- Thread starter
- #21
Haijalishi kama si mwanachama, maombi yako tu yanatosha Kasomi
Ameen. Ila:
Siasa za Chuki, Tanzania tunakwama Wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haijalishi kama si mwanachama, maombi yako tu yanatosha Kasomi
Mimi sio muumini wa ccm, wala msaliti wa maendeleo ya nchi.
Mimi namuamini kiongozi anaeipenda nchiyake na kuonyesha ana hamuya kutuletea maendeleo ya kweli, na sio anae iombea nchi mabaya kama vile kushawishi nchi nyingine zitutenge N.K
Kuna post yako nyingine hapa:
View attachment 2075383
Kwa hisani ya uzi huu:
James Mbatia: Viongozi wengi wa Serikali wamekumbwa na upunguani wa uelewa wa mambo
Unajaribu kukikimbia kivuli chako?
Hukuwahi kusikia wakisema:
"Kuvaa dela si kazi bali kulishikilia kunako upepo?"
Kwani hoja yako hii kwenye uzi huu msingi wake ulikuwa nini haswa?
View attachment 2075384
Haya ni mambo ya aibu kwa nchi yangu!Yaani kesi ya mchongo inafanyika sehemu yenye hadhi kubwa kama law school of Tanzania?!Zingatia:
"Kwa mara nyingine, pamoja na kutotegemea dodo kwenye mnazi, wale tutakaoweza tukutane mahakamani "Law School of Tanzania."
Au nasema uongo ndugu yangu?
🤣🤣🤣Umeyasikia kama ya mzee 6, Supika baada ya Yobo ni mzanzibari.
Kumbuka 6 aliambiwa Supika ni mwanamama. Hiiiiii bagosha!
Dirisha la usajili ndiyo hilo tena. Vipi kumhimiza mwanamakunduchi ngulu Jumbe Brown?
Nani ajuaye?
🤣🤣🤣
Sina uwezo wa kuwa spika kiumri na kiweledi....
Uwezo wangu ni kupambana na BAVICHA Kona zozote zile......
#Siempre Chifu Hangaya🙏
Ili mtu aingie ndoani na kuoa kigezo ni kuwa "mwanamume kamili"....lakini pekee HAKITOSHI......Tunakataa ubaguzi wa aina yoyote kwenye katiba mpya.
Miaka 18+ kama awaye yote ana haki zote za kuchagua na hata kuchaguliwa.
Under 18, bavicha utawaweza mjomba?
Ili mtu aingie ndoani na kuoa kigezo ni kuwa "mwanamume kamili"....lakini pekee HAKITOSHI......
Ankali BAVICHA wepesi kama UBUA.....nani vile Sosopi ?!!! Miss Newton ?!!! Wewe ?!! Ama kiongozi wenu Pambalu msukuma mpiga mayowe?!!! 🤣🤣
Ninawafahamu vyema....mnooo.....Sina hakika kama unatufahamu vyema lakini, mjomba:
View attachment 2078367
Mayowe gani tena zaidi ya hayo?
Kumbuka uzito kisiasa haupimwi kwa kilo.
Ninawafahamu vyema....mnooo.....
Kwa mshauri gani mliyenaye ,Benson Kigailla?!!! 🤣🤣🤣
Kama unavyoyahukumu mapenzi yangu makubwa kwa mh.Chifu Mkuu Hangaya huku ukihanikiza kuwa mimi ni wa kutoka MWAKAKOGWA MAKUNDUCHI ilihali kwetu miye ni bara kindakindaki 🤣🤣Unakihukumu kitabu kwa jalada lake?