ha ha ha ha ha walitaka komandoo asionyeshe majeraha ya vipigo na mateso.Wakili wa Serikali: Kwa kuwa +Makomandoo ni watu wanaohimili shida ni nadra kumkuta Komandoo analalamika
hiyo washai-swallow kitamboo saaana.Hiyo 260k wairudishe..
lakini je kama amesemahayoili kujiokoa nakesi ? jaji ndiyo ataamua maana kila mtu hapo anataka kuponya roho yake polisi nao kama wakishindwa kesi tayari wana lakujibu maana itaonekana walifanya kweli usalama wao washindekesi wakishindwa ni ndani tu hapo sasa karata za kisheria zichezwe vizuriKama Mtanzania mwenye Moyo nimeumizwa sana na yale niliyoyasikia Mahakamani leo.
Kwa yanayoendelea kwenye kesi ya Mbowe na
wenzake itoshe tu kusema Wanzania tuwe makini sana na Polisi wetu.
1. Kuna kuwekewa madawa ya kulevya
2. Kupewa kesi ya UGAIDI
3. Kuchukuliwa pesa zako mfukoni.
4. Mateso ya KINYAMA.
5. Kushinda na NJAA hali ya kuwa mahabusu.
Polisi sio watu tena wa kulinda RAIA NA MALI ZAO BALI NI KUTESA RAIA NA KUCHUKUA MALI ZAO.
SIASA SIASANI...
Hivi kwa akili za kawaida tu mwizi wa kuku tu ameiba na amekamatwa na kidhibiti anakataa sembuse komandoo!!!Mungu ingilia Kati kwa kweli kwa ushahidi wa mtuhumiwa inaonyesha kuwa yote walioongea ni uongo tupu kuwa hawakuwapiga,pia kuwa walikuwa nao sehemu mbalimbali wakimtafta mtuhumiwa mwingine.mithali 14:34 haki huinua Taifa.
Jaji hatakuwa na kazi kubwa kuandika hukumu, maana so far goma lishaegama upande mmoja kwenye hii kesi ndogo ambayo ina impact kubwa mno kwenye ile ya msingi.Aibu sana hii kesi!
Hivi ndo kusema Magufuli na watu wake ni kweli kabisa alikuwa amedhamiria kumfanya kitu mbaya hasimu na mkosoaji wake Mkubwa Tundu Lissu?Huyu ni miongoni mwa Mabalozi ambao Mahudhurio yake kwenye Kesi ya UGAIDI wa laki 6 inayomkabili Mbowe na wenzake watatu haijawahi kutetereka , Ni huyo mwenye gauni zuri la bluu
View attachment 1950858
Ndiye anayetajwa kunusuru Uhai wa Tundu Lissu kwa kumpatia Kinga ya Ubalozi na kumsindikiza hadi Airport na kuhakikisha anapanda ndege kurudi Belgium , baada ya Spana za Kampeni za Ulioitwa uchaguzi Mkuu wa 2020 kuwachanganya akili watawala .
View attachment 1950867
hii kesi ni ya kisiasa, ni uhasama wa kumkomoa Mbowe na CDM kwa ujumla. CCM wana dhambi kubwa mno hawana utu kabisa.Kama Mtanzania mwenye Moyo nimeumizwa sana na yale niliyoyasikia Mahakamani leo.
Kwa yanayoendelea kwenye kesi ya Mbowe na
wenzake itoshe tu kusema Wanzania tuwe makini sana na Polisi wetu.
1. Kuna kuwekewa madawa ya kulevya
2. Kupewa kesi ya UGAIDI
3. Kuchukuliwa pesa zako mfukoni.
4. Mateso ya KINYAMA.
5. Kushinda na NJAA hali ya kuwa mahabusu.
Polisi sio watu tena wa kulinda RAIA NA MALI ZAO BALI NI KUTESA RAIA NA KUCHUKUA MALI ZAO.
SIASA SIASANI...
ndo naisoma salary slip yangu hapa - PAYE wamelamba 30% - Hiyo NET yangu nikienda madukani nitakutana na VAT 18% - Bado TOZO zipo mgogoni mwangu - maisha gani haya wajemeni.Bongo upuuzi mwingi sana.
Yani upumbafu tu kila siku kesi na huyo bwege,either mfungeni au mumwache.
Kesi gani hii kila siku mpunga unapigwa hela zetu za kodi zinaenda.
Amepanick ile yale mahojiano ya kibatala yamemkosesha maswali ya msingi kuuliza anaanza kutoa speechHuyu wakili wa serikali hamna kitu
Hiyo pesa Kingai Alisha mlipia ada mtoto wakeHiyo 260k wairudishe..