Kesi ya Mbowe: Makamanda Tunapopigwa Bao

Kesi ya Mbowe: Makamanda Tunapopigwa Bao

Mimi nataka pesa mfukoni niiishi maisha mema na wanangu period. Hata Mbowe yuko kazini tu wala hatafuti Katiba Mpya, yeye ndiyo njia yake ya kupatia fedha.

Wananchi wanatumiwa tu na wanasiasa. CCM haitaki Katiba Nzuri kwa kuwa inajuwa itatolewa madarakani. CHADEMA na wapinzani wengine wanataka Katiba Mpya ili waitoe CCM na watawale.

Mbowe, Adamoo, Ling'wenya, Bwire, au Lijenje wanakuhusu nini wakulungwa wewe?

Inafahamika kuwa mnaojali maslahi yenu binafsi tu, na msiojulikana mmo.

Yuko wapi Moses Lijenje?
 
Wenzetu wote waliofanikiwa kujikomboa na wako vizuri ni wale tu

1. Walio kwishaviondoa vyama vilivyo achiwa madaraka na wakoloni.

Au:

2. Haziko chini ya utawala ulio ingia kupitia mtutu wa bunduki.
Ni ukweli usio kwepeka mkuu
Uchungu wa dawa ndo tiba yake

Hakuna mabadiliko pasipokuwa na mapinduzi

Wazee wetu waliyatoa sadaka maisha yao kwa ajili yetu

Nasi hatuna budi kuyapambania masirahi ya kizazi chetu kijacho

Chenye mwanzo hakikosi kuwa na mwisho zama za chama tawala zinepitwa na wakati

Mapinduzi ni muhimu
 
Mbowe, Adamoo, Ling'wenya, Bwire, au Lijenje wanakuhusu nini wakulungwa wewe?

Inafahamika kuwa mnaojali maslahi yenu binafsi tu, na msiojulikana mmo.

Yuko wapi Moses Lijenje?
Mbona ndugu zake huyo Moses Linjenje hatujawahi wasikia wakimtafuta? Yawezekana ni parody name kama brazaj
 
Mbona ndugu zake huyo Moses Linjenje hatujawahi wasikia wakimtafuta? Yawezekana ni parody name kama brazaj

Kiingereza kigumu mjomba Cpl. Abdallah anaweza kukupa mrejesho zaidi 😁😁.

Nduguze Moses Lijenje ndiyo sisi.

Hukuwahi pia kuwasikia ndugu zao Lissu, Ben, Mawazo, Azory, au waliokuwa kwenye viroba?

Ndugu zao tulikuwa sisi.

Ndiyo maana waungwana walitambua:

"Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja."

Mburula asiyejulikana ayaelewe wapi hayo?

Mtamtapika Moses Lijenje bila kujali itachukua muda gani.
 
Ni ukweli usio kwepeka mkuu
Uchungu wa dawa ndo tiba yake

Hakuna mabadiliko pasipokuwa na mapinduzi

Wazee wetu waliyatoa sadaka maisha yao kwa ajili yetu

Nasi hatuna budi kuyapambania masirahi ya kizazi chetu kijacho

Chenye mwanzo hakikosi kuwa na mwisho zama za chama tawala zinepitwa na wakati

Mapinduzi ni muhimu

Unasomeka vyema. Mapinduzi ni muhimu na hayakwepeki.

Huo ndiyo ulio ukweli mchungu.
 
Siyo siri kuwa vita vitakatifu vinaendelea pale mahakamani. Ni wazi kuwa ule upande mwingine bila kumwacha awaye yote:

View attachment 1992166

wote wako Chobingo, na wala si cha mtoto!

Tunapo tathmini yanayojiri tokea kuanza kwa marumbano yaliyopelekea kesi hii na yote tuyaonayo, hakuna asiyejua mzizi wa fitina ni yale madai ya katiba mpya.

Madai ya katiba mpya yaliyokuwa yakishika kasi chini ya kamanda Mbowe ndiyo yaliyo chimbuko la wazi la kesi hii na hukumu hizi za kubambikiziana.

Kwamba harakati hizo zimepoa na wametuweka busy kujadili kesi hii isiyokuwa na kichwa miguu, waliko wanaweza kuwa wanachekelea kwa ushindi. Watakuwa wanahesabu mafanikio.

CHADEMA, hawa watu tusiwabeze, inawezekana wamechoka kutumika na sasa wameamua kuboronga

Si Siyani, Kingai, Kaaya wala Corporal Abdallah aliyeweza kuonyesha uwepo wa hoja zozote zenye kumfanya yeyote mwenye akili zake kuweza kuamini kuwa pana kesi ya ugaidi hapa.

Kesi hii yaweza kuwa na malengo ya mbali ya kututoa kwenye reli na kutupotezea muda.

Vivyo hivyo kumtoa kamanda Mbowe kwenye reli, kumtesa na kumpotezea muda. Hayo ni kama ilivyo kwa washtakiwa wenziwe na bila kumsahau Moses Lijenje.

Mbowe: Kwanini atashikiliwa kwa Muda Mrefu

Kwa sababu hii, ni muhimu kujua ni faida zaidi kwao kuendelea na kesi hii na kwa muda mrefu kwa kadri inavyowezekana. Hii ikiwa bila kujali nini itakuwa hatima ya kesi yenyewe.

Upande wa pili hawana cha kupoteza kwenye kesi hii, hali sisi tuna vyote vya kupoteza ikiwamo muda na momentum.

Wanajua kwenye matokeo ya hii kesi (kama ni mechi ya mpira) basi tutawachapa 3 - 0. Ila kwa hatima ya kesi, kama faida mkononi watatuchapa 6 - 0.

Tunaweza kuifuatilia kesi hii hali mapambano ya kudai katiba mpya yakiendelea na hata kwa kuyaboresha zaidi.

Kama wanachama mbona tuko lukuki?

Wananchi huhitaji uongozi. Kwenye hili hatuwezi kuwa exception.
Nimhumu uongozi CHADEMA ufanye vyote kwa mpigo: Kuendesha kesi na kuhamasisha madai na makongamano ya katiba mpya.
 
Nimhumu uongozi CHADEMA ufanye vyote kwa mpigo: Kuendesha kesi na kuhamasisha madai na makongamano ya katiba mpya.

Waliopo madarakani hawapo kwa ridhaa ya umma. Huwezi kuwa madarakani kama haki, usawa, uhuru na demokrasia si agenda zao.

Hawa ni wa wabakaji tu kama walivyo wanaostahili mvua 30.

Kwamba waliingia madarakani kwa agenda ipi basi ambayo tuseme hiyo ndiyo iliyowavutia watu kuwaweka madarakani?

Watakuwaje na nia ya mazumgumzo hao?
Hawana nia ya mazumgumzo wala hawawezi kuwa na nia hiyo.

Mwenye maamuzi ya hatima ni sisi si wao.
 
Unasomeka vyema. Mapinduzi ni muhimu na hayakwepeki.

Huo ndiyo ulio ukweli mchungu.
Mkuu jiulize wazee wetu wasinge fight mambo yangekuweje kwa sasa

Tuachane na siasa mapinduzi katika taifa ni muhimu kuliko kitu chochote kwa sasa

Kama sio ivo tutapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa kizazi hadi vizazi vyote vijavyo
 
Huko Mahakamani nafatilia vituko tuu muhuni anatoa CV masaa mawili kasoma Botswana mara China mambo ya vilipuzi harafu bado anasotea V...kiingereza cha kawaida tuu fungua mlango na funga hajui sijui huko Botswana alikua anaongea lugha gani..

si unaona kama hapa ushaanza kumfikiria coplo na mbavu zake badala ya kesi ya msingi[emoji81][emoji81][emoji81]

ccm wanajua sana vichwa vya wapinzani vikoje.naichukia sana ccm mimi sababu najua imejichimbia chini kuliko nguvu dhaifu inayofikiri inaweza kuing'oa.
 
CHADEMA haina uwezo, mifumo wala watu wenye maarifa wanaoweza ku-handle kesi ya Mbowe na wakati huo huo kuimarisha chama kuelekea 2025.

Ni ama Mbowe aachiwe huru aje kujenga Chama chake ama afungwe Chama chake kife rasmi.
Mtuache CHADEMA kwa sasa akili yote iko Mahakamani kwenye kesi ya Mbowe.

CHADEMA hii inazidiwa kwa mbali sana ki-organization hata na WASAFI ya Diomond!
Na unafaham ulichoandika ni ujinga ujinga hivi, na umetoa ufaham kwa makusudi.
 
CHADEMA haina uwezo, mifumo wala watu wenye maarifa wanaoweza ku-handle kesi ya Mbowe na wakati huo huo kuimarisha chama kuelekea 2025.

Ni ama Mbowe aachiwe huru aje kujenga Chama chake ama afungwe Chama chake kife rasmi.
Mtuache CHADEMA kwa sasa akili yote iko Mahakamani kwenye kesi ya Mbowe.

CHADEMA hii inazidiwa kwa mbali sana ki-organization hata na WASAFI ya Diomond!
Lakini ccm wenye uwezo hawatumii uwezo wao bila ya policcm.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nataka pesa mfukoni niiishi maisha mema na wanangu period. Hata Mbowe yuko kazini tu wala hatafuti Katiba Mpya, yeye ndiyo njia yake ya kupatia fedha.

Wananchi wanatumiwa tu na wanasiasa. CCM haitaki Katiba Nzuri kwa kuwa inajuwa itatolewa madarakani. CHADEMA na wapinzani wengine wanataka Katiba Mpya ili waitoe CCM na watawale.
Yaani wewe na hao watoto wako mtaishia kuwa wajinga wajinga tu!
Kwa taarifa yako hiyo mipango yako na upatikanaji wa hizo pesa alkadhalika mafanikio ya watoto wako; tote ni michakato inayohitaji siasa na Katiba madhubuti!!
 
Endelea kukaririshwa Katiba mpya bila elimu ya Katiba kama utakula Katiba mpya
 
Yaani wewe na hao watoto wako mtaishia kuwa wajinga wajinga tu!
Kwa taarifa yako hiyo mipango yako na upatikanaji wa hizo pesa alkadhalika mafanikio ya watoto wako; tote ni michakato inayohitaji siasa na Katiba madhubuti!!

Kenge akisikia bila damu masikioni usiache kutuletea mrejesho 😁😁
 
Ukichamba sana lazima ushike kinyesi. Mbowe kashika kinyesi kwa kujifanya mjuwaji. Miaka 5 ya Mwendazake aliufyata kimya kama uchi wa mwanaume hanithi kwenye boxer, lakini alivyokuja Rais SSH alimu underate sana kwa kumuona mwanamke hana uwezo.

Tatizo ni ulemavu wa uongozi alionao Mbowe. Kule CHADEMA yeye ndiye Mwenyekiti na yeye ndiyo sauti ya mwisho kwa kuwa amekuwa Mwenyekiti toka 2003, miaka 18 sasa.

Kimsingi Mbowe hana haiba ya kuwa Kiongozi wa kudai Katiba mpya kwa vile naye ni DIKTETA mbaya sawa na Magufuli tu.

Ngoja waonyeshane makali, sisi yetu macho
Kwa hiyo makosa ya kudai katiba, kuwa mwenyekiti kwa miaka 18, ndo yanayo mfanya Mbowe kuwa gaidi? Kwa hiyo angetulia tu kwenye boxer asingekuwa gaidi?!
 
Kenge akisikia bila damu masikioni usiache kutuletea mrejesho 😁😁
Yaani watu wa hivyo akili zinaangalia Leo tu; akipata yeye na watoto wake anahisi amemaliza maisha.
Shenzi type kabisa! Wangekuwa wana alama usoni ukimuona unamfanyia displacement reaction!
 
Back
Top Bottom