Kesi ya Mbowe kesho: Kisutu hapatatosha, maandalizi yanaogofya

Gaidi namba moja:Freeman Aikaeli Mbowe atakapo fikishwa mahakamani lazima ulinzi uwe tight hatutaki kuona hata kunguni akikatisha mbele.
wasije wakalipua Mahakama zetu bure, maaana hawa jamaa ni sawa na bokoharam.
Mungu wangu
 
Uamsho walikuwa namba ngapi
 
Kesho tarehe 5/8/2021, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, itatajwa kesi ya jinai inayomjumuisha Mwenyekiti wa Taifa CHADEMA Ndugu Freeman Aikaeli Mbowe. Mbowe pamoja na wenzake watatu wanashtakiwa kwa makosa mbalimbali ya kijinai.
This is the new beginning of the rise and fall of samia`s regime
 
Kamanda Sirro aache kusaka sifa za kijinga, amtaje aliyejiunganishia bomba la mafuta, maana Siku 7 alizosema zimeisha.
Huu ni msumari wa moto..
Alafu mtu anakuambia uwe mzalendo...hivi kweli mtu anahujumu waziwazi alafu mamlaka ipo kimyaaa..
Tanzania ni nchi marehemu long ago
 
Gaidi namba moja:Freeman Aikaeli Mbowe atakapo fikishwa mahakamani lazima ulinzi uwe tight hatutaki kuona hata kunguni akikatisha mbele.
wasije wakalipua Mahakama zetu bure, maaana hawa jamaa ni sawa na bokoharam.
Kwakweli CHADEMA inaogopeka hadi polisi kujazana eneo moja nakuacha maeneo mengine yakiwa hayana askari kabisa.

Hii inaleta picha jinsi gani Mbowe anapendwa na wananchi hadi kufikia idadi ya mawakili 386 walijiandikisha kumtetea.

Hii haijawahi kutokea kokote ulimwenguni mtu kutetewa na idadi kubwa hivi ya mawakili. Ni aibu kwa wabambikiaji wa kesi wanatamani hata wasingefanya walichokifanya.
 
Wewe ndege huoni hasara kila siku tatizo kila kitu kuendeshwa kisiasa badala yakuendeshwa kitaalamu.

Tangu zije zimeleta hasara zaidi ya bilioni 600 kwa mujibu wa ukaguzi wa CAG. watu hawawezi kukaa kimya kisa tulisema ndege zinunuliwe.
 
Hio nguvu ya kumshughulikia mbowe si waitumie kumaliza tatizo la ujenzi wa vyoo vya shule tuepuke aibu ya kujengewa vyoo vya misaada.
Tayari nguvu ilishatumika sana kuleta maendeleo ili watanzania wajikwamue kiuchumi ila wengine wako busy kupiga kelele kuzuia maendeleo ya nchi,Sasa leo ndio mnalitambua hilo? Hiyo nguvu ikihamishiwa kujenga vyoo vya shule mnaenda tena kubomoa hivyo vyoo na kuvunja matofali... haya sasa ngoja mshughulikiwe kwanza,Mtulie,Kazi iendelee...
 
Wakuu mtapigwa mchakae hembu tulieni ebooo
 
Miundombinu ipi serikali ilijenga ikabomolewa na wapinzani?
 
Tanzania magaidi yanalindwa kwa pesa za walipa kodi na hata wakifa wanazikwa kitaifa.
 
Labda wwe unaesoma international school tembea vijijini uone
 
Kesho tarehe 5/8/2021, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, itatajwa kesi ya jinai inayomjumuisha Mwenyekiti wa Taifa CHADEMA Ndugu Freeman Aikaeli Mbowe. Mbowe pamoja na wenzake watatu wanashtakiwa kwa makosa mbalimbali ya kijinai.
Haya matukio yanatengenezwa makusudi kutusahaulisha "TOZO YA MSHIKAMANO" wakati tuliambiwa tarehe 29 July tume inaleta mrejesho leo tuna tar 3 August tunamenyeke2
 
Umeandika madini sana. Tuko busy na siasa wakati majirani wapo busy na viwanda. Kenya wanaunganisha Isuzu na VW, Rwanda wanatengeneza simu na kuunganisha VW, sio tupo busy na Mbowe mahakamani.
 
Kesho tarehe 5/8/2021, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, itatajwa kesi ya jinai inayomjumuisha Mwenyekiti wa Taifa CHADEMA Ndugu Freeman Aikaeli Mbowe. Mbowe pamoja na wenzake watatu wanashtakiwa kwa makosa mbalimbali ya kijinai.
Nilijua COVID imeondoka na wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…