Kesi ya Mbowe: Jaji hana mamlaka na document yenye wrong citation. Court of Appeal ilishaonya mara nyingi

Jaji asipopokea ushahidi huu atafutwa kazi, lazima aupokee. Hii kesi imetufundisha mengi Sana hata tusio wanasheria
Unapokeaje ushahidi kwa sheria za 'Rwanda' na sio Tanzania?

Ata kama ameagizwa bado ana nafasi ya kuongea na waliomuagiza kuwa mmekosea na kuagiza kinyesi badala ya chakula,je niwape kinyesi mle au ?
 
Unapokeaje ushahidi kwa sheria za 'Rwanda' na sio Tanzania?

Ata kama ameagizwa bado ana nafasi ya kuongea na waliomuagiza kuwa mmekosea na kuagiza kinyesi badala ya chakula,je niwape kinyesi mle au ?
Subiri utaona anavyopindisha pindisha maneno atakapo ipokea
 
Makosa ya nyaraka muhimu za kesi yanaweza kurekebishwa wakati kesi inaendelea kusikilizwa?
Jaji Tiganga mwanaccm atakuja na hili...

Kwa maoni yangu ,kutokuwepo kwa sheria hiyo hakuwez kufanya ushahidi huu usipokelewe.
 
Lakini kwa hii kesi ya kuchonga usishangae Jaji akaja na maamuzi ya kukubaliana na mawakili wa serikali halafu akajitoa kuendelea kuisikiliza. Kama yule alie hongwa cheo.
Mimi nilishangaa sana , jaji anaendesha kesi yenye i terest kubwsma kisiasa unakwenda kumpa cheo wakati bado anaendelea na kesi. Hizi ni akili mbovu sana.
 
Inatakiwa jaji anapokuwa sehemu ya "Miscarriage of Justice" awajibishwe maanake bila ya hivyo hawa majaji wa kimkakati watakuwa wanaonea sana watuhumiwa kwa maslahi binafsi.
 
mahakama sio mama yako, haiwezi kukupa kitu ambacho hukuiomba".
kwenye maamuzi ya kesi ndogo Jaji aliwapa kitu ambacho upande wa Jamhuri hata hawakukiomba, kuna muda kweli Mahakama huteleza na kupindua haki.
 
Jaji akishindwa kusimamia ukweli ushauri wa Lema uzingatiwe.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Namna pekee ni kuona Court 9f Appeal imeelekezaje kama nilivyosema.

Kuna mtu humu kaiweka kesi yote nikiyo cite ya Chama cha Walimu.
Of course, ndiyo njia hiyo. Lakini mimi ninachosema kama Jamhuri ndiyo ingeona hiyo 'wrong citation of law' ingefumba macho? Jibu ni hapana, lakini utetezi umeibua hilo suala, wao wanaona si jambo kubwa.
 
"With the above quoted principle, this court concludes that the wrong citation does go to the root of the matter and since this application has been preferred under the wrong provisions it is therefore based on the wrong legal foundation hence bound to collapse. Having discussed as above, I hold that the first limb of objection regarding the wrong citation of the enabling provision is meritorious and it is therefore sustained.

Since this objection alone suffices to dispose of the application, I hereby do the same by striking it out with costs.

It is so ordered,
DATED at MWANZA this 06th day of July, 2020

Ruling delivered in open chambers in the presence of the parties in the presence of the parties as per coram".


J. C. Tiganga Judge 06/07/2020
_____________________________________
Sasa huyu jaji ataongea nini tena, akileta ujinga wa kutaka kupindisha sheria basi sasa hata mimi nitaunga mkono hoja ya Lema kwa sababu sasa itakuwa ni upumbavu.
 

Pingamizi kupokelewa hati ya ukamataji kesi ya kina Mbowe lagonga mwamba​

TUESDAY NOVEMBER 09 2021​

 

Pingamizi kupokelewa hati ya ukamataji kesi ya kina Mbowe lagonga mwamba​

TUESDAY NOVEMBER 09 2021​

The fate of this case is predetermined. It will fall the victim of the miscarriage of justice.
 
Na CJ naye Ni wa hovyo
 
Jaji kaingia mitini au ni vp mbona kimya wazee!
 
Kwaio jaji anatuletea usanii si ndio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…