denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Kama yapo ambayo kina Kibatala wanatakiwa kumwambia jaji naamini mengi wameshafanya hivyo, labda machache wakumbushweNi muhimu jitihada zote kabisa bila kuacha moja zikafanyika kwenye hatua hii ya shauri la Ling'wenya.
Kwenye shauri la Adamoo tuliamini hakukuwa na haja ya kufanya yote kwani kama ni kuonyesha tu mashaka kwenye ushahidi wa mashtaka kwa hakika hakikuachwa kitu.
Itapendeza kuacha kuufunga ushahidi upande wa utetezi kwenye shauri hili kabla ya kuyasikia maamuzi ya mahakama kuhusu ushahidi wa:
1. CCTV camera records za RAU - Moshi - Arusha - Dar - Mbweni kuwahusianisha kina Kingai.
2. Mobile phones records RAU - Moshi - Arusha - Dar - Mbweni kuwahusianisha kina Kingai.
3. Ripoti ya daktari kuhusiana na kuteswa kwa Ling'wenya.
4. Kuletwa kwa wanaoitwa wasiri wa Kingai.
Tupate huduma hata za wapelelezi binafsi kukusanya ushahidi wowote zaidi unaoweza kusaidia.
Thamani ya haki na uhuru wa mtu ilinganishwe na nini?
Ila nikwambie kitu, hata ushahidi wa daktari kisheria bado haumlazimishi jaji kutoa maamuzi ambayo mimi nawe tunaweza kuyatarajia, kwasababu hizo ni fani mbili tofauti, pamoja na yote kufanyika, jaji bado anaweza kuchanganya na facts nyingine kwenye kesi akaamua shauri tofauti.