Kesi ya Mbowe kesho: Kisutu hapatatosha, maandalizi yanaogofya

Kesi ya Mbowe kesho: Kisutu hapatatosha, maandalizi yanaogofya

Kesho tarehe 5/8/2021, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, itatajwa kesi ya jinai inayomjumuisha Mwenyekiti wa Taifa CHADEMA Ndugu Freeman Aikaeli Mbowe. Mbowe pamoja na wenzake watatu wanashtakiwa kwa makosa mbalimbali ya kijinai.

Kwake binafsi, Mbowe anashtakiwa kwa mashtaka ya kula njama na kufadhili vitendo vya kigaidi. Washtakiwa wenzake walianza kupandishwa kizimbani huku Mbowe akiunganishwa baadaye.

Maandalizi ya tukio la kesho yameshafanyika na kukamilika. Magereza alipo, wamejipanga na kupangika kuhakikisha kuwa Mbowe na wenzake wanafikishwa na kurejeshwa salama salmini gerezani.

Polisi wamejipanga, kuanzia nchi kavu hadi anga, kuimarisha ulinzi bila ulanzi kuhakikisha usalama usio na lawama mahakamani hapo. Polisi wamejiandaa 'kuwahi' mapema sehemu ya tukio ili 'kukagua' na 'kudhibiti' wanaoingia mahakamani hapo.

Mawakili wa pande zote mbili wamejipanga bila mapanga kutetea pande zao za mashtaka na utetezi kusiko na utelezi. Mawakili wa Serikali wamejiandaa kuthibitisha makosa ya Mbowe na wenzake watatu huku wa CHADEMA wakijiandaa kumtetea kisheria Mbowe na kumnasua kwenye kesi hiyo.

Vyombo vya habari vya ndani na nje vitafurika hadi kufunika Kisutu. Nasi wananchi wa Dar es Salaam tutajongea kushuhudia 'kipute' hiki kitakachoanza kesho.

Amini nawaambia, Kisutu kwa kila siku Mbowe atakayoletwa na hata akianza kupelekwa Mahakama Kuu, hapatatosha. Mahakamani, pumba na mchele vitatenganishwa. Tukutane Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kesho.

Pumzika kwa amani mtani na mdogo wangu Elias Kwandikwa!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Ngoja tuone maana chadema wanajidai eti wanapendwa sana. Kitakachotokea inaweza kua mamluki wa kulipwa kuja kuleta fujo mahakamani ili kupata picha kwa waandishi wa habari.
 
Leo pale central polisi kulikuwa na kundi kubwa kabisa la askari inaelekea ndo walikuwa wanajipanga..
 
Huyu mama bwana! Waliokuwa na mashaka nae tangu mwanzo kumbe walikuwa sahihi. Huyu ndio hafai kabisaaaa.. amalize tu miaka yake apishe wanaume. Ametudharaulisha tu wanawake.

Sasa na teuzi zake za hao watoto, wanaenda kuongoza vipi watu wazima wenye maexperience yao huko halmashauri na wilayani. Katanguliza kujuanaaa. Hapo hamna hata vetting. Ni nafasi anagawa tu hovyo.

Yani amalize tu apishe wanaume. Nchi inaenda kishkaji, hana habari kabisaa . Bora ya watangulizi wake wote mara 1,000 kuliko yeye.
Mpikie mumeo usije ukaachika, maana ndyo kitu unachokijua
 
"KAMA UMEJICHOKA SOGEA KISUTI UKUNG'UTWE" kamanda Sirro
Mahakamani siyo uwanja wa vita,Sirro na POLISI wake wantoa wapi mamlaka ya kukung'uta raia wa nchi hii watakofika kusikiliza shauri la ugaidi wa Mh.Mbowe?Kesi waianzishe wao halafu wanawaadhibu wanaoenda kuisikiliza?Hayo ndiyo majukumu ya POLISI?
Ndipo hapo sisi wengine tunapodai katiba Mpya ya Tanzania.
 
I blame tiss to allow this stupidity! Una brand taifa lako kwa ugaidi??? Ndio Tz mpya ya Mama Samia??? Madam Mulamula msitue MAMA! International media watarusha wengi hawafatilii details only heading! " Tanzania main oppotion leader charged with terror charges..."
Tunahitaji vifaa tiba maboma ya JPM, jumuia za kimataifa zipo tayari.Tuache ujinga na mzaha wa ajabu.
A very profound statement you have made here, mkuu 'VAPS'; something that is not easily recognized by many!
 
Kamanda Sirro aache kusaka sifa za kijinga, amtaje aliyejiunganishia bomba la mafuta, maana Siku 7 alizosema zimeisha.
Anapenda kuelekeza nguvu zake na Jeshi la POLISI kufanya cheap politics za CCM na mipasho.Wana CHADEMA wanaenda Mahakamani kumuuliza Mh.Mbowe kama Mkristo aseme kama yeye ni gaidi?Sirro anaweweseka?
 
Gaidi namba moja:Freeman Aikaeli Mbowe atakapo fikishwa mahakamani lazima ulinzi uwe tight hatutaki kuona hata kunguni akikatisha mbele.
wasije wakalipua Mahakama zetu bure, maaana hawa jamaa ni sawa na bokoharam.
Takataka namba moja la Chato Mungu alilifyekelea mbali,lipo Kuzimu sasa hivi linaungua moto wa Jehanamu.
Takataka namba mbili lenye macho kama linaliwa Tigo,lipo njiani muda wowote litakuwa Jamhuri ya Kuzimu kumkaangia Chips na kumwogesha huyo hayawani wa Chato.
Magaidi mnayapenda mtayapata tu mbwa koko nyie
 
Hata kwenye issue za Ndege mlianza hivi hivi,

Oooh! Rwanda wana Ndege ila sisi hatuna,sasa mmeona kiwanda cha VW huko Rwanda,mnaanza tena mnataka na Bongo kifunguliwe kiwanda cha magari,

Sio mbaya ila hata kikifunguliwa kiwanda mtakuja tena kukipinga hicho kiwanda kama mnavyozipinga Ndege,

Hua hamueleweki mnachokitaka ni nini hasa,kingine kila nchi hua na mipango yake,sio kwavile Rwanda wana hicho kiwanda cha magari basi ni lazima na Tz iwe na kiwanda cha magari.
Wewe kinyesi cha mbwa unaongea nini?hebu kafie huko
 
Kwakweli CHADEMA inaogopeka hadi polisi kujazana eneo moja nakuacha maeneo mengine yakiwa hayana askari kabisa.

Hii inaleta picha jinsi gani Mbowe anapendwa na wananchi hadi kufikia idadi ya mawakili 386 walijiandikisha kumtetea.

Hii haijawahi kutokea kokote ulimwenguni mtu kutetewa na idadi kubwa hivi ya mawakili. Ni aibu kwa wabambikiaji wa kesi wanatamani hata wasingefanya walichokifanya.
Mkuu, MUNGU yupo na CHADEMA, walikuwa wakimwabudu Magufuli, amekufa ghafla hawataki kujifunza tu kutenda haki.
Hili limacho nalo litakufa kiajabu sana,wewe subiri tu
 
Kesho tarehe 5/8/2021, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, itatajwa kesi ya jinai inayomjumuisha Mwenyekiti wa Taifa CHADEMA Ndugu Freeman Aikaeli Mbowe. Mbowe pamoja na wenzake watatu wanashtakiwa kwa makosa mbalimbali ya kijinai.

Kwake binafsi, Mbowe anashtakiwa kwa mashtaka ya kula njama na kufadhili vitendo vya kigaidi. Washtakiwa wenzake walianza kupandishwa kizimbani huku Mbowe akiunganishwa baadaye.

Maandalizi ya tukio la kesho yameshafanyika na kukamilika. Magereza alipo, wamejipanga na kupangika kuhakikisha kuwa Mbowe na wenzake wanafikishwa na kurejeshwa salama salmini gerezani.

Polisi wamejipanga, kuanzia nchi kavu hadi anga, kuimarisha ulinzi bila ulanzi kuhakikisha usalama usio na lawama mahakamani hapo. Polisi wamejiandaa 'kuwahi' mapema sehemu ya tukio ili 'kukagua' na 'kudhibiti' wanaoingia mahakamani hapo.

Mawakili wa pande zote mbili wamejipanga bila mapanga kutetea pande zao za mashtaka na utetezi kusiko na utelezi. Mawakili wa Serikali wamejiandaa kuthibitisha makosa ya Mbowe na wenzake watatu huku wa CHADEMA wakijiandaa kumtetea kisheria Mbowe na kumnasua kwenye kesi hiyo.

Vyombo vya habari vya ndani na nje vitafurika hadi kufunika Kisutu. Nasi wananchi wa Dar es Salaam tutajongea kushuhudia 'kipute' hiki kitakachoanza kesho.

Amini nawaambia, Kisutu kwa kila siku Mbowe atakayoletwa na hata akianza kupelekwa Mahakama Kuu, hapatatosha. Mahakamani, pumba na mchele vitatenganishwa. Tukutane Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kesho.

Pumzika kwa amani mtani na mdogo wangu Elias Kwandikwa!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Kwa gaidi Mbowe ulinzi ni lazima. Atakayekanyaga mahakamani kesho atakanyagwa barabara na polisi. Atakayeleta chokochoko atachokonolewa hadi kooni. Kaa mbali na Kisutu kesho
 
Wewe ndege huoni hasara kila siku tatizo kila kitu kuendeshwa kisiasa badala yakuendeshwa kitaalamu.

Tangu zije zimeleta hasara zaidi ya bilioni 600 kwa mujibu wa ukaguzi wa CAG. watu hawawezi kukaa kimya kisa tulisema ndege zinunuliwe.
Kwanza hakuna mpinzani aliyewahi kusema ndege zinunuliwe,ni jitu moja shamba la Chato lilikuwa linaipiga nchi kwa staili Tofauti
 
Tayari nguvu ilishatumika sana kuleta maendeleo ili watanzania wajikwamue kiuchumi ila wengine wako busy kupiga kelele kuzuia maendeleo ya nchi,Sasa leo ndio mnalitambua hilo? Hiyo nguvu ikihamishiwa kujenga vyoo vya shule mnaenda tena kubomoa hivyo vyoo na kuvunja matofali... haya sasa ngoja mshughulikiwe kwanza,Mtulie,Kazi iendelee...
Mtoto wa mwanamke Malaya wewe, nguvu gani imeleta maendeleo Tanzania Punda wahedi wewe?
 
Kwa gaidi Mbowe ulinzi ni lazima. Atakayekanyaga mahakamani kesho atakanyagwa barabara na polisi. Atakayeleta chokochoko atachokonolewa hadi kooni. Kaa mbali na Kisutu kesho
Gaidi ni Baba yako aliyetomba mwanamke malaya ukazaliwa wewe toto jibwa
 
Back
Top Bottom