Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
PumbavuWapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PumbavuWapi?
Kama wanachama mbona tuko lukuki? Swali zuri sana.Siyo siri kuwa vita vitakatifu vinaendelea pale mahakamani. Ni wazi kuwa ule upande mwingine bila kumwacha awaye yote:
View attachment 1992166
wote wako Chobingo, na wala si cha mtoto!
Tunapo tathmini yanayojiri tokea kuanza kwa marumbano yaliyopelekea kesi hii na yote tuyaonayo, hakuna asiyejua mzizi wa fitina ni yale madai ya katiba mpya.
Madai ya katiba mpya yaliyokuwa yakishika kasi chini ya kamanda Mbowe ndiyo yaliyo chimbuko la wazi la kesi hii na hukumu hizi za kubambikiziana.
Kwamba harakati hizo zimepoa na wametuweka busy kujadili kesi hii isiyokuwa na kichwa miguu, waliko wanaweza kuwa wanachekelea kwa ushindi. Watakuwa wanahesabu mafanikio.
CHADEMA, hawa watu tusiwabeze, inawezekana wamechoka kutumika na sasa wameamua kuboronga
Si Siyani, Kingai, Kaaya wala Corporal Abdallah aliyeweza kuonyesha uwepo wa hoja zozote zenye kumfanya yeyote mwenye akili zake kuweza kuamini kuwa pana kesi ya ugaidi hapa.
Kesi hii yaweza kuwa na malengo ya mbali ya kututoa kwenye reli na kutupotezea muda.
Vivyo hivyo kumtoa kamanda Mbowe kwenye reli, kumtesa na kumpotezea muda. Hayo ni kama ilivyo kwa washtakiwa wenziwe na bila kumsahau Moses Lijenje.
Mbowe: Kwanini atashikiliwa kwa Muda Mrefu
Kwa sababu hii, ni muhimu kujua ni faida zaidi kwao kuendelea na kesi hii na kwa muda mrefu kwa kadri inavyowezekana. Hii ikiwa bila kujali nini itakuwa hatima ya kesi yenyewe.
Upande wa pili hawana cha kupoteza kwenye kesi hii, hali sisi tuna vyote vya kupoteza ikiwamo muda na momentum.
Wanajua kwenye matokeo ya hii kesi (kama ni mechi ya mpira) basi tutawachapa 3 - 0. Ila kwa hatima ya kesi, kama faida mkononi watatuchapa 6 - 0.
Tunaweza kuifuatilia kesi hii hali mapambano ya kudai katiba mpya yakiendelea na hata kwa kuyaboresha zaidi.
Kama wanachama mbona tuko lukuki?
Wananchi huhitaji uongozi. Kwenye hili hatuwezi kuwa exception.
Leteni uchaguzi huru muone Moto wake [emoji1][emoji1]CHADEMA haina uwezo, mifumo wala watu wenye maarifa wanaoweza ku-handle kesi ya Mbowe na wakati huo huo kuimarisha chama kuelekea 2025.
Ni ama Mbowe aachiwe huru aje kujenga Chama chake ama afungwe Chama chake kife rasmi.
Mtuache CHADEMA kwa sasa akili yote iko Mahakamani kwenye kesi ya Mbowe.
CHADEMA hii inazidiwa kwa mbali sana ki-organization hata na WASAFI ya Diomond!
Mtoa mada uko sahihi kabisa! Hii kesi ni matokeo ya kile kilichoitwa 'choko choko'
Hii kesi ni ya kupotezea tu watu muda! Maana haina uhalisia wowote. Hakuna cha ugaidi wala uhujumu uchumi.
Nani anataka haki? Mbowe? Mbowe yuko kibiashara tu. Mwaka 2015 aliingiza Tsh 10 Bilion kwa kumuuzia nafasi ya urais Edward Lowassa na kimdhulumu Dr Slaa. Nyie akina brazaj mnaitikia CHORUS ya wimbo msioujuaHii mada inawahusu kweli watu msiojulikana?
Kudai haki hakuwezi kuwa bila gharama
Mbona wala hatuhitaji mawazo yenu?
Kama wanachama mbona tuko lukuki? Swali zuri sana.
Na mm naongezea, kwanini ni yeye tu ndo afanye yote?
Tutembee tu kifua mbele hakuna namna ndugu yangu.Kwanini yeye inaweza kuwa sawia pia na kwa nini si yeye. Hata hivyo ninakazia:
Tutambuane, nani ni nani katika kudai Katiba mpya
Hapa chini ni comment #9 kwenye uzi huu ikiangazia unachoongelea:
View attachment 1992407
Au nasema uongo ndugu yangu?
Nani anataka haki? Mbowe? Mbowe yuko kibiashara tu. Mwaka 2015 aliingiza Tsh 10 Bilion kwa kumuuzia nafasi ya urais Edward Lowassa na kimdhulumu Dr Slaa. Nyie akina brazaj mnaitikia CHORUS ya wimbo msioujua
Wale mashahidi upande wa manjagu wanavyojigonga gonga hadi aibu lakini maamuzi yote yanawabeba wao saa hizi sifatilii kama mwanzo nasoma vitu kama utalii,ugaidi na mengineyo...jumatatu sijui watakuja na ushahidi gani tucheke
Tutembee tu kifua mbele hakuna namna ndugu yangu.
Katiba mpya ni muhimu. Muhimu sana.Mkuu kutembea tu kifua mbele bila agenda ndicho wangependa tufanye.
Tutambuane, nani ni nani katika kudai Katiba mpya
Tutambuane hili ni muhimu. Haihitaji watu wote. Tunajua wasubiria matunda wapo na si kidogo.
Wala hawatupi taabu hao.
Kesi hii iwe kichocheo kuipata katiba mpya watanzania 60m,iweje mzee wavilipuzi na wapuuzi wenzie watuzuie kupata katiba mpya, Kwa kesi Yao ya kipuuzi.Siyo siri kuwa vita vitakatifu vinaendelea pale mahakamani. Ni wazi kuwa ule upande mwingine bila kumwacha awaye yote:
View attachment 1992166
wote wako Chobingo, na wala si cha mtoto!
Tunapo tathmini yanayojiri tokea kuanza kwa marumbano yaliyopelekea kesi hii na yote tuyaonayo, hakuna asiyejua mzizi wa fitina ni yale madai ya katiba mpya.
Madai ya katiba mpya yaliyokuwa yakishika kasi chini ya kamanda Mbowe ndiyo yaliyo chimbuko la wazi la kesi hii na hukumu hizi za kubambikiziana.
Kwamba harakati hizo zimepoa na wametuweka busy kujadili kesi hii isiyokuwa na kichwa miguu, waliko wanaweza kuwa wanachekelea kwa ushindi. Watakuwa wanahesabu mafanikio.
CHADEMA, hawa watu tusiwabeze, inawezekana wamechoka kutumika na sasa wameamua kuboronga
Si Siyani, Kingai, Kaaya wala Corporal Abdallah aliyeweza kuonyesha uwepo wa hoja zozote zenye kumfanya yeyote mwenye akili zake kuweza kuamini kuwa pana kesi ya ugaidi hapa.
Kesi hii yaweza kuwa na malengo ya mbali ya kututoa kwenye reli na kutupotezea muda.
Vivyo hivyo kumtoa kamanda Mbowe kwenye reli, kumtesa na kumpotezea muda. Hayo ni kama ilivyo kwa washtakiwa wenziwe na bila kumsahau Moses Lijenje.
Mbowe: Kwanini atashikiliwa kwa Muda Mrefu
Kwa sababu hii, ni muhimu kujua ni faida zaidi kwao kuendelea na kesi hii na kwa muda mrefu kwa kadri inavyowezekana. Hii ikiwa bila kujali nini itakuwa hatima ya kesi yenyewe.
Upande wa pili hawana cha kupoteza kwenye kesi hii, hali sisi tuna vyote vya kupoteza ikiwamo muda na momentum.
Wanajua kwenye matokeo ya hii kesi (kama ni mechi ya mpira) basi tutawachapa 3 - 0. Ila kwa hatima ya kesi, kama faida mkononi watatuchapa 6 - 0.
Tunaweza kuifuatilia kesi hii hali mapambano ya kudai katiba mpya yakiendelea na hata kwa kuyaboresha zaidi.
Kama wanachama mbona tuko lukuki?
Wananchi huhitaji uongozi. Kwenye hili hatuwezi kuwa exception.
chadema wanapoteza muda. mwanasheria pekee anayejua kupambana na serikali alikuwa Tundu Lisu, kichwa cha udsm kile acha tu. sio mbaguzi wa vyuo lakini ukweli upo wazi. Kibatala ni mburura anayewaponza chadema kila wakati. hapa dsm kuna wanasheria wengi sana wa criminal bora mara mia ya huyo dogo, dogo sio mwanasheria, ni mwanasiasa ndio maana mara zote huwa anashindwa kesi. waulize sugu masonga na waliowakilishwa naye kesi kibao tu. nimeanza kumwamini kigogo anayewaambia wamefeli kwenye kuajiri wanasheria wakaajili wanaharakati na watu wanaotumia zaidi jazba badala ya hoja za kisheria. kibatala ni mtu mwenye jazba na huwa hatumiii akili za kisheria. simshambulii lakini huu ukweli kuna siku chadema mtakuja kuujua. kichwa cha mzumbe kile sio kama vya mzumbe wenzake vilivyo. sitaki kutaja wanasheria mahiri wa criminal hapa ambao chadema wangewatumia, lakini naamini Tundu Lisu anawajua anaweza kuwapigia simu kuwashauri. povu ruksa.
cha ajabu nini hapa? au jf nayo ni ya chadema kwamba tusiexpress different opinions?
Maushungi kanuia kumfunga Mbowe kwa miaka 30 au maisha ili maccm wamuone mashujaa ila hajui anatengeneza chuki za kutisha nchini ambazo zinazidi kuisambaratishs nchi.
cha ajabu nini hapa? au jf nayo ni ya chadema kwamba tusiexpress different opinions?
Kijana katafute pesa, hao kina Mbowe na Lissu ni wajasiriamali wa siasa tu. I swear utakuja kunishukuruKwa hiyo tuseme Huihui2 kama alivyo Kaaya, Idugunde, Kamanda Asiyechoka na binamu zenu ndiyo tuwaone leo mmejawa na moyo wa huruma? Kwamba ghafla mnatuhurumia sisi 😁😁?
Sisi mbona tunawaona nyie ndiyo wachawi wenyewe?
Hivi mmemficha wapi Moses Lijenje?
Kama CCM siyo adui, mchawi wetu ni nani?
Utakuwa kada ipi wewe usiyetaka katiba mpya kama wewe siyo mmoja wa wachawi hawa tu?
hili jambo nilikuwa silijui hadi nilipofumbuka macho. mmoja anajenga hotel yake karibu na Kisasa Dodoma nimeonyeshwa ninatamani na mimi niwe mwanasiasa.Kijana katafute pesa, hao kina Mbowe na Lissu ni wajasiriamali wa siasa tu. I swear utakuja kunishukuru