake iposiku serikali ya ccm itapigwa chini kwa vigezo hivi vya haki ya mtu kukatisha maisha yake mjitafakari hapa mlipkfikia.
 

Usisahau hata Mahita na wenzake ni member JF. Thamani ya comments zao izingatiwe.
 
Hii kitu haitatokea Chini ccm kumbuka wanaufaika na huo uharamia inasemekana Sabaya analalama huko Jela kwamba kasaidia ccm kutangazwa mshindi HAI lkn wamtelekeza so ili haya yatokee tuongeze nguvu kudai Katiba tupate mfumo mpya wa utawala
 
Hii kitu haitatokea Chini ccm kumbuka wanaufaika na huo uharamia inasemekana Sabaya analalama huko Jela kwamba kasaidia ccm kutangazwa mshindi HAI lkn wamtelekeza so ili haya yatokee tuongeze nguvu kudai Katiba tupate mfumo mpya wa utawala

Hayo kwenye list yataitibu nchi, CCM watake wasitake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…