Kesi ya Mbowe isizuiwe watu kutaarifiwa

Kesi ya Mbowe isizuiwe watu kutaarifiwa

Hili igizo kuna watu wanazidi kujiabisha sana!

Tanpol wamepoteza integrity ya kuendelea kuaminika kwa wananchi imekua ni branch isiyo rasmi ya CCM ila ina affiliation na CCM kwa asilimia kubwa
 
Kwanini na sisi tusiwe kama Kenya. Huko lumumba waambizeni viongozi wenu.
Wanaogopa kuaibika.Unakumbuka kipindi cha kesi ya babu seya jinsi ile kesi ilivyogusa wananchi wengi na kuamua kuifwatilia hadi magazeti yakaanza kuandika mwenendo wake,lakini ghafla yakapigwa mkwara baada ya hapo kesi ikaenda kimya kimya hadi hukumu.Inawezekana na hii wanataka kuipeleka kibubu bubu ili wananchi walio wengi wasijue kinachoendelea.Ila hilo halitawasaidia maana hizi sio zama zakufumbata ujinga.
 
Ya babu Seya ilikuwa sahihi kusikilizwa faragha kwa sababu kuna haki za watoto, kwahiyo mahakama ilikuwa sahihi, lakini si kwa kesi hii ya Mbowe, na ndio sababu Jaji amekataa uhuni wa Polisi na serikali.
 
Daaaaah we mzee umetoka mafichoni
 
Back
Top Bottom