The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Aviation industry sio sawa na biashara ya kuuza mkaa,yaani uianze na kupata faida hapo hapo,jaribu kuangalia mashirika ya Ndege Duniani jinsi yalivyopitia mpaka kufikia hapo yalipo.Wewe ndege huoni hasara kila siku tatizo kila kitu kuendeshwa kisiasa badala yakuendeshwa kitaalamu.
Tangu zije zimeleta hasara zaidi ya bilioni 600 kwa mujibu wa ukaguzi wa CAG. watu hawawezi kukaa kimya kisa tulisema ndege zinunuliwe.
Tukutane kisutuKesho tarehe 5/8/2021, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, itatajwa kesi ya jinai inayomjumuisha Mwenyekiti wa Taifa CHADEMA Ndugu Freeman Aikaeli Mbowe. Mbowe pamoja na wenzake watatu wanashtakiwa kwa makosa mbalimbali ya kijinai.
ChubutuuuuuuuuMasikhara masikhara hivi hivi tunaweza kusikia Mbowe kaukumiwa miaka 30.
Yaani uhalalishe hasara ya karibu trilion huku ukisema ndo biashara ya anga ilivyo?Aviation industry sio sawa na biashara ya kuuza mkaa,yaani uianze na kupata faida hapo hapo,jaribu kuangalia mashirika ya Ndege Duniani jinsi yalivyopitia mpaka kufikia hapo yalipo.
Sana mkuu, na nadhan anajutaSamia kazingua sana
Kama hamna umuhimu kwa nini sasa inatajwa mahakamani.Kufanya nini,kesi inapotajwa kuna umuhimu gani kuwepo
Njama za kuahirisha kesi ya Mbowe kesho zinapangwaKesho tarehe 5/8/2021, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, itatajwa kesi ya jinai inayomjumuisha Mwenyekiti wa Taifa CHADEMA Ndugu Freeman Aikaeli Mbowe. Mbowe pamoja na wenzake watatu wanashtakiwa kwa makosa mbalimbali ya kijinai.
Kesho tarehe 5/8/2021, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, itatajwa kesi ya jinai inayomjumuisha Mwenyekiti wa Taifa CHADEMA Ndugu Freeman Aikaeli Mbowe. Mbowe pamoja na wenzake watatu wanashtakiwa kwa makosa mbalimbali ya kijinai.
Kwake binafsi, Mbowe anashtakiwa kwa mashtaka ya kula njama na kufadhili vitendo vya kigaidi. Washtakiwa wenzake walianza kupandishwa kizimbani huku Mbowe akiunganishwa baadaye.
Maandalizi ya tukio la kesho yameshafanyika na kukamilika. Magereza alipo, wamejipanga na kupangika kuhakikisha kuwa Mbowe na wenzake wanafikishwa na kurejeshwa salama salmini gerezani.
Polisi wamejipanga, kuanzia nchi kavu hadi anga, kuimarisha ulinzi bila ulanzi kuhakikisha usalama usio na lawama mahakamani hapo. Polisi wamejiandaa 'kuwahi' mapema sehemu ya tukio ili 'kukagua' na 'kudhibiti' wanaoingia mahakamani hapo.
Mawakili wa pande zote mbili wamejipanga bila mapanga kutetea pande zao za mashtaka na utetezi kusiko na utelezi. Mawakili wa Serikali wamejiandaa kuthibitisha makosa ya Mbowe na wenzake watatu huku wa CHADEMA wakijiandaa kumtetea kisheria Mbowe na kumnasua kwenye kesi hiyo.
Vyombo vya habari vya ndani na nje vitafurika hadi kufunika Kisutu. Nasi wananchi wa Dar es Salaam tutajongea kushuhudia 'kipute' hiki kitakachoanza kesho.
Amini nawaambia, Kisutu kwa kila siku Mbowe atakayoletwa na hata akianza kupelekwa Mahakama Kuu, hapatatosha. Mahakamani, pumba na mchele vitatenganishwa. Tukutane Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kesho.
Pumzika kwa amani mtani na mdogo wangu Elias Kwandikwa!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Samia kazingua sana
Kuna kukata rufaa, acha ushubwada!Masikhara masikhara hivi hivi tunaweza kusikia Mbowe kaukumiwa miaka 30. Hapo ndo wanachadema mtalia na kusaga meno. Na hamna kitu mnaweza kufanya na ubishi wenu na kiherehere vitaishia hapo. Mwanamke akiwa madarakan ukimchezea anahisi kama unamdharau.. hapo sasa ndo utajua roho yake ilivyo.. hapo mbowe hawezi kutoboa. Wanachadema mjiandae kisaikolojia na msave machozi kwa ajiri ya siku ya hukumu kwani bwana mbowe anaenda kula mvua za kutosha.
Bado wanaokoteza 'vijisababu' ?Huruhusiwi kukaribia mahakama kama huna cheti cha chango covid - 19
Aisee,huu uandishi,SAFI SANA...UNASOMA HUKU UNAPATA RAHAKesho tarehe 5/8/2021, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, itatajwa kesi ya jinai inayomjumuisha Mwenyekiti wa Taifa CHADEMA Ndugu Freeman Aikaeli Mbowe. Mbowe pamoja na wenzake watatu wanashtakiwa kwa makosa mbalimbali ya kijinai.
Kwake binafsi, Mbowe anashtakiwa kwa mashtaka ya kula njama na kufadhili vitendo vya kigaidi. Washtakiwa wenzake walianza kupandishwa kizimbani huku Mbowe akiunganishwa baadaye.
Maandalizi ya tukio la kesho yameshafanyika na kukamilika. Magereza alipo, wamejipanga na kupangika kuhakikisha kuwa Mbowe na wenzake wanafikishwa na kurejeshwa salama salmini gerezani.
Polisi wamejipanga, kuanzia nchi kavu hadi anga, kuimarisha ulinzi bila ulanzi kuhakikisha usalama usio na lawama mahakamani hapo. Polisi wamejiandaa 'kuwahi' mapema sehemu ya tukio ili 'kukagua' na 'kudhibiti' wanaoingia mahakamani hapo.
Mawakili wa pande zote mbili wamejipanga bila mapanga kutetea pande zao za mashtaka na utetezi kusiko na utelezi. Mawakili wa Serikali wamejiandaa kuthibitisha makosa ya Mbowe na wenzake watatu huku wa CHADEMA wakijiandaa kumtetea kisheria Mbowe na kumnasua kwenye kesi hiyo.
Vyombo vya habari vya ndani na nje vitafurika hadi kufunika Kisutu. Nasi wananchi wa Dar es Salaam tutajongea kushuhudia 'kipute' hiki kitakachoanza kesho.
Amini nawaambia, Kisutu kwa kila siku Mbowe atakayoletwa na hata akianza kupelekwa Mahakama Kuu, hapatatosha. Mahakamani, pumba na mchele vitatenganishwa. Tukutane Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kesho.
Pumzika kwa amani mtani na mdogo wangu Elias Kwandikwa!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Jukumu la serikali ni kwa raia wake kwanza.I blame tiss to allow this stupidity! Una brand taifa lako kwa ugaidi??? Ndio Tz mpya ya Mama Samia??? Madam Mulamula msitue MAMA! International media watarusha wengi hawafatilii details only heading! " Tanzania main oppotion leader charged with terror charges..."
Tunahitaji vifaa tiba maboma ya JPM, jumuia za kimataifa zipo tayari.Tuache ujinga na mzaha wa ajabu.
Mambo mengine huwa ni mikwala ya vyombo vyetu, kwamba Mbowe ata akija mahakamani Kama mahabusu Wengine , watu tunamuiba, Mbowe mlimkamata na kumnyima haki zake, ila itatoka tu,wakati huo serikali ikiwa tiyari imejiacha uchi KWa Mambo mepesi,katika uso wa Dunia,Kesho tarehe 5/8/2021, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, itatajwa kesi ya jinai inayomjumuisha Mwenyekiti wa Taifa CHADEMA Ndugu Freeman Aikaeli Mbowe. Mbowe pamoja na wenzake watatu wanashtakiwa kwa makosa mbalimbali ya kijinai.