residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Acha maneno yako kishimundu we choko,nyie ndio mnauliza mahakamani terrorism nin....na huyo vamba lazima afungwe.
Makampuni mengi ya simu yana bahati ya kufanya kazi katika nchi zenye watu wengi wajinga ila ingekuwa kwenye nchi zilizoendelea leo tigo hisa zao zingeshuka tu kumbe kwao suala la privacy siyo kipaumbele chao kbsa kwa mteja wao shame on them
Yaweza kuwa uoga wa kubambikiwa Kodi, kubwa ili isiwe hivyo Bora kuungana na adui.Shahidi wa leo, kwenye kesi dhidi ya Mh. Mbowe na wenzake, bwana Fredy ametudhihirishia wateja wa mitandao ya simu kuwa polisi wanaweza kwenda kwenye hii mitandao na kuwaambia wenye mitandao wawape taarifa zako zote, kama mawasiliano, ulipo, miamala yako, wao hata hawaulizi ni kwaajili ya nini, wanawapa.
Watanzania hatupo salama kiusalama wala kifaragha, kila unapotumia mtandao wa simu. Polisi mwenye nia mbaya nawe, anaweza kwenda kwenye mitandao, na kuomba location yako, atapewa; akitaka kujua una mahusiano na mtu gani, atapewa; akitaka kujua simu yako ilituma hela kwa nani na ina balance kiasi gani, anapewa; atapewa chochote anachotaka alimradi tu ni polisi.
Hii ni wakeup call, kuwa usitumie mitandao ya simu kama siyo lazima sana. Labda utumie zaidi data ili mawasiliano yawe kwa whatsap, skype au telegram, huduma ambazo savers hazipo nchini, lakini siyo sms wala calls, au kutuma hela.
Kwakuwa wewe haramia bambikizi la ule mtaa ovu was kijani😄😄.kama wewe sio Gaidi unaogopa nini??!!
sasa unajihangaisha na niniKuna mahali popote nimeandika wanyimwe taarifa wewe kichwa panzi?
Duniani kote wanafanya kama Tigo maana Mwanasheria wao kasema Polisi wakitaka Taarifa haina haja ya kuwa na sababu za msingi.!!Iko hivyo duniani kote!
Kwan kweny mwenendo wa hii kesi wewe umesikia kwamba shahidi alipata hyo order ya mahakama kutoa hizo taarifa ? Kama angefuata taratibu za kisheria zinavyotaka wala hakuna shida mkuu tusifanye kazi kwa mashinikizo bali kwa sheria na miongozi yetujiepusheni na uhalifu aisee.
kesho utaibiwa simu,halafu tutataka amri ya mahakama ili kukabidhi mwenendo wake kwa polisi.hapo ndio utajua nyeupe na nyeusi sio rangi.
Ni kweli ndio wamesema hivyo au unasingizia mkuu.?Shahidi wa leo, kwenye kesi dhidi ya Mh. Mbowe na wenzake, bwana Fredy ametudhihirishia wateja wa mitandao ya simu kuwa polisi wanaweza kwenda kwenye hii mitandao na kuwaambia wenye mitandao wawape taarifa zako zote, kama mawasiliano, ulipo, miamala yako, wao hata hawaulizi ni kwaajili ya nini, wanawapa.
Watanzania hatupo salama kiusalama wala kifaragha, kila unapotumia mtandao wa simu. Polisi mwenye nia mbaya nawe, anaweza kwenda kwenye mitandao, na kuomba location yako, atapewa; akitaka kujua una mahusiano na mtu gani, atapewa; akitaka kujua simu yako ilituma hela kwa nani na ina balance kiasi gani, anapewa; atapewa chochote anachotaka alimradi tu ni polisi.
Hii ni wakeup call, kuwa usitumie mitandao ya simu kama siyo lazima sana. Labda utumie zaidi data ili mawasiliano yawe kwa whatsap, skype au telegram, huduma ambazo savers hazipo nchini, lakini siyo sms wala calls, au kutuma hela.
Sheria inasema taarifa inaweza kutolewa kama mtumiaji wa simu anatuhumiwa kutenda kosa fulani. Lakini uthibitisho uliotolewa leo ni kwamba polisi hawaelezi hata sababu, na tigo hata hawaulizi taarifa inahitajika kwa sababu gani.
wewe unalijua leo?Shahidi wa leo, kwenye kesi dhidi ya Mh. Mbowe na wenzake, bwana Fredy ametudhihirishia wateja wa mitandao ya simu kuwa polisi wanaweza kwenda kwenye hii mitandao na kuwaambia wenye mitandao wawape taarifa zako zote, kama mawasiliano, ulipo, miamala yako, wao hata hawaulizi ni kwaajili ya nini, wanawapa.
Watanzania hatupo salama kiusalama wala kifaragha, kila unapotumia mtandao wa simu. Polisi mwenye nia mbaya nawe, anaweza kwenda kwenye mitandao, na kuomba location yako, atapewa; akitaka kujua una mahusiano na mtu gani, atapewa; akitaka kujua simu yako ilituma hela kwa nani na ina balance kiasi gani, anapewa; atapewa chochote anachotaka alimradi tu ni polisi.
Hii ni wakeup call, kuwa usitumie mitandao ya simu kama siyo lazima sana. Labda utumie zaidi data ili mawasiliano yawe kwa whatsap, skype au telegram, huduma ambazo savers hazipo nchini, lakini siyo sms wala calls, au kutuma hela.
Siyo kwa watanzania asee.Kampeni ya tupa kule line ianze
Lakini Sheria imeelekeza tofautiDuniani kote wanafanya kama Tigo maana Mwanasheria wao kasema Polisi wakitaka Taarifa haina haja ya kuwa na sababu za msingi.!!
Bora umueleweshe anadhani confidential na classified info ni taarifa za ugaidi au ujambazi...Faragha ya mtu siyo uhalifu tu. Au kwako, hata serikali au kampuni wakisema hii ni confidential au classified information, basi ni ugaidi?
Sasa alshabaab wabataka kupoiga mabomu Vyombo vya Simu vifiche tu safi sana. Siri siri siri za nini kama hamtaki kufanya mambo mabaya!Shahidi wa leo, kwenye kesi dhidi ya Mh. Mbowe na wenzake, bwana Fredy ametudhihirishia wateja wa mitandao ya simu kuwa polisi wanaweza kwenda kwenye hii mitandao na kuwaambia wenye mitandao wawape taarifa zako zote, kama mawasiliano, ulipo, miamala yako, wao hata hawaulizi ni kwaajili ya nini, wanawapa.
Watanzania hatupo salama kiusalama wala kifaragha, kila unapotumia mtandao wa simu. Polisi mwenye nia mbaya nawe, anaweza kwenda kwenye mitandao, na kuomba location yako, atapewa; akitaka kujua una mahusiano na mtu gani, atapewa; akitaka kujua simu yako ilituma hela kwa nani na ina balance kiasi gani, anapewa; atapewa chochote anachotaka alimradi tu ni polisi.
Hii ni wakeup call, kuwa usitumie mitandao ya simu kama siyo lazima sana. Labda utumie zaidi data ili mawasiliano yawe kwa whatsap, skype au telegram, huduma ambazo savers hazipo nchini, lakini siyo sms wala calls, au kutuma hela.
Mpuuzi huyo yani mtu afanye uhalifu alaf atunziwe faraghani upuuzi kiwango 1000% kudhani kwamba mtandao utaheshimu faragha za mjinga mmoja dhidi ya serikali,hakuna nchi ya hivi,haipo.
zipo policy kati yako,mtandao,na serikali kama utatu mtakatifu katika biashara,lakini kuna policy kati ya mtandao na serikali.
wewe mkuu ukiua,ukahitajika ushahidi kutoka katika simu,polisi ambao ni sehemu ya serikali wana mamlaka ya kwenda tigo au kwingine wakapewa mkeka wote wa mawasiliano yako,na huwezi kuja hapa unalalamikia faragha kwamba umesalitiwa na mtandao husika,maana utaonekana kichaa.
hao wahanga unaojaribu kuwataja ni kundi hili hili la kwako wanaoamini kutumia mitandao kuna ngao sababu ya sera ya faragha kutoka mtandao husika,unapiga majungu mkuu wa nchi kwenye simu[emoji1787][emoji23][emoji1787].
melo mwenyewe labda sababu hawezi kukwambia kakabidhi nini kwa kazi zipi,ndio maana unaandika hapa,vinginevyo angeeshakula ban saa hizi usijue hata jf iliishakuwepo.
Yaani inanishangaza simple logic eti watu wanatoka mapovu. Tanzania kuendelea ni mwaka 1000Police ni chambo cha usalama na kudai taarifa za mtuhumiwa yeyote au mtu anayepelelezwa ni sawa kabisa ...achani ushabiki wa kisiasa..maana ya usalama nini sasa..kwa hiyo wasipewe huo uwezo ili nchi itekwe mara moja..achani ushabiki na ujinga..kwa hiyo police wakatufute order mahakani ili process ya kubaini wahalifu mara moja liwe complicated..acheni ushabiki