Kesi ya Mbowe na wenzake: Makomandoo 'wanaonewa'

suirini kesi iishe. pia, mimi sipo mahakamani, hivi ni kwamba zile meseji alikuwa anasoma Urio, zipo kwenye print out ya mtandao wa simu? kumbwe ni kweli mbowe alikuwa anawasiliana na hao watu....basi mbowe ana cha kujibu kwa watanzania. na ndiye anayewatesa hao vijana.
 
Unaweza kukuta Urio na Mbowe wana jambo lao.

Ogopa sana Machame.....Ole imekula kwake!
mtu mbaya kabisa hapa ni mbowe ndiyo amewasababishia shida makomandoo unafikiri bila hao makomandoo kuja kwenda kwa mbowe dhamira ovu ya mbowe isingejulikana na walikamatwa mapema ili mbowe asije akatenda uovu wake
hata hao makomandoo wenyewe pia wana matatizo, wanajua kabisa kwamba hiyo kazi waliyopewa si halali kwanini walikubali kuifanya wakati walishaonywa na Urio kwamba wale walishakua na kiapo kwaiyo kama kazi itakuwa ni ya uhalifu waachane nayo?
Kwa akili za aina hii, wacha tu ccm iendelee kutawala.
 
mtu mbaya kabisa hapa ni mbowe ndiyo amewasababishia shida makomandoo unafikiri bila hao makomandoo kuja kwenda kwa mbowe dhamira ovu ya mbowe isingejulikana na walikamatwa mapema ili mbowe asije akatenda uovu wake
Shida ni kwamba huo ubaya wa Mbowe bado mpaka sasa haujajulikana ni mbaya wapi na kwa lipi. Mimi ninataka nijiridhishe na mbele ya Mungu niweze kusema "ni kweli Mbowe ana hatia au hana hatia" na nitafanya hivi baada ya kupitia ushahidi unaotolewa dhidi yake. Mpaka sasa sijaona.
 
subirini hadi kesi iishe ndio mkoment. mashahidi bado wanaletwa. its too premature for us to comment kwenye hii kesi.
 
mtu mbaya kabisa hapa ni mbowe ndiyo amewasababishia shida makomandoo unafikiri bila hao makomandoo kuja kwenda kwa mbowe dhamira ovu ya mbowe isingejulikana na walikamatwa mapema ili mbowe asije akatenda uovu wake
Mpumbavu mkubwa mmoja eti naye ametoa mawazo.
 
subirini hadi kesi iishe ndio mkoment. mashahidi bado wanaletwa. its too premature for us to comment kwenye hii kesi.
Na ndicho nilichosema. Soma nilichoandika: "Shida ni kwamba huo ubaya wa Mbowe bado mpaka sasa haujajulikana ni mbaya wapi na kwa lipi. Mimi ninataka nijiridhishe na mbele ya Mungu niweze kusema 'ni kweli Mbowe ana hatia au hana hatia' na nitafanya hivi baada ya kupitia ushahidi unaotolewa dhidi yake. Mpaka sasa sijaona."
 
hata hao makomandoo wenyewe pia wana matatizo, wanajua kabisa kwamba hiyo kazi waliyopewa si halali kwanini walikubali kuifanya wakati walishaonywa na Urio kwamba wale walishakua na kiapo kwaiyo kama kazi itakuwa ni ya uhalifu waachane nayo?
urio tokea mwanzo kwa maelezo yake alijua ni kazi ya uhalifu kwa nini aliwaingiza wenzake kwenye mkenge huo?
 
hata hao makomandoo wenyewe pia wana matatizo, wanajua kabisa kwamba hiyo kazi waliyopewa si halali kwanini walikubali kuifanya wakati walishaonywa na Urio kwamba wale walishakua na kiapo kwaiyo kama kazi itakuwa ni ya uhalifu waachane nayo?
Waliambiwa watafanya kazi ya ulinzi.. Kazi ya ulinzi siyo halali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…