Siyo siri kuwa vita vitakatifu vinaendelea pale mahakamani. Ni wazi kuwa ule upande mwingine bila kumwacha awaye yote:
wote wako Chobingo, na wala si cha mtoto!
Tunapo tathmini yanayojiri tokea kuanza kwa marumbano yaliyopelekea kesi hii na yote tuyaonayo, hakuna asiyejua mzizi wa fitina ni yale madai ya katiba mpya.
Madai ya katiba mpya yaliyokuwa yakishika kasi chini ya kamanda Mbowe ndiyo yaliyo chimbuko la wazi la kesi hii na hukumu hizi za kubambikiziana.
Kwamba harakati hizo zimepoa na wametuweka busy kujadili kesi hii isiyokuwa na kichwa miguu, waliko wanaweza kuwa wanachekelea kwa ushindi. Watakuwa wanahesabu mafanikio.
CHADEMA, hawa watu tusiwabeze, inawezekana wamechoka kutumika na sasa wameamua kuboronga
Si Siyani, Kingai, Kaaya wala Corporal Abdallah aliyeweza kuonyesha uwepo wa hoja zozote zenye kumfanya yeyote mwenye akili zake kuweza kuamini kuwa pana kesi ya ugaidi hapa.
Kesi hii yaweza kuwa na malengo ya mbali ya kututoa kwenye reli na kutupotezea muda.
Vivyo hivyo kumtoa kamanda Mbowe kwenye reli, kumtesa na kumpotezea muda. Hayo ni kama ilivyo kwa washtakiwa wenziwe na bila kumsahau Moses Lijenje.
Mbowe: Kwanini atashikiliwa kwa Muda Mrefu
Kwa sababu hii, ni muhimu kujua ni faida zaidi kwao kuendelea na kesi hii na kwa muda mrefu kwa kadri inavyowezekana. Hii ikiwa bila kujali nini itakuwa hatima ya kesi yenyewe.
Upande wa pili hawana cha kupoteza kwenye kesi hii, hali sisi tuna vyote vya kupoteza ikiwamo muda na momentum.
Wanajua kwenye matokeo ya hii kesi (kama ni mechi ya mpira) basi tutawachapa 3 - 0. Ila kwa hatima ya kesi, kama faida mkononi watatuchapa 6 - 0.
Tunaweza kuifuatilia kesi hii hali mapambano ya kudai katiba mpya yakiendelea na hata kwa kuyaboresha zaidi.
Kama wanachama mbona tuko lukuki?
Wananchi huhitaji uongozi. Kwenye hili hatuwezi kuwa exception.