Mbowe alisema "Nikamateni mimi"
Kiufupi sikuelewa mbowe alioata wapi ujasiri wa ghafla baada ya JPM kwenda mbinguni[emoji847][emoji848],
Yaani richa ya account zake kuwa unfreezed, na kurudi nchini toka dubai, nilitarajia awe conciliatory towards establishment, hasa baada ya government kaonyesha good gesture towards wao,
Sijui hawakuelewa,, wao wakaanzisha movement na maneno mengi, ooh hatubembelezi kwenda ikulu, ooh tutawanyoa kwa wembe uleule,, ooh hapatataealika,,, [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]