Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Umenena vizuri...CHADEMA haina uwezo, mifumo wala watu wenye maarifa wanaoweza ku-handle kesi ya Mbowe na wakati huo huo kuimarisha chama kuelekea 2025.
Ni ama Mbowe aachiwe huru aje kujenga Chama chake ama afungwe Chama chake kife rasmi.
Mtuache CHADEMA kwa sasa akili yote iko Mahakamani kwenye kesi ya Mbowe.
CHADEMA hii inazidiwa kwa mbali sana ki-organization hata na WASAFI ya Diomond!
Nilishangaa sana kusikia kauli za KM JJ Mnyika juu ya kesi ya Mbowe!!
Kufoka foka kwenye media bila mipango madhubuti na endelevu ni kuwapa ccm ushindi mezani!
CDM watafute msaada wakiona wameshindwa!! Wasitegemee akili iliyotufikisha hapa tulipo itaingiwa na huruma kuweka mambo yao sawa!!