Kesi ya Mbowe na wanasheria wa Tigo na Airtel ikumbushe wenye mamlaka kutunza siri za wateja ni muhimu kujenga sekta imara ya benki na mawasiliano

Makampuni mengi ya simu yana bahati ya kufanya kazi katika nchi zenye watu wengi wajinga ila ingekuwa kwenye nchi zilizoendelea leo tigo hisa zao zingeshuka tu kumbe kwao suala la privacy siyo kipaumbele chao kbsa kwa mteja wao shame on them

jiepusheni na uhalifu aisee.

kesho utaibiwa simu,halafu tutataka amri ya mahakama ili kukabidhi mwenendo wake kwa polisi.hapo ndio utajua nyeupe na nyeusi sio rangi.
 
Kuna mahali popote nimeandika wanyimwe taarifa wewe kichwa panzi?
Hao watu (mamlaka) wanaopewa taarifa ni kwa mujibu wa sheria zilizopo.
Kuna mamlaka hazinyimwi hizo taarifa
sheria zipo zinazi guide hivyo vitu
 
Shahidi wa leo, kwenye kesi dhidi ya Mh. Mbowe na wenzake, bwana Fredy ametudhihirishia wateja wa mitandao ya simu kuwa polisi wanaweza kwenda kwenye hii mitandao na kuwaambia wenye mitandao wawape taarifa zako zote, kama mawasiliano, ulipo, miamala yako, wao hata hawaulizi ni kwaajili ya nini, wanawapa.

Watanzania hatupo salama kiusalama wala kifaragha, kila unapotumia mtandao wa simu. Polisi mwenye nia mbaya nawe, anaweza kwenda kwenye mitandao, na kuomba location yako, atapewa; akitaka kujua una mahusiano na mtu gani, atapewa; akitaka kujua simu yako ilituma hela kwa nani na ina balance kiasi gani, anapewa; atapewa chochote anachotaka alimradi tu ni polisi.

Hii ni wakeup call, kuwa usitumie mitandao ya simu kama siyo lazima sana. Labda utumie zaidi data ili mawasiliano yawe kwa whatsap, skype au telegram, huduma ambazo savers hazipo nchini, lakini siyo sms wala calls, au kutuma hela.
Yaweza kuwa uoga wa kubambikiwa Kodi, kubwa ili isiwe hivyo Bora kuungana na adui.
 
jiepusheni na uhalifu aisee.

kesho utaibiwa simu,halafu tutataka amri ya mahakama ili kukabidhi mwenendo wake kwa polisi.hapo ndio utajua nyeupe na nyeusi sio rangi.
Kwan kweny mwenendo wa hii kesi wewe umesikia kwamba shahidi alipata hyo order ya mahakama kutoa hizo taarifa ? Kama angefuata taratibu za kisheria zinavyotaka wala hakuna shida mkuu tusifanye kazi kwa mashinikizo bali kwa sheria na miongozi yetu
 
Shahidi wa leo, kwenye kesi dhidi ya Mh. Mbowe na wenzake, bwana Fredy ametudhihirishia wateja wa mitandao ya simu kuwa polisi wanaweza kwenda kwenye hii mitandao na kuwaambia wenye mitandao wawape taarifa zako zote, kama mawasiliano, ulipo, miamala yako, wao hata hawaulizi ni kwaajili ya nini, wanawapa.

Watanzania hatupo salama kiusalama wala kifaragha, kila unapotumia mtandao wa simu. Polisi mwenye nia mbaya nawe, anaweza kwenda kwenye mitandao, na kuomba location yako, atapewa; akitaka kujua una mahusiano na mtu gani, atapewa; akitaka kujua simu yako ilituma hela kwa nani na ina balance kiasi gani, anapewa; atapewa chochote anachotaka alimradi tu ni polisi.

Hii ni wakeup call, kuwa usitumie mitandao ya simu kama siyo lazima sana. Labda utumie zaidi data ili mawasiliano yawe kwa whatsap, skype au telegram, huduma ambazo savers hazipo nchini, lakini siyo sms wala calls, au kutuma hela.
Ni kweli ndio wamesema hivyo au unasingizia mkuu.?
 
Sheria inasema taarifa inaweza kutolewa kama mtumiaji wa simu anatuhumiwa kutenda kosa fulani. Lakini uthibitisho uliotolewa leo ni kwamba polisi hawaelezi hata sababu, na tigo hata hawaulizi taarifa inahitajika kwa sababu gani.
Screenshot_20211102-192044.png
Screenshot_20211102-192318.png

Wakili Fred kaulizwa kama alitajiwa tuhuma za huyo mteja akasema hapana. Akaulizwa alivojibu alitaja tuhuma akasema hapana!
Muhimu alichosema ni kuwa kwao Tigo compliance (utii) ni muhimu kuliko Siri za mteja wao. Japokuwa alikuwa na uwezo wa kuhoji na kumtaka polisi mtaka taarifa kutumia vifungu vingine vya sheria hiyo hiyo..
Screenshot_20211102-192417.png
 
Shahidi wa leo, kwenye kesi dhidi ya Mh. Mbowe na wenzake, bwana Fredy ametudhihirishia wateja wa mitandao ya simu kuwa polisi wanaweza kwenda kwenye hii mitandao na kuwaambia wenye mitandao wawape taarifa zako zote, kama mawasiliano, ulipo, miamala yako, wao hata hawaulizi ni kwaajili ya nini, wanawapa.

Watanzania hatupo salama kiusalama wala kifaragha, kila unapotumia mtandao wa simu. Polisi mwenye nia mbaya nawe, anaweza kwenda kwenye mitandao, na kuomba location yako, atapewa; akitaka kujua una mahusiano na mtu gani, atapewa; akitaka kujua simu yako ilituma hela kwa nani na ina balance kiasi gani, anapewa; atapewa chochote anachotaka alimradi tu ni polisi.

Hii ni wakeup call, kuwa usitumie mitandao ya simu kama siyo lazima sana. Labda utumie zaidi data ili mawasiliano yawe kwa whatsap, skype au telegram, huduma ambazo savers hazipo nchini, lakini siyo sms wala calls, au kutuma hela.
wewe unalijua leo?

mie nilinunua simu ya wizi siku nakuja kudakwa jamaa walikuwa na karatasi kama 50 zilizojaa pages zenye mesages zangu zote,
 
Faragha ya mtu siyo uhalifu tu. Au kwako, hata serikali au kampuni wakisema hii ni confidential au classified information, basi ni ugaidi?
Bora umueleweshe anadhani confidential na classified info ni taarifa za ugaidi au ujambazi...

Kwa kuangalia fasta fasta majibu ya huyu staff wa Tigo kuna mambo hayapo sawa..

Ni kama ame impair bila kujua image ya mwajiri wake. Ukiangalia tigo wanatumia billions of money kujenga brand yao halafu jamaa anaichafua just like that..

Kuna namna ya kutoa responses ambazo zipo diplomatic, especially kwenye nyakati unapogusa maslahi ya muajiri wako.. nahisi amekurupuka

Aisee hawatamwacha, sioni huyu jamaa akiwa kwenye ajira yake mpaka December.
 
Shahidi wa leo, kwenye kesi dhidi ya Mh. Mbowe na wenzake, bwana Fredy ametudhihirishia wateja wa mitandao ya simu kuwa polisi wanaweza kwenda kwenye hii mitandao na kuwaambia wenye mitandao wawape taarifa zako zote, kama mawasiliano, ulipo, miamala yako, wao hata hawaulizi ni kwaajili ya nini, wanawapa.

Watanzania hatupo salama kiusalama wala kifaragha, kila unapotumia mtandao wa simu. Polisi mwenye nia mbaya nawe, anaweza kwenda kwenye mitandao, na kuomba location yako, atapewa; akitaka kujua una mahusiano na mtu gani, atapewa; akitaka kujua simu yako ilituma hela kwa nani na ina balance kiasi gani, anapewa; atapewa chochote anachotaka alimradi tu ni polisi.

Hii ni wakeup call, kuwa usitumie mitandao ya simu kama siyo lazima sana. Labda utumie zaidi data ili mawasiliano yawe kwa whatsap, skype au telegram, huduma ambazo savers hazipo nchini, lakini siyo sms wala calls, au kutuma hela.
Sasa alshabaab wabataka kupoiga mabomu Vyombo vya Simu vifiche tu safi sana. Siri siri siri za nini kama hamtaki kufanya mambo mabaya!
 
ni upuuzi kiwango 1000% kudhani kwamba mtandao utaheshimu faragha za mjinga mmoja dhidi ya serikali,hakuna nchi ya hivi,haipo.
zipo policy kati yako,mtandao,na serikali kama utatu mtakatifu katika biashara,lakini kuna policy kati ya mtandao na serikali.

wewe mkuu ukiua,ukahitajika ushahidi kutoka katika simu,polisi ambao ni sehemu ya serikali wana mamlaka ya kwenda tigo au kwingine wakapewa mkeka wote wa mawasiliano yako,na huwezi kuja hapa unalalamikia faragha kwamba umesalitiwa na mtandao husika,maana utaonekana kichaa.

hao wahanga unaojaribu kuwataja ni kundi hili hili la kwako wanaoamini kutumia mitandao kuna ngao sababu ya sera ya faragha kutoka mtandao husika,unapiga majungu mkuu wa nchi kwenye simu[emoji1787][emoji23][emoji1787].

melo mwenyewe labda sababu hawezi kukwambia kakabidhi nini kwa kazi zipi,ndio maana unaandika hapa,vinginevyo angeeshakula ban saa hizi usijue hata jf iliishakuwepo.
Mpuuzi huyo yani mtu afanye uhalifu alaf atunziwe faragha
 
Police ni chambo cha usalama na kudai taarifa za mtuhumiwa yeyote au mtu anayepelelezwa ni sawa kabisa ...achani ushabiki wa kisiasa..maana ya usalama nini sasa..kwa hiyo wasipewe huo uwezo ili nchi itekwe mara moja..achani ushabiki na ujinga..kwa hiyo police wakatufute order mahakani ili process ya kubaini wahalifu mara moja liwe complicated..acheni ushabiki
Yaani inanishangaza simple logic eti watu wanatoka mapovu. Tanzania kuendelea ni mwaka 1000
 
Back
Top Bottom